A
Unawaonea.Wangejikomelea misuli,vizibao na yeboyebo hakuna ambaye angewagusa.Hamna akili nyie, tena ilipaswa mpigwe viboko mana hamjitambui
Wabongo sisi ni wa wapumbavu, kila kitu n kulalamika tuu hata kwenye jambo ambalo ni jukumu lako bado utalalamika tuu.this is pure evil, vipi kama hauwezi kumudu kununua hayo mavazi wanayoyataka? sasa utapanda vipi daraja ktk chini ulipo kama unawekewa vizingiti vyote hivyo mpaka kwenye mavazi? hii nchi inatawaliwa na satanic people ...
Mjadala uishie hapa.Mkuu pole kwa kukosa usaili. Next time zingatia kuwa hizi kazi za Serikali zinakua governed na sheria, kanuni na miongozo mbali mbali ikiwemo Mwongozo wa Mavazi kwa Watumishi wa Umma ambao kama umesoma Elimu ya Juu hapa nchini na umefanya field work kwenye ofisi mbali mbali inatakiwa uwe tayari unalifahamu hilo. NeXT time jiandae vizuri na usisahau kuvaa “official”
Bila kusahau makobaz 🔥Unawaonea.Wangejikomelea misuli,vizibao na yeboyebo hakuna ambaye angewagusa.
wazo zuri kabisa, amevaa zake ile jezi pendwa ya Crefisa kama anaenda kkoo halafu anaenda kwenye usaili wa kiserikaliHujielewi... Nguo za club unavaa kwenye interview. Kafungue duka kariakoo achana na kuajiriwa maana hujui sifa za mwajiriwa.
nina imani unatania. kuna suruali na mashati hadi ya 5000. na hizo taarifa mbona zinatolewa huko instagram,facebook,whatsap cahneel kila kukicha?this is pure evil, vipi kama hauwezi kumudu kununua hayo mavazi wanayoyataka? sasa utapanda vipi daraja ktk chini ulipo kama unawekewa vizingiti vyote hivyo mpaka kwenye mavazi? hii nchi inatawaliwa na satanic people ...
angalia hawa watoto wakiwa darasani shuleni wakati wa mkoloni, kwa logic ya satanic tanzagiza hao watoto wa masikini wangzuiwa kusoma kwa sababu hawakuwa nauwezo wa kununua nguo
View attachment 3652964