LaRosa
JF-Expert Member
- Jul 3, 2020
- 901
- 2,876
Huyu tunaelekea kwenye kuoana kabisaa. Naziona dalili.Unaoa au unatembeza dudu la yuyuuu tu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu tunaelekea kwenye kuoana kabisaa. Naziona dalili.Unaoa au unatembeza dudu la yuyuuu tu?
Yes ,they don't care about external appearance sana. Akikupenda amekupenda na sio kuwa gesi,Mara vocha imeisha Mara naumwa Mara kodi ya nyumba imeishaYah nikwel mkuu wazungu ni watu waelewa sana siyo washamba ukitongoza dem wa kizungu haku angalii umevaaje na una weza kuvaa Kawaida na mkatembea pamoja
Lengo langu sio ili mkuu. Ila tukubali ukweli kuwa ni madunga yembe huko kwao wanaolewa na waafrika. Yaani wale age go sana mzee anaangalia kuwa atazeekea wapi..Huyu jamaa ni wivu tu na kuwakatisha watu tamaa
Uzae vitoto vya kizungu hadi rahaHuyu tunaelekea kwenye kuoana kabisaa. Naziona dalili.
Kibaoo ila mashauzi kibwenaWakike wapo pia hapo
Uzuri hata yeye Mwanamke anapenda saana watoto wake wawe "Cappuccino" chotara. Chance ni kubwa ya kuzaa nae.Uzae vitoto vya kizungu hadi raha
Una hela za kumtunza?
Kwa wale tuliowapitia na kucheza international match na international relationship tuje tuelezee japo kwa kifupi jinsi mambo yalivyokuwa ili iwe inspiration kwa wale ambao wanatamani nao siku moja wafike international levels.
Mimi nakumbuka nishawahi kuwa kwenye mahusiano na jamii mbili tofauti wa kwanza ni kabinti fulani cha kizungu wa pili alikuwa sio manzi wangu lakini nilikuwa namla tu mara moja moja alikuwa jamii ya kijapan.
Acheni nyie jamani mademu wa kizungu wako romantic balaa yaani wanayatendea haki mahusiano halafu hawana kinyaa kwenye suala zima la mgegedo atakufanyia chochote utakachomwambia. Yaani wako charming and humble ni wa wazi sana wana wivu kupita maelezo na hawatakagi mambo ya uongo uongo, tatizo lilikuwa kwenye sex hawawezi fanya sex muda mrefu kama wabongo yani wao wanatakaga soft touch kidogo tu kwa afya yani ukimpiga Sana isizidi 40 minutes wao wanachopenda sana ni romance hata kama siku usipomgonga lakini ukimpa romance tu basi anaridhika.
Wa pili alikuwa mjapan, nadiriki kusema hakuna mademu mnato kama jamii ya Mongol kama wachina wajapan wathailand hatari hao yaani utamu unausikilizia kisogoni, battle lao utaenjoy kwenye mgegedo yani hawa watu hata kama una kibamia lakini wataenjoy na wewe utaenjoy lakini tatizo lao ni watu wa pupapupa sana yaani wanapapara na hawako romantic kihivyo.
Nawakaribisha kushare experience zenu
Wewe si miksa ya white+black? Unakataaje tena hiyo ngozi..Hapana mkuu sio choice zangu kabisa!
Ile ngozi ilinishinda
We jamaa unapiga sana puliMimi sasa hivi nipo na huyu bonge wangu,nyongo mfia ini wangu
View attachment 1679455
Sawa but, pure mzungu ngozi zao zinatisha best au we unaonajeWewe si miksa ya white+black? Unakataaje tena hiyo ngozi..
Sina uhakika ila mabofriend zao wanatoka huko australia na us kuwapa companyWanatoa papuchi au
Hiyo ngozi yako ndio matata sasa, miksa ni balaa mtu wangu.Sawa but, pure mzungu ngozi zao zinatisha best au we unaonaje
Caucasian ni baraaa[emoji16]
Mmmh we una bahatiUzuri hata yeye Mwanamke anapenda saana watoto wake wawe "Cappuccino" chotara. Chance ni kubwa ya kuzaa nae.
Kibongo Bongo hela nnazo najimudu vizuri tu, Seema demu ana hela zaidi yangu tukiendaga dinner anatumia $50 kwa msosi wa usiku tu bado Drinks na hawazi. Hawa wazungu sijui wanaokoteaga hela wapi?
Hapa alipo anataka siku akiondoka aende nae yule paka aliyemuokota hadi kwao ufaransa.. gharama tulienda kucheck nikajikuta najisemea kimoyomoyo kwamba kwanini asinipe Mimi hiyo hela afu ntajua ntamfikishaje huyo paka huko majuu Ufaransa.[emoji38]
Mfaransa nachompendea ni wa kipekee na mkweli saana yaani hata akitaka kujigeuza usiku anakwambia mme wangu nageuka. [emoji23][emoji23]
Ofcourse yangu kitu, ila mzungu pure kama nguruwe bana aaagh!Hiyo ngozi yako ndio matata sasa, miksa ni balaa mtu wangu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nguruwe!Ofcourse yangu kitu, ila mzungu pure kama nguruwe bana aaagh!
Hahaha hapana asee, pale nimeshindwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nguruwe!
Hamna, watamu hatari(ke), wanajua kuonyesha upendo haswa. Jaribu 'me' huenda ukainjoy japo ngozi zao huzipendi...
[emoji16][emoji16]Mimi sasa hivi nipo na huyu bonge wangu,nyongo mfia ini wangu
View attachment 1679455
[emoji3]Wajapani na korea inabidi upige slesha kwanza wana vuzi kubwa balaa