HOJA Tuliovaa Jeans, T-shirt, raba tumezuiwa kufanya usaili katika ajira ya TRC, hii ni sawa?

HOJA Tuliovaa Jeans, T-shirt, raba tumezuiwa kufanya usaili katika ajira ya TRC, hii ni sawa?

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
kwani kati ya jeans na suruali oficial ipi ni gharam kubwa?
angeenda uchi kisa hana nguo ningeukuelewa, mtu kapiga jeans ,Tshirt na Raba ambazo ni bei kubwa kuliko suruali na shati halafu unatetea.
hoja yake anasema hawakutoa taarifa wakati wanatoa kila siku hizo taarifa
Wanataka wapewe hizo taarifa huko tik tok šŸ˜Ž
 
Back
Top Bottom