Jina la Suka kwa Madereva lilikuja kabla ya Davo Suker.Lilitokana na usuka yaani usukani.Isa na Mark Fish wa Sauz(Nikajua masamaki kapewa jina la huyu kwa kiswahili),Rashid Yekini ,Taribo West wa Nigeria.Peter Schemichael wa Denmark, Cafu,Dunga,Delima,Tafarel wa Brazil,Zidane,Petit,Deschamps, Blanc, Barthez wa Ufaransa George Hadgi wa Romania
Mechi ya Sauz na Denmark 1998 niliangalizia pale Naliendele Mtwara kwenye projector nikapigwa mkwara kua nikiangalia ule mwanga wa projector directly nakua kipofu......Baada ya fainali ya Brazil na Ufaransa vichwa vya habari kesho yake na misemo ya mitaani vikawa "KILIO BRAZIL,KICHEKO UFARANSA".
Ila kwa yale magoli na ufundi wa Davor Sukar mpaka leo madereva wanaitwa suka au maeneo mengine Arusha wanawaita Davoo.....
Ilikuwa mashine ya KoreshiaIla kuna mchezaji alikuwa anaitwa davor suker
Rudia kusoma bandiko kuu ili ufanye masahihishoDiofu Diao camara senegal
Hii unazungumzia Senegal ya mwaka 2002 Mkuu...Diofu Diao camara senegal
Mkuu tutakuwa rika moja 99 na 2000 nimebandika mashavuni na mkononi stika za akina davor suker Lilian thurum na akina Roberto Carlos na nwanko KANUZile bigijii zilizokuwa zikiwekwa stika za wachezaji vipi wataweka hata sasa au??...
Mm nakumbuka bablishi tu!!!
Bukoba ndo hua mnadanganywa Suka"dereva" imetokana na mchezaji,hahahIsa na Mark Fish wa Sauz(Nikajua masamaki kapewa jina la huyu kwa kiswahili),Rashid Yekini ,Taribo West wa Nigeria.Peter Schemichael wa Denmark, Cafu,Dunga,Delima,Tafarel wa Brazil,Zidane,Petit,Deschamps, Blanc, Barthez wa Ufaransa George Hadgi wa Romania