Tuliowahi date na wadada wa mataifa mengine tutoe ushuhuda

Yah nikwel mkuu wazungu ni watu waelewa sana siyo washamba ukitongoza dem wa kizungu haku angalii umevaaje na una weza kuvaa Kawaida na mkatembea pamoja
Yes ,they don't care about external appearance sana. Akikupenda amekupenda na sio kuwa gesi,Mara vocha imeisha Mara naumwa Mara kodi ya nyumba imeisha
 
Huyu jamaa ni wivu tu na kuwakatisha watu tamaa
Lengo langu sio ili mkuu. Ila tukubali ukweli kuwa ni madunga yembe huko kwao wanaolewa na waafrika. Yaani wale age go sana mzee anaangalia kuwa atazeekea wapi..
Anyway ni mtazamo wako tu mkuu MIE sikukatishi.
Ila kiukweli familia safi eti uopoe MTT.
Ama hujaona kijana Wa malkia kula black america wakaonyesha hisia zao twita kuwa damu inachafuka ama hamkuona.
 
Uzae vitoto vya kizungu hadi raha

Una hela za kumtunza?
Uzuri hata yeye Mwanamke anapenda saana watoto wake wawe "Cappuccino" chotara. Chance ni kubwa ya kuzaa nae.

Kibongo Bongo hela nnazo najimudu vizuri tu, Seema demu ana hela zaidi yangu tukiendaga dinner anatumia $50 kwa msosi wa usiku tu bado Drinks na hawazi. Hawa wazungu sijui wanaokoteaga hela wapi?

Hapa alipo anataka siku akiondoka aende nae yule paka aliyemuokota hadi kwao ufaransa.. gharama tulienda kucheck nikajikuta najisemea kimoyomoyo kwamba kwanini asinipe Mimi hiyo hela afu ntajua ntamfikishaje huyo paka huko majuu Ufaransa.[emoji38]

Mfaransa nachompendea ni wa kipekee na mkweli saana yaani hata akitaka kujigeuza usiku anakwambia mme wangu nageuka. [emoji23][emoji23]
 

Mwenzako alikuwa anagonga Mwarabu kumbe ni mke wa mtu ,mwenyewe alivyomfuma akamkata mashine na pumbu huko Qatar.
 
Mmmh we una bahati

Wafaransa ni mabahili balaa, itakuwa huyo mambo safi sana, komaa mfunge ndoa huko huko ufaransa upate mapepa, au we unang'ang'ania bongo njaa kali?
 
Ofcourse yangu kitu, ila mzungu pure kama nguruwe bana aaagh!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nguruwe!

Hamna, watamu hatari(ke), wanajua kuonyesha upendo haswa. Jaribu 'me' huenda ukainjoy japo ngozi zao huzipendi...
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nguruwe!

Hamna, watamu hatari(ke), wanajua kuonyesha upendo haswa. Jaribu 'me' huenda ukainjoy japo ngozi zao huzipendi...
Hahaha hapana asee, pale nimeshindwa

Kitu black bana konk!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…