Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 54,814
- 133,717
Usiende kwenye usaili mana hata ukienda hutofanya huo usailivipi kama siwezi ku-afford kununua nguo? nifanye nini sasa? ...
Usiende kwenye usaili mana hata ukienda hutofanya huo usailivipi kama siwezi ku-afford kununua nguo? nifanye nini sasa? ...
Kwa kuongeza;Mavazi/first appearance/muonekano ni sehemu ya usaili.Haukwepeki.Ni tafsiri ya wajihi wa mtu.Kwenye mambo kama hayo lawama hazikosekani. Ila nachojua hicho ni kigezo cha kupunguza idadi ya watu kwenye usaili.
Mkuu acha kupotosha watu taratibu zinajukikana kabisa na hata ukienda kwenye hayo mataasisi ya kimataifa wapo very smart mkuu ususani kwenye mavasi sembuse kwenye ofisi zetu hizi za kibongo, niwashauri tu vijana tuvae smati tukienda kwenye sahili zetuHaya mambo yapo kwenye maofisi yetu sisi watu weusi tu ila ukiingia kwenye mataasisi ya kimataifa yaliyopo hapa ndani hakuna vikwazo kama ivyo maybe msimamiz awe mmatumbi mwenzetu
Huwenda ni new graduate, au hakuwahi kuhudhuria interview, siku hizi huo utaratibu upo mpaka maofisini wamebandika attire za kuvaa unapoingia maeneo hayo!Kutokujua taratibu,kanuni,miongozo,kawaida,utamaduni(sheria)siyo kinga kwa mkosaji.Wanaishije bila kujiongeza katika dunia ya leo ya utandawazi?Kila kitu kiganjani.
Jero tu Mtaani taabu..jamaa anaongelea elfu 5...! Unafiki na kiburi Cha Kibarua alichonacho...sasa unafikiri kila mtu an uwezo wa kutoa shilingi 5000? kwa kuwa tu wewe unaweza siyo kila mtu anaweza, mko soo out touch with reality na jamii yenuu wenyewe iliowanguka na ndiyo maana hatuwezi kutoka hapa, kwa maana mlio juu hamjali walio chini, kwangu mimi hata kama wangekuja kifua wazi kama hawawezi kumudu kununua lkn wana akili wanapata kazi ...
tumia teknolojia katika kufahamu japo kwa uchache tu mambo muhimu ya kuzingatia na kuyaepuka kwenye usahili na itakusaidia sana na kwakweli itapendeza zaidi.Niliitwa kwenye usaili wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), nilipofika katika kituo nilichopangiwa nilikumbana na changamoto ambayo nimeona si sahihi.
Waombaji walikaguliwa vyeti pamoja na mavazi. Wale waliokuwa wamevaa jeans, T-shirt, raba au mavazi ambayo wasimamizi waliona hayakufaa, walipewa karatasi ya kuandika majina na namba zao za simu na wakaelekezwa kutofanya usaili.
Kilichonishangaza ni kwamba nilipouliza kwa nini hatukuona taarifa rasmi kuhusu aina ya mavazi yanayotakiwa, niliambiwa kuwa maelekezo hayo yalikuwa yamewekwa kwenye kurasa za mitandao ya kijamii wiki mbili zilizopita, na baadhi ya waombaji waliambiwa waangalie YouTube.
Kauli nyingine iliyotolewa ni kwamba kizazi cha vijana kimekuwa bize na TikTok. Swali langu ni: kwa nini taarifa muhimu kama hii isiambatishwe moja kwa moja kwenye ujumbe au taarifa ya mwaliko wa usaili?
Kwa kuwa waombaji waliitwa rasmi na kila mmoja akapangiwa kituo chake cha usaili, nadhani ingekuwa rahisi pia kutuma maelekezo yote muhimu, ikiwemo mavazi yanayotakiwa, kupitia njia hiyo hiyo.
Inadaiwa nafasi hiyo ya ufundi umeme ilikuwa na waombaji wengi, hivyo baadhi yetu tunajiuliza kama masharti kama haya yanaweza kuwa yanatumika kupunguza idadi ya wanaofanya usaili. Kama ndivyo, hilo si jambo sahihi na linahitaji ufafanuzi wa TRC ili mchakato wa ajira uwe wa haki, wazi na wenye usawa kwa waombaji wote.
Nioneshe taasisi ya kimataifa wakiwa kwenye usahili wamevaa jeans na kapelo?Haya mambo yapo kwenye maofisi yetu sisi watu weusi tu ila ukiingia kwenye mataasisi ya kimataifa yaliyopo hapa ndani hakuna vikwazo kama ivyo maybe msimamiz awe mmatumbi mwenzetu
Haya sasa hujafanya usaili, hapo umemkomoa nani?sasa unafikiri kila mtu an uwezo wa kutoa shilingi 5000? kwa kuwa tu wewe unaweza siyo kila mtu anaweza, mko soo out touch with reality na jamii yenuu wenyewe iliowanguka na ndiyo maana hatuwezi kutoka hapa, kwa maana mlio juu hamjali walio chini, kwangu mimi hata kama wangekuja kifua wazi kama hawawezi kumudu kununua lkn wana akili wanapata kazi ...
Mpaka kiumbe wa Mungu ana-graduate hajui mavazi rasmi kiofisi?Hao ni wa kutandikwa bakora nyingi za shingoni hadi waimbe hallelujah!Huwenda ni new graduate, au hakuwahi kuhudhuria interview, siku hizi huo utaratibu upo mpaka maofisini wamebandika attire za kuvaa unapoingia maeneo hayo!
Ni sawa na workshop nyingi za kiafrika overall kuvaa ni lazima bila hivyo ni kelele, ila niliona kiwandani kabisa Electromotive Diesel jamaa wamevaa pensi wengine na t-shirt za kampuni sana sana jeans na safety boots na wanajenga vichwa vya treni.Haya mambo yapo kwenye maofisi yetu sisi watu weusi tu ila ukiingia kwenye mataasisi ya kimataifa yaliyopo hapa ndani hakuna vikwazo kama ivyo maybe msimamiz awe mmatumbi mwenzetu
Astakafirilah mtumishi 🙆Wangevaa misuli au kaniki kama wanaenda kuji mbaga😂
Alfu badae unaanza kumlaumu Mungu et hakuoni wakati wewe ndo Mxenge .Niliitwa kwenye usaili wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), nilipofika katika kituo nilichopangiwa nilikumbana na changamoto ambayo nimeona si sahihi.
Waombaji walikaguliwa vyeti pamoja na mavazi. Wale waliokuwa wamevaa jeans, T-shirt, raba au mavazi ambayo wasimamizi waliona hayakufaa, walipewa karatasi ya kuandika majina na namba zao za simu na wakaelekezwa kutofanya usaili.
Kilichonishangaza ni kwamba nilipouliza kwa nini hatukuona taarifa rasmi kuhusu aina ya mavazi yanayotakiwa, niliambiwa kuwa maelekezo hayo yalikuwa yamewekwa kwenye kurasa za mitandao ya kijamii wiki mbili zilizopita, na baadhi ya waombaji waliambiwa waangalie YouTube.
Kauli nyingine iliyotolewa ni kwamba kizazi cha vijana kimekuwa bize na TikTok. Swali langu ni: kwa nini taarifa muhimu kama hii isiambatishwe moja kwa moja kwenye ujumbe au taarifa ya mwaliko wa usaili?
Kwa kuwa waombaji waliitwa rasmi na kila mmoja akapangiwa kituo chake cha usaili, nadhani ingekuwa rahisi pia kutuma maelekezo yote muhimu, ikiwemo mavazi yanayotakiwa, kupitia njia hiyo hiyo.
Inadaiwa nafasi hiyo ya ufundi umeme ilikuwa na waombaji wengi, hivyo baadhi yetu tunajiuliza kama masharti kama haya yanaweza kuwa yanatumika kupunguza idadi ya wanaofanya usaili. Kama ndivyo, hilo si jambo sahihi na linahitaji ufafanuzi wa TRC ili mchakato wa ajira uwe wa haki, wazi na wenye usawa kwa waombaji wote.
Ongezea hapo pro max satanic demonic people.You satanic people🤣💔
Hiyo mxenge ilitakiwa iwe bold Kabisa kudadeki zakeAlfu badae unaanza kumlaumu Mungu et hakuoni wakati wewe ndo Mxenge .
Siku moja moja unaandika points😁tumia teknolojia katika kufahamu japo kwa uchache tu mambo muhimu ya kuzingatia na kuyaepuka kwenye usahili na itakusaidia sana na kwakweli itapendeza zaidi.
achana inferiority complex eti huwezi kuaafford mavazi ya heshima kwenye usahili, hali ya kua unaweza kuaafford mavazi ya ibadani na kwenye sherehe na mitoko mbalimbali 🐒
Usaili haushtukizi.Hata kuazima "milozi"/nguo kwa washkaji umeshindwa?Siku moja tu?Jero tu Mtaani taabu..jamaa anaongelea elfu 5...! Unafiki na kiburi Cha Kibarua alichonacho...
Hali ni ngumu.sana kitaa..Mtu anatembea kwa miguu na bahasha kusaka kazi hana hata mia ..