Kwema sijui hukoSalama mkuu...kwema??
Uku safi kabisaKwema sijui huko
Mkuu niliachana nae..ile ule msabwanda ni mkubwa east and central africaUna bahati hakujipanga mkuu, maana angeweza hata kutafuta wa kumsaidia Hilo zoezi la fumanizi na pengine usingewamudu. Achana kabisa na huyo mwanamke.
HahahaMkuu niliachana nae..ile ule msabwanda ni mkubwa east and central africa
3.142
una matatizo ya akili au ubongoTishaneni hukohuko kijijini kwenu
Wewe ulieathiriwa na woga ndio huna akili kabisauna matatizo ya akili au ubongo
Huyo mwanamke hakukupenda Wala alimpenda zaidi jamaa ndo mana akawa anamleta Hadi home.Sio tuliachana bali yeye aliniacha
Kika mtu anawajibika kwa dhambi zake,usimchagulie mtu adhabu watu wanazaliwa tofauti katika kuyakabili mambo.Ni jukumu la mwanaume kumchunguza mwanamke na kujihakikishia kuwa sio mke wa mtu kisha ndio uanze naye mahusiano.Mtu akikusaliti:
Pia ni muhimu kutambua kwamba si wanawake wote wasio waaminifu, kama ambavyo si wanaume wote wasio waaminifu. Mahusiano mazuri hujengwa na watu wawili wenye uaminifu, mawasiliano, heshima na uwajibikaji. Kuingia kwenye mahusiano ukiamini moja kwa moja kuwa lazima usalitiwe kunaweza kukufanya uishi kwa hofu na mashaka kila wakati.
- Kubali ukweli kwa utulivu, hata kama ni mgumu.
- Epuka kufanya maamuzi ukiwa na hasira kali.
- Usitumie vurugu kwa anayehusika au mtu mwingine yeyote.
- Chukua muda wa kutuliza akili na kutafakari.
- Ongea na watu wenye busara wanaoweza kukushauri vizuri.
- Jikumbushe kuwa thamani yako kama mwanaume haitegemei uaminifu wa mtu mwingine.
- Kama mahusiano hayawezi kuendelea, ondoka kwa heshima na uanze ukurasa mpya wa maisha.
Uamuzi ulio fanya mtoa maada ni uamuzi wa kipuuzi sana, hasa ukizingatia unamfanyia mwanaume mwenzio kisa mwanamke, ungekua umesoma somo moja tu la kuto kumwamini mwanamke kwenye mapenzi wala huo ujinga usinge fanya.Do not trust womens, never never.
Ushauri wangu kwa vijana ni huu:
Yanakuja kunishambulia eti nimefanya tukio la ajabu utadhani wanaogonga wake za watu wanakuwa wanapatia. Acha yaliwe vinyesiHuu Uzi,umekurupua wanaokula wake za watu.
Utawaona tu kupitia comments zaoππ
Jamani kaeni mbali na wake za watu.
#Mtafukuliwa mitaro
#Mtapotezwa
Kenge nyie....mke wa mtu sumu.
Mtu asijifanye anashangazwa na adhabu. Ukimkanyaga mtu yeye akakupiga risasi ni sawa tuKika mtu anawajibika kwa dhambi zake,usimchagulie mtu adhabu watu wanazaliwa tofauti katika kuyakabili mambo.Ni jukumu la mwanaume kumchunguza mwanamke na kujihakikishia kuwa sio mke wa mtu kisha ndio uanze naye mahusiano.
Nihukumu kama wewe ndio mtoa hukumu. Mnajikutaga wema kumbe ******* flani tuKwahiyo wewe umekula Tigo ya mwanaume mwenzako!!!
Sasa hivi bado ungekula au?
Naamini unajiona kinyaa kwa kutenda, kujiondoa kwenye u wanaume kamili na kuingia kwenye listi ya wa kihivyo...
BTW umeendelea kutamani wanaume au?
Faida ipi unayo sasa hivi?
Umejiongeza kujua kazi kama huyo bwana wa mkeo?
Kuja Lopsided_Truth unijibu sijawahi ona mtu anajisifia kutenda haya kihivyo.. Ila bado waweza hukumiwa wakitaka.
Watu wakuiExactly. Mwanaume kumdindishia mwanaume mwenzie tena mbele za watu under distress raises more questions about you kuliko hata huyo mgoni wako. Lazima nawe uwe shoga kwa namna fulani. Huu ndo uhalisia ambao hawa wajinga wajinga wengi hawaujui wanajianika wenyewe. Mimi nimeshapigia mstari kwamba yeye na huyo jamaa yake wote kundi moja.
Watu wakishakula vitu vyao kichwani hawajali chochote. Walidindisha hadi kwa malaika enzi za nuhu itakuwa makalio ya kiafrika!Exactly. Mwanaume kumdindishia mwanaume mwenzie tena mbele za watu under distress raises more questions about you kuliko hata huyo mgoni wako. Lazima nawe uwe shoga kwa namna fulani. Huu ndo uhalisia ambao hawa wajinga wajinga wengi hawaujui wanajianika wenyewe. Mimi nimeshapigia mstari kwamba yeye na huyo jamaa yake wote kundi moja.
Nihukumu kama wewe ndio mtoa hukumu. Mnajikutaga wema kumbe ******* flani tu
Huyu alikula nini?Watu wakui
Watu wakishakula vitu vyao kichwani hawajali chochote. Walidindisha hadi kwa malaika enzi za nuhu itakuwa makalio ya kiafrika!
Huyo ni mwehu tu, wanaume makalio yetu hayavutii hata kwa mbali kwanza magumuuu halafu yana nywele mpaka kuleee, unadindisha vipi!? Ana matatizo ya akiliHuyu alikula nini?
Duh! Mkuu au ulimuachia nuksi? (Ulilipiza kwa namna unavyojua wewe)
Iweje kila anayemuoa analamba udongo?
Huyo ni mwehu tu, wanaume makalio yetu hayavutii hata kwa mbali kwanza magumuuu halafu yana nywele mpaka kuleee, unadindisha vipi!? Ana matatizo ya akili