Tuliowahi date na wadada wa mataifa mengine tutoe ushuhuda

Michango ya WADAU ndio iliyonileta hapa
 
Vip wazungu wao hawanuk ?
Suala la usafi kwao ni A+ hygienic ya mwili wanajali saana. Hanuki huyu mtoto ananukia uturi wa kifaransa muda wote Kama malaika vile.

Mzungu ni binadamu wa level ya juu saana. Hana unafiki, mkweli, ana upendo wa dhati.
 
Me nilisha deti na mjamaika yani alikua romantic sijawah ona yani kama siku nikishikwa na mafua yeye alikua anayanyonya puani kwangu kwa mdomo wake hadi yanaisha dadek
Ananyonya kamasi
 
We jamaa ni saddist fulani hivi, hata hapa bongo kutembea na mtoto wa raisi, waziri mkuu au anaetoka familia ya kitajiri sio rahisi kama unatokea familia ya kimasikini acha ku-ovarrate wazungu
 
Kimasihala international
 
Umeongea ukweli mtupu.. Mzungu akiwa Afrika na akiwa nchini kwako ni watu wawili tofauti kabisa.. Cha kwanza mwafrika sio chaguo la mzungu, mzungu ukiona ameolewa na mwafrika jua wazungu wenzake hawamtaki so anakimbilia Afrika au kwa wahindi maana ndio washamba WA wazungu
 
Suala la usafi kwao ni A+ hygienic ya mwili wanajali saana. Hanuki huyu mtoto ananukia uturi wa kifaransa muda wote Kama malaika vile.

Mzungu ni binadamu wa level ya juu saana. Hana unafiki, mkweli, ana upendo wa dhati.
Mhhh, wazungu hawaogi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wewe bwana utakuwa umevurugwa tuu n'a ushamba WA mzungu.. Kazi Yao kupaka mapfyumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…