Mwami Ntale
JF-Expert Member
- May 26, 2018
- 1,112
- 2,983
Hivi wakati unasoma chuo,haukuwahi kufanya field?Mpaka unamaliza chuo haujawahi kukutana na professional code of conduct?Lawama zingine kama hizinhazina msingi.
Kama vicheche waliovaa nguo fupi wameruhusiwa hapo kuna double standardNiliitwa kwenye usaili wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), nilipofika katika kituo nilichopangiwa nilikumbana na changamoto ambayo nimeona si sahihi.
Waombaji walikaguliwa vyeti pamoja na mavazi. Wale waliokuwa wamevaa jeans, T-shirt, raba au mavazi ambayo wasimamizi waliona hayakufaa, walipewa karatasi ya kuandika majina na namba zao za simu na wakaelekezwa kutofanya usaili.
Kilichonishangaza ni kwamba nilipouliza kwa nini hatukuona taarifa rasmi kuhusu aina ya mavazi yanayotakiwa, niliambiwa kuwa maelekezo hayo yalikuwa yamewekwa kwenye kurasa za mitandao ya kijamii wiki mbili zilizopita, na baadhi ya waombaji waliambiwa waangalie YouTube.
Kauli nyingine iliyotolewa ni kwamba kizazi cha vijana kimekuwa bize na TikTok. Swali langu ni: kwa nini taarifa muhimu kama hii isiambatishwe moja kwa moja kwenye ujumbe au taarifa ya mwaliko wa usaili?
Kwa kuwa waombaji waliitwa rasmi na kila mmoja akapangiwa kituo chake cha usaili, nadhani ingekuwa rahisi pia kutuma maelekezo yote muhimu, ikiwemo mavazi yanayotakiwa, kupitia njia hiyo hiyo.
Inadaiwa nafasi hiyo ya ufundi umeme ilikuwa na waombaji wengi, hivyo baadhi yetu tunajiuliza kama masharti kama haya yanaweza kuwa yanatumika kupunguza idadi ya wanaofanya usaili. Kama ndivyo, hilo si jambo sahihi na linahitaji ufafanuzi wa TRC ili mchakato wa ajira uwe wa haki, wazi na wenye usawa kwa waombaji wote.
Interview ya kwanza ni muonekano ws mtu. Mambo mengi unaanza kuyajua hapo.Walivyoona ni TRC mawazo yao yakajenga picha za kufanya ufundiufundi wa kushika grisi na kuziba pancha matairi ya treni.
Kabisa.Tena waanze na usafi/umaridadi wa viatu.Kiatu kiwe rasmi,kisafishwe vema na kuvaliwa kistaarabu.Kwa taarifa fiche;Mara tu utokezapo mbele za watu baada ya salamu,macho ya muangaliaji uhamia kwenye viatu hata kama hajapanga kukuangalia miguuni.Kuwa mjanja!Interview ya kwanza ni muonekano ws mtu. Mambo mengi unaanza kuyajua hapo.
Akili za Gen Z mnazijua wenyewe. Huna hela ya kununa nguo decent (kwa official events ikiwemo hizo interview) ila una smartphone? Nyie ndio mlipaswa kuwa blacklisted kabisa kwenye hizo ajira za serikali.this is pure evil, vipi kama hauwezi kumudu kununua hayo mavazi wanayoyataka? sasa utapanda vipi daraja ktk chini ulipo kama unawekewa vizingiti vyote hivyo mpaka kwenye mavazi? hii nchi inatawaliwa na satanic people ...
angalia hawa watoto wakiwa darasani shuleni wakati wa Christians mwaka 1900 huko, kwa logic ya satanic tanzagiza leo (ambao wengi wao wasingesoma na kufikia kuvaa suti leo kama wangewekewa masharti na vizingiti wanaowawekea watoto wa masikini leo hii) hao watoto wa masikini wangezuiwa kusoma kwa sababu hawakuwa na uwezo wa kununua nguo, lkn cha muhimu ilikuwa ni elimu na ndio maana haikujalisha kama alikuwa ana nguo au hana lkn cha muhimu elimu ...
View attachment 3652964
Jean,simple laba na mashati mazuri hayana umri mzee ila nasema tena life bongo ni ngumu sana mimi naona hata wanaofanya kazi hapo unakuta kiatu kimeenda upande wengine wanaweka chuma ili kisiishe..Hoja unayo nzuri tu.Lakini,kuna wale wenzangu na mimi ambao mavazi si shida kuyamiliki.Changamoto yao ni aina gani wavae.Zamani zile zangu za utineja hadi early 30s nilikuwa sipendi tu kuvaa suruali za vitambaa,mashati ya kawaida(viscose kwa mfano)na viatu vya kawaida kiofisi.Nilipenda jeans,kadeti ngumu,ma-timberlands n.k.Leo hii nimekubaliana na hali.Mvi nitetee!
Noma kinoma.Ikiendelea hivyo miguu itapinda halafu tupate shida ya kuwafanyia upasuaji.Jean,simple laba na mashati mazuri hayana umri mzee ila nasema tena life bongo ni ngumu sana mimi naona hata wanaofanya kazi hapo unakuta kiatu kimeenda upande wengine wanaweka chuma ili kisiishe..
Hapa umejitakia mwenyeweNiliitwa kwenye usaili wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), nilipofika katika kituo nilichopangiwa nilikumbana na changamoto ambayo nimeona si sahihi.
Waombaji walikaguliwa vyeti pamoja na mavazi. Wale waliokuwa wamevaa jeans, T-shirt, raba au mavazi ambayo wasimamizi waliona hayakufaa, walipewa karatasi ya kuandika majina na namba zao za simu na wakaelekezwa kutofanya usaili.
Kilichonishangaza ni kwamba nilipouliza kwa nini hatukuona taarifa rasmi kuhusu aina ya mavazi yanayotakiwa, niliambiwa kuwa maelekezo hayo yalikuwa yamewekwa kwenye kurasa za mitandao ya kijamii wiki mbili zilizopita, na baadhi ya waombaji waliambiwa waangalie YouTube.
Kauli nyingine iliyotolewa ni kwamba kizazi cha vijana kimekuwa bize na TikTok. Swali langu ni: kwa nini taarifa muhimu kama hii isiambatishwe moja kwa moja kwenye ujumbe au taarifa ya mwaliko wa usaili?
Kwa kuwa waombaji waliitwa rasmi na kila mmoja akapangiwa kituo chake cha usaili, nadhani ingekuwa rahisi pia kutuma maelekezo yote muhimu, ikiwemo mavazi yanayotakiwa, kupitia njia hiyo hiyo.
Inadaiwa nafasi hiyo ya ufundi umeme ilikuwa na waombaji wengi, hivyo baadhi yetu tunajiuliza kama masharti kama haya yanaweza kuwa yanatumika kupunguza idadi ya wanaofanya usaili. Kama ndivyo, hilo si jambo sahihi na linahitaji ufafanuzi wa TRC ili mchakato wa ajira uwe wa haki, wazi na wenye usawa kwa waombaji wote.
Toa mlungula watu wakanunue suti Sauz na Dubai. Waendeshe magari ya maana. Na kuishi kwenye majumba kama ya wabunge wa chama chenuJean,simple laba na mashati mazuri hayana umri mzee ila nasema tena life bongo ni ngumu sana mimi naona hata wanaofanya kazi hapo unakuta kiatu kimeenda upande wengine wanaweka chuma ili kisiishe..
Vijana jifunzeni dress code. Sio kila nguo inafaa kwa tukio flani. Kama umeshindwa kujua dress code kwenye ofisi ya serikali ambayo imewekwa wazi ushafeli usaili tayari.Niliitwa kwenye usaili wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), nilipofika katika kituo nilichopangiwa nilikumbana na changamoto ambayo nimeona si sahihi.
Waombaji walikaguliwa vyeti pamoja na mavazi. Wale waliokuwa wamevaa jeans, T-shirt, raba au mavazi ambayo wasimamizi waliona hayakufaa, walipewa karatasi ya kuandika majina na namba zao za simu na wakaelekezwa kutofanya usaili.
Kilichonishangaza ni kwamba nilipouliza kwa nini hatukuona taarifa rasmi kuhusu aina ya mavazi yanayotakiwa, niliambiwa kuwa maelekezo hayo yalikuwa yamewekwa kwenye kurasa za mitandao ya kijamii wiki mbili zilizopita, na baadhi ya waombaji waliambiwa waangalie YouTube.
Kauli nyingine iliyotolewa ni kwamba kizazi cha vijana kimekuwa bize na TikTok. Swali langu ni: kwa nini taarifa muhimu kama hii isiambatishwe moja kwa moja kwenye ujumbe au taarifa ya mwaliko wa usaili?
Kwa kuwa waombaji waliitwa rasmi na kila mmoja akapangiwa kituo chake cha usaili, nadhani ingekuwa rahisi pia kutuma maelekezo yote muhimu, ikiwemo mavazi yanayotakiwa, kupitia njia hiyo hiyo.
Inadaiwa nafasi hiyo ya ufundi umeme ilikuwa na waombaji wengi, hivyo baadhi yetu tunajiuliza kama masharti kama haya yanaweza kuwa yanatumika kupunguza idadi ya wanaofanya usaili. Kama ndivyo, hilo si jambo sahihi na linahitaji ufafanuzi wa TRC ili mchakato wa ajira uwe wa haki, wazi na wenye usawa kwa waombaji wote.
Hawa ndio wanaliwa vyooni huko makazini kwa kuendekeza tamaa na kwenye zile party za ofisini wakishalewaSasa unalalama nini?
Hiki ni kizazi cha hovyo sana! Hopeless kabisa.
Iliaminika nchi hii itakombolewa vijana wakisoma, vijana wenyewe ndio hawa hata kutofautusha kati ya kijiwe cha bao na ofisi ya umma hawajui.
Unabahati, ungekutana na mimi mbona ungefurahi?Niliitwa kwenye usaili wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), nilipofika katika kituo nilichopangiwa nilikumbana na changamoto ambayo nimeona si sahihi.
Waombaji walikaguliwa vyeti pamoja na mavazi. Wale waliokuwa wamevaa jeans, T-shirt, raba au mavazi ambayo wasimamizi waliona hayakufaa, walipewa karatasi ya kuandika majina na namba zao za simu na wakaelekezwa kutofanya usaili.
Kilichonishangaza ni kwamba nilipouliza kwa nini hatukuona taarifa rasmi kuhusu aina ya mavazi yanayotakiwa, niliambiwa kuwa maelekezo hayo yalikuwa yamewekwa kwenye kurasa za mitandao ya kijamii wiki mbili zilizopita, na baadhi ya waombaji waliambiwa waangalie YouTube.
Kauli nyingine iliyotolewa ni kwamba kizazi cha vijana kimekuwa bize na TikTok. Swali langu ni: kwa nini taarifa muhimu kama hii isiambatishwe moja kwa moja kwenye ujumbe au taarifa ya mwaliko wa usaili?
Kwa kuwa waombaji waliitwa rasmi na kila mmoja akapangiwa kituo chake cha usaili, nadhani ingekuwa rahisi pia kutuma maelekezo yote muhimu, ikiwemo mavazi yanayotakiwa, kupitia njia hiyo hiyo.
Inadaiwa nafasi hiyo ya ufundi umeme ilikuwa na waombaji wengi, hivyo baadhi yetu tunajiuliza kama masharti kama haya yanaweza kuwa yanatumika kupunguza idadi ya wanaofanya usaili. Kama ndivyo, hilo si jambo sahihi na linahitaji ufafanuzi wa TRC ili mchakato wa ajira uwe wa haki, wazi na wenye usawa kwa waombaji wote.
Umewapa shule swaafi ila sijui kama wataelewa. Tumekua na kizazi cha honyo sana sasa hivi.Gen Z, baadhi yenu mnajifanya wajuaji sana.
Hivi kila kitu lazima kibishwe? Taa nyekundu mnavuka, stendi hamtaki kutumia, taratibu na kanuni hamtaki kufuata halafu mkikumbushwa mnaita ukandamizaji nk!
Millennials sasa wameamua kuwafundisha kwa lugha mnayoielewa.
😅 Dunia ina mifumo, ina taratibu na ina kanuni; binadamu si mnyama asietumia utashi, hufanya kila kitu kwa utashi wake na kufuata taratibu zilizokubaliwa ktk jamii husika, else kakae pekeako huko wapi mbwinde!.
Kama usaili/public service imewekewa dress code, si jambo la kujadiliwa kama mnaenda beach.
Jeans na raba si tatizo kwa ujumla, lakini kama mwajiri ameweka utaratibu wa mavazi kwa ajili ya usaili, heshimu taratibu acha ujuaji!
Hongera TRC na Utumishi kwa kusimamia viwango.
Wengine mtaelewa kwa lugha ngumu.
Maana ukianza kazi ukiwa na tabia ya kubisha kila kanuni, siku ukiajiriwa unaweza kuanza hata kuwatukana abiria hapo TRC bora wameku filter out mapema!
Kuchujwa mapema kunaweza kuwa fundisho kuliko kuajiriwa halafu ukashindwa kuendana na mfumo 😅 kwisha wewee
Kafanye uwinga
Shida yenu kubwa watoto wa 2000 ni ubishi, utoto mwingi, ujasiri wa kipuuzi, kutokujali, kutokujitambua, na kujiamini kupitiliza. Mimi naamini waliwatendea haki kwa kuwaondoa mapema kabisaNiliitwa kwenye usaili wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), nilipofika katika kituo nilichopangiwa nilikumbana na changamoto ambayo nimeona si sahihi.
Waombaji walikaguliwa vyeti pamoja na mavazi. Wale waliokuwa wamevaa jeans, T-shirt, raba au mavazi ambayo wasimamizi waliona hayakufaa, walipewa karatasi ya kuandika majina na namba zao za simu na wakaelekezwa kutofanya usaili.
Kilichonishangaza ni kwamba nilipouliza kwa nini hatukuona taarifa rasmi kuhusu aina ya mavazi yanayotakiwa, niliambiwa kuwa maelekezo hayo yalikuwa yamewekwa kwenye kurasa za mitandao ya kijamii wiki mbili zilizopita, na baadhi ya waombaji waliambiwa waangalie YouTube.
Kauli nyingine iliyotolewa ni kwamba kizazi cha vijana kimekuwa bize na TikTok. Swali langu ni: kwa nini taarifa muhimu kama hii isiambatishwe moja kwa moja kwenye ujumbe au taarifa ya mwaliko wa usaili?
Kwa kuwa waombaji waliitwa rasmi na kila mmoja akapangiwa kituo chake cha usaili, nadhani ingekuwa rahisi pia kutuma maelekezo yote muhimu, ikiwemo mavazi yanayotakiwa, kupitia njia hiyo hiyo.
Inadaiwa nafasi hiyo ya ufundi umeme ilikuwa na waombaji wengi, hivyo baadhi yetu tunajiuliza kama masharti kama haya yanaweza kuwa yanatumika kupunguza idadi ya wanaofanya usaili. Kama ndivyo, hilo si jambo sahihi na linahitaji ufafanuzi wa TRC ili mchakato wa ajira uwe wa haki, wazi na wenye usawa kwa waombaji wote.
Waje Mall of Africa hapa SA sisi tulikuja kwa nguvu zetu sio za kupewa na watu..Toa mlungula watu wakanunue suti Sauz na Dubai. Waendeshe magari ya maana. Na kuishi kwenye majumba kama ya wabunge wa chama chenu