Tuliowahi date na wadada wa mataifa mengine tutoe ushuhuda

Tuliowahi date na wadada wa mataifa mengine tutoe ushuhuda

Yah nikwel mkuu wazungu ni watu waelewa sana siyo washamba ukitongoza dem wa kizungu haku angalii umevaaje na una weza kuvaa Kawaida na mkatembea pamoja
Yes ,they don't care about external appearance sana. Akikupenda amekupenda na sio kuwa gesi,Mara vocha imeisha Mara naumwa Mara kodi ya nyumba imeisha
 
Huyu jamaa ni wivu tu na kuwakatisha watu tamaa
Lengo langu sio ili mkuu. Ila tukubali ukweli kuwa ni madunga yembe huko kwao wanaolewa na waafrika. Yaani wale age go sana mzee anaangalia kuwa atazeekea wapi..
Anyway ni mtazamo wako tu mkuu MIE sikukatishi.
Ila kiukweli familia safi eti uopoe MTT.
Ama hujaona kijana Wa malkia kula black america wakaonyesha hisia zao twita kuwa damu inachafuka ama hamkuona.
 
Uzae vitoto vya kizungu hadi raha

Una hela za kumtunza?
Uzuri hata yeye Mwanamke anapenda saana watoto wake wawe "Cappuccino" chotara. Chance ni kubwa ya kuzaa nae.

Kibongo Bongo hela nnazo najimudu vizuri tu, Seema demu ana hela zaidi yangu tukiendaga dinner anatumia $50 kwa msosi wa usiku tu bado Drinks na hawazi. Hawa wazungu sijui wanaokoteaga hela wapi?

Hapa alipo anataka siku akiondoka aende nae yule paka aliyemuokota hadi kwao ufaransa.. gharama tulienda kucheck nikajikuta najisemea kimoyomoyo kwamba kwanini asinipe Mimi hiyo hela afu ntajua ntamfikishaje huyo paka huko majuu Ufaransa.[emoji38]

Mfaransa nachompendea ni wa kipekee na mkweli saana yaani hata akitaka kujigeuza usiku anakwambia mme wangu nageuka. [emoji23][emoji23]
 
Kwa wale tuliowapitia na kucheza international match na international relationship tuje tuelezee japo kwa kifupi jinsi mambo yalivyokuwa ili iwe inspiration kwa wale ambao wanatamani nao siku moja wafike international levels.

Mimi nakumbuka nishawahi kuwa kwenye mahusiano na jamii mbili tofauti wa kwanza ni kabinti fulani cha kizungu wa pili alikuwa sio manzi wangu lakini nilikuwa namla tu mara moja moja alikuwa jamii ya kijapan.

Acheni nyie jamani mademu wa kizungu wako romantic balaa yaani wanayatendea haki mahusiano halafu hawana kinyaa kwenye suala zima la mgegedo atakufanyia chochote utakachomwambia. Yaani wako charming and humble ni wa wazi sana wana wivu kupita maelezo na hawatakagi mambo ya uongo uongo, tatizo lilikuwa kwenye sex hawawezi fanya sex muda mrefu kama wabongo yani wao wanatakaga soft touch kidogo tu kwa afya yani ukimpiga Sana isizidi 40 minutes wao wanachopenda sana ni romance hata kama siku usipomgonga lakini ukimpa romance tu basi anaridhika.

Wa pili alikuwa mjapan, nadiriki kusema hakuna mademu mnato kama jamii ya Mongol kama wachina wajapan wathailand hatari hao yaani utamu unausikilizia kisogoni, battle lao utaenjoy kwenye mgegedo yani hawa watu hata kama una kibamia lakini wataenjoy na wewe utaenjoy lakini tatizo lao ni watu wa pupapupa sana yaani wanapapara na hawako romantic kihivyo.

Nawakaribisha kushare experience zenu

Mwenzako alikuwa anagonga Mwarabu kumbe ni mke wa mtu ,mwenyewe alivyomfuma akamkata mashine na pumbu huko Qatar.
 
Uzuri hata yeye Mwanamke anapenda saana watoto wake wawe "Cappuccino" chotara. Chance ni kubwa ya kuzaa nae.

Kibongo Bongo hela nnazo najimudu vizuri tu, Seema demu ana hela zaidi yangu tukiendaga dinner anatumia $50 kwa msosi wa usiku tu bado Drinks na hawazi. Hawa wazungu sijui wanaokoteaga hela wapi?

Hapa alipo anataka siku akiondoka aende nae yule paka aliyemuokota hadi kwao ufaransa.. gharama tulienda kucheck nikajikuta najisemea kimoyomoyo kwamba kwanini asinipe Mimi hiyo hela afu ntajua ntamfikishaje huyo paka huko majuu Ufaransa.[emoji38]

Mfaransa nachompendea ni wa kipekee na mkweli saana yaani hata akitaka kujigeuza usiku anakwambia mme wangu nageuka. [emoji23][emoji23]
Mmmh we una bahati

Wafaransa ni mabahili balaa, itakuwa huyo mambo safi sana, komaa mfunge ndoa huko huko ufaransa upate mapepa, au we unang'ang'ania bongo njaa kali?
 
Ofcourse yangu kitu, ila mzungu pure kama nguruwe bana aaagh!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nguruwe!

Hamna, watamu hatari(ke), wanajua kuonyesha upendo haswa. Jaribu 'me' huenda ukainjoy japo ngozi zao huzipendi...
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nguruwe!

Hamna, watamu hatari(ke), wanajua kuonyesha upendo haswa. Jaribu 'me' huenda ukainjoy japo ngozi zao huzipendi...
Hahaha hapana asee, pale nimeshindwa

Kitu black bana konk!
 
Back
Top Bottom