Tuliowahi kuangalia kombe la dunia la mwaka 1998 tukumbushane wale best players uliokuwa unawakubali

Kifaru86

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2017
Posts
1,734
Reaction score
3,822
Sasa ni takribani miaka 20 inakarabia tangu kombe LA dunia LA mwaka 1998.

Moja kati ya best players niliokuwa nawakubali enzi hizooo.

Katika timu ya croation kuna mchezaji alikuwa anaitwa davor suker.

Timu ya Nigeria kulikuwa na mwako KANU,jay yay okocha, Sunday oliseah,

Timu ya uholanzi kulikuwa na Dennis beckamp,patric kluvert,

Haya na wewe tukumbushie
 
Isa na Mark Fish wa Sauz(Nikajua masamaki kapewa jina la huyu kwa kiswahili),Rashid Yekini ,Taribo West wa Nigeria.Peter Schemichael wa Denmark, Cafu,Dunga,Delima,Tafarel wa Brazil,Zidane,Petit,Deschamps, Blanc, Barthez wa Ufaransa George Hadgi wa Romania

Mechi ya Sauz na Denmark 1998 niliangalizia pale Naliendele Mtwara kwenye projector nikapigwa mkwara kua nikiangalia ule mwanga wa projector directly nakua kipofu......Baada ya fainali ya Brazil na Ufaransa vichwa vya habari kesho yake na misemo ya mitaani vikawa "KILIO BRAZIL,KICHEKO UFARANSA".

Ila kwa yale magoli na ufundi wa Davor Sukar mpaka leo madereva wanaitwa suka au maeneo mengine Arusha wanawaita Davoo.....
 
Jina la Suka kwa Madereva lilikuja kabla ya Davo Suker.Lilitokana na usuka yaani usukani.
 
c3958b8f8685436273767c6597f22f37.jpg
 
Namkumbuka Michael Owen,Denilson,Ronald Luis Nazario De Lima,Davor
Suker,Taribo West,Rivaldo,Cafu,
 
Bebeto, finidi george, roberto bagio, batistuta
 
Zidane, Davor Suker, Boban, Deschamps, Bergkamp, De Lima, Carlos Dunga, Claudio Taffareli, Sampaio, Romario, George Hagi, Shearer, Finidi George, Sunday Oliseah, Patrick Mboma, Maldini,Laudrup Michael, Laurent Blanc, Edgar Davids, Diego Simeone, Ariel Ortega, Emmanuel Petit, Stam, Overmars, Kluivert, Joao Pinto, Luis Figo, Christian Ziege, Dietmar Hamann, Campos e.t.c

Hili ni moja ya mashindano ya World Cup yaliyoleta mapinduzi makubwa sana katika soka.
 
Ile sitaisahau,ndo ilikuwa world cup yangu ya kwanza nikiyoenjoy sana..

.Asanovic-croatia, hadi nikampa paka wangu hili jina
.Cocu wa uholanzi
 
Zile bigijii zilizokuwa zikiwekwa stika za wachezaji vipi wataweka hata sasa au??...
Mm nakumbuka bablishi tu!!!
Mkuu tutakuwa rika moja 99 na 2000 nimebandika mashavuni na mkononi stika za akina davor suker Lilian thurum na akina Roberto Carlos na nwanko KANU
 
Bixente Lizarazu and Lilian Thuram pose with the 1998 World Cup.
c572792808c8f34dc72be608c5c6106d.jpg
 
Isa na Mark Fish wa Sauz(Nikajua masamaki kapewa jina la huyu kwa kiswahili),Rashid Yekini ,Taribo West wa Nigeria.Peter Schemichael wa Denmark, Cafu,Dunga,Delima,Tafarel wa Brazil,Zidane,Petit,Deschamps, Blanc, Barthez wa Ufaransa George Hadgi wa Romania

Mechi ya Sauz na Denmark 1998 niliangalizia pale Naliendele Mtwara kwenye projector nikapigwa mkwara kua nikiangalia ule mwanga wa projector directly nakua kipofu......Baada ya fainali ya Brazil na Ufaransa vichwa vya habari kesho yake na misemo ya mitaani vikawa "KILIO BRAZIL,KICHEKO UFARANSA".

Ila kwa yale magoli na ufundi wa Davor Sukar mpaka leo madereva wanaitwa suka au maeneo mengine Arusha wanawaita Davoo.....
Bukoba ndo hua mnadanganywa Suka"dereva" imetokana na mchezaji,hahah
 
Back
Top Bottom