Tuliowahi kuchapiwa tukutane hapa.. ulichukua maamuzi gani? Binafsi yule jamaa aliyenichapia hatokaa asahau

Oyoooo na neno chafu si umejisema mwenyewe na matendo yako au? basi linakuuma bado kukosa mke.. Ila umejisema mwenyewe ulichofanyaaaaaaaaa mfanyaaaaa.. Utajiju 😅 naamini ukipata demu huwezi simulia maana utaachwa hata kwa washikaji zako.. Nao watakukimbia kwa kukuogopa kuwa haujanyooka...

Ex wako ameolewa tena, umemkumbuka?

Kaombe toba kwa sala ulichofanya...
Hivi upo sawa? Hizo ndizo hukumu wanazopewa wanaotembea na wake za watu ili liwe fundisho... Kuna wakati binadamu inabidi wajifunze kwa njia ngumu....hapa mtwara miaka ile kulikuwa na tulale wapi kutoka mdenga walikuwa wanafanya uhalifu na mamlaka haikuwa inawafanya chechote watu wakakaa chini wakaanza kuwaua kwa kuwachoma moto na leo hii mtwara ni shwari
 
Hao ******* wakikaa vijiweni hua wanasimulia kabisa, Yule Fala na mgongea.

Ukiamia kumuachia huyo demu sasa, kwamba labda jamaa kamzimikia unashamgaa nae hamtaki tena, so ni total distraction tu.

Hao wanavo kuja ndivo wanavo pokelewa.
Unakuta mshkaji anajisifu kabisa aisee hivi huyu hukumu yake ni kuachwa tu?hapana lazima aliwe
 
Ukitaka kulipiza tukio usikurupuke hadi unajishangaa. Mleta uzi ulikurupuka vibaya coz kitendo cha kumlawiti mshikaji na mbunye zimejaa hapo ulifeli pakubwa sana. Ilikuwa uandae tukio lisilo umiza yaani kitendo cha kusema ulikuwa umeamua kama mbaya mbaya yaan kupoteza wote hapo hilo wazo ulibugi. Ilikuwa jamaa usuke umshke ugoni then umwambie nimekuachia mke ndio huyo urudi uhame ulikokuwa demu aaibike aende kwao afu uende useme ukwel wote then uondoke uwaache wakimhoji aamue kujinyonga ni sawa tu. Lakn angekufa mda ule wewe ndio chanzo cha yote na hungelienda mbali nakwambia ndugu yangu coz ungepgwa na stress ukonde hadi pua. Ukipatwa na tukio tuliza kwanza akili then ujue la kufanya lakin kwa mda huo huo unakuta akili sio yako.
Wewe ni mzanzibar? Eti demu aaibike hivi haujui kuwa unapofumania wewe mume ndie unaaibika? Halafu usijidanganye kuwa familia ya mwanamke wanaweza kukubeba wewe dhidi ya mtoto wao...muda mwingine andikeni kama wanaume
 
Watu wakui

Watu wakishakula vitu vyao kichwani hawajali chochote. Walidindisha hadi kwa malaika enzi za nuhu itakuwa makalio ya kiafrika!

Wewe ukila vitu unatamani wanaume?

Vitu reveals the real you ndo maana wanasema walevi hawaongei uongo. Kama mtu anaweza kulala na mwanaume mwenzake akila vitu that just means huyo ni shoga in a closet.
 
Wewe ni mzanzibar? Eti demu aaibike hivi haujui kuwa unapofumania wewe mume ndie unaaibika? Halafu usijidanganye kuwa familia ya mwanamke wanaweza kukubeba wewe dhidi ya mtoto wao...muda mwingine andikeni kama wanaume
soma coments zangu zote humu ndani atleast utaelewa nilichokisema tangu mwanzo
 
Oyoooo na neno chafu si umejisema mwenyewe na matendo yako au? basi linakuuma bado kukosa mke.. Ila umejisema mwenyewe ulichofanyaaaaaaaaa mfanyaaaaa.. Utajiju 😅 naamini ukipata demu huwezi simulia maana utaachwa hata kwa washikaji zako.. Nao watakukimbia kwa kukuogopa kuwa haujanyooka...

Ex wako ameolewa tena, umemkumbuka?

Kaombe toba kwa sala ulichofanya...
Kajiombee toba wewe na ukoo wako inatosha.
 
Hivi upo sawa? Hizo ndizo hukumu wanazopewa wanaotembea na wake za watu ili liwe fundisho... Kuna wakati binadamu inabidi wajifunze kwa njia ngumu....hapa mtwara miaka ile kulikuwa na tulale wapi kutoka mdenga walikuwa wanafanya uhalifu na mamlaka haikuwa inawafanya chechote watu wakakaa chini wakaanza kuwaua kwa kuwachoma moto na leo hii mtwara ni shwari

Ngoja nikucheki

Ooh nimekucheki so niambie ulimtegea nini mke wako yule? Maana hao wanaume kufa sio kawaida. Ulinyamaza kimya kimya u kafanya yako?

Sasa ukija kwa mwenye mada utaona kwamba alifanya ila aliogopa kukamatwa.. Akaishi kwa hofu na labda hadi sasa anaishi hivyo. Esp kama kutenda kile cha kuhusisha mwili wako mtu lazimaaaa isumbue.. Ingekuwa ndio inafunza kama watu wangejua mtu umemfanya nini muhusika sababu ya nini.. Kama kuliwa Tigo hapo hakuna anajua umefanya na aliyefanya ndio kanyamaza HII KIHIVI INAFUNZA NANI MMOJA KATI YA MILLIONS? ITAZUIA KWELI.. SI UNAONA WENGI BADO WANAENDELEA NA LAWAMA WHY ASIPEWE MKE AU MUME? SI KAYATAKA UNAMUACHA NA KUMUACHIA MUNGU. KAMA MTENDA ANATAKA KUFUNDISHA UMMA BASI NI KUJIWEKA WQZI UJULIKANE UMELIPIZA SABABU YA HIKI AU KILE..

ILA BAADAE EX MKE ATAPATA WA KUENDELEA KUFAIDI MWILI WAKE 😆

Ndio sio kitu kizuri bali hatua mtu anachukua baada.. lazima jamani itamsuta mtu na kujutia esp mtu akiona baadae maisha yanaenda na yanaweza yasiende kama umeenda kitu kiazi na mtendwa akakutendea gizani.

Naamini baada ya matendo lazima mtu atataka kujua mtu Yupoje haswa ex wake..
 
Kajiombee toba wewe na ukoo wako inatosha.
Mkuu Kuna muda binadamu inabidi wajifunze kwa njia ngumu ili liwe somo kwa wengi... ndio maana hata maandiko yanaeleza Mungu alimfanya vile Farao ili liwe kielelezo kwa watu juu ya ukuu wa Mungu....Hawa wengi hawajawahi kuoa humu ndani kwasababu hakuna kitu kinauma unapambana kwa ajili ya familia ya mkeo na wanao halafu unakuta wewe unapotoka Kuna muhuni anakuja kulala na mkeo kwenye kitanda chako na anatumia Taulo lako...na mbaya zaidi unakuta umefungua mradi na mkeo ndio msimamizi halafu sasa kumbe anachukua pesa kumuhudumia muhuni....
 
Ngoja nikucheki

Ooh nimekucheki so niambie ulimtegea nini mke wako yule? Maana hao wanaume kufa sio kawaida. Ulinyamaza kimya kimya u kafanya yako?

Sasa ukija kwa mwenye mada utaona kwamba alifanya ila aliogopa kukamatwa.. Akaishi kwa hofu na labda hadi sasa anaishi hivyo. Esp kama kutenda kile cha kuhusisha mwili wako mtu lazimaaaa isumbue.. Ingekuwa ndio inafunza kama watu wangejua mtu umemfanya nini muhusika sababu ya nini.. Kama kuliwa Tigo hapo hakuna anajua umefanya na aliyefanya ndio kanyamaza HII KIHIVI INAFUNZA NANI MMOJA KATI YA MILLIONS? ITAZUIA KWELI.. SI UNAONA WENGI BADO WANAENDELEA NA LAWAMA WHY ASIPEWE MKE AU MUME? SI KAYATAKA UNAMUACHA NA KUMUACHIA MUNGU. KAMA MTENDA ANATAKA KUFUNDISHA UMMA BASI NI KUJIWEKA WQZI UJULIKANE UMELIPIZA SABABU YA HIKI AU KILE..

ILA BAADAE EX MKE ATAPATA WA KUENDELEA KUFAIDI MWILI WAKE 😆

Ndio sio kitu kizuri bali hatua mtu anachukua baada.. lazima jamani itamsuta mtu na kujutia esp mtu akiona baadae maisha yanaenda na yanaweza yasiende kama umeenda kitu kiazi na mtendwa akakutendea gizani.

Naamini baada ya matendo lazima mtu atataka kujua mtu Yupoje haswa ex wake..
Binafsi kuhusu huyo mwanamke kufiwa na waume zake sikufanya chechote kile japo watu wengi na hata baba yangu ananichimba sana ili nimueleze kuwa nilifanyajefanyaje.....ila ni kwamba nilimuoa tukakaa miaka 6 na hata siku moja sikuwahi kuchepuka kwenye ndoa yetu na wala sikuwahi kunyanyua mkono kumpiga...ila yeye ndani ya hiyo miaka 6 ashawahi kuchepuka na wanaume 4 niloowahi kuwajua,,mwaka wa pili tangu nimuoe alipata mimba kwahiyo ilipofika miezi 8 mwenyewe akadai nimpeleke kwao kwa ajili yakujifungua na nikampeleka ila alipojifungua mtoto akafariki,,, ikawa mguu wake anauvuta hawezi kunyanyua kabisa hali ikawa inaendelea tu kwa mila za huku kwetu tafsiri yake ni kwamba mmoja wetu alichepuka wakati wa ujauzito,,,ndugu zake wakanitukana mno kuwa mimi malaya nataka nimfanye kilema mtoto wao ila nikawaeleza kuwa sijawahi kuchepuka wakati wote wa ujauzito na toka nimuoe tu,,,kwakuwa alijifungulia huko kwao ikabidi mimi niende kwa ajili ya hilo jambo na nilipofika walinitukana sana na mkewangu yupo kimya tu,,,tukaenda kwa mganga akatoa dawa ambayo ni kamba ambayo nilijifunga kwenye uume halafu nikafungua nikamfunga kwenye mguu tukaa wiki mzima hakuna mabadiliko ikabidi turudi tena tumefika Kule mganga alipoelezwa alishangaa akadai huyu kijana hakuchepuka ila ni huyu mwanamke ndie kachepuka wakati wa ujauzito kumuuliza akakiri ni kweli alifanya hivyo na fikiria wakati huo ninaishi kwao nikidhalilishwa mno
 
Ngoja nikucheki

Ooh nimekucheki so niambie ulimtegea nini mke wako yule? Maana hao wanaume kufa sio kawaida. Ulinyamaza kimya kimya u kafanya yako?

Sasa ukija kwa mwenye mada utaona kwamba alifanya ila aliogopa kukamatwa.. Akaishi kwa hofu na labda hadi sasa anaishi hivyo. Esp kama kutenda kile cha kuhusisha mwili wako mtu lazimaaaa isumbue.. Ingekuwa ndio inafunza kama watu wangejua mtu umemfanya nini muhusika sababu ya nini.. Kama kuliwa Tigo hapo hakuna anajua umefanya na aliyefanya ndio kanyamaza HII KIHIVI INAFUNZA NANI MMOJA KATI YA MILLIONS? ITAZUIA KWELI.. SI UNAONA WENGI BADO WANAENDELEA NA LAWAMA WHY ASIPEWE MKE AU MUME? SI KAYATAKA UNAMUACHA NA KUMUACHIA MUNGU. KAMA MTENDA ANATAKA KUFUNDISHA UMMA BASI NI KUJIWEKA WQZI UJULIKANE UMELIPIZA SABABU YA HIKI AU KILE..

ILA BAADAE EX MKE ATAPATA WA KUENDELEA KUFAIDI MWILI WAKE 😆

Ndio sio kitu kizuri bali hatua mtu anachukua baada.. lazima jamani itamsuta mtu na kujutia esp mtu akiona baadae maisha yanaenda na yanaweza yasiende kama umeenda kitu kiazi na mtendwa akakutendea gizani.

Naamini baada ya matendo lazima mtu atataka kujua mtu Yupoje haswa ex wake..
Ungekuwa mwenyeji wa mtwara mjini ungejua kwanini tukale wapi waliisha na wengi wao wakakimbia na wengine wakaacha baada ya matendo yao ya wizi unyang'anyi, ubakaji na hata muda mwingine kuua tena mchana kweupe,,,,polisi ni kama waliwachemka wale watu aisee kwasababu walikuwa wanafanya ubabe muda wowote ule,,ikawa mtwara amani hamna ila kundi la raia wakajiunga na kuweka mkakati wa kuwaua wale vijana na kweli walikuwa wanachomwa moto mchana kweupe,,nikwamba waliorodhesha majina ya wale vijana yakawa kama 50 hivi sasa ikawa popote atakapoonekana yeyote ni moto tu...nakumbuka Kuna siku asubuhi hao vijana walikuwa watatu wanafanya mazoezi ya kukimbia wakashikwa wakapigwa kiberiti wote....kwahiyo hao raia kwa jicho la kisheria walifanya makosa kuua wezi ila wamesaidia mno ndio maana leo mtwara hata utembee usiku mwingi hali ni shwari kabisa...na hao raia ukiwauliza ni ninyi muliokiua wezi wanakataa kabisa
 
Picha linaanza mpenzi kaniaga anaenda kwa dada yake(kwamba anaumwa na mume wake yuko safariji so akamasaidie kwa siku 2,3) nikamruhusu bila shida mida ya saa 9 alasiri binti akaondoka.
Usiku kama saa 3 nikapiga akakata akaniandikia ujumbe kuwa wametembelewa na majirani so siyo ungwana kuongea na simu na kuwaacha watu walokuja kuwatembelea, basi nikaamua kutulia.

Saa 11 alfajiri naona ujumbe namba ngeni inaniuliza unamjua tesa kama nani yako?, nikaamua kupiga na ikapokelewa na mwanaume, akaniambia yeye ni mume wa zamani wa huyo manzi na yuko naye hapo sasa anataka kujua mimi nani kwa huyo manzi?
Nikamuomba mwamba ampe simu tesa nikamuuliza huyo nani binti akaanza kulia na kuomba msamaha, baada ya maelezo mengi ya binti nikamwambia sawa rudi nyumbani.
Kwenye saa 4 ahsubuhi binti yuko nyumbani yeye dada yake, binti kaaguka misamaha ya kutosha nikamwambia poa nimekusamehe tuendelee nanmaisha.

KWa siku 21 sikumgusa na mama mazazi wa binti alikuwaga mkoa fulani hivi hatujawahi kuonana ila tunaongea kwa simu tu.
moyo wangu ulikuwa na kisasi kikubwasana na binti so nikaamua kusafiri mpaka mkoa aliopo mama yake mzazi (kwa kutumia taarifa nilizozipata kwa binti kwenye story za hapa napale) lengo nitulize kisasi changu lakini huku niliaga naenda mkoa mwingne kikazi.
Nikatia timu mkoa husika mama wa binti alikuwa anaphamarc mkoa husika nanilivyomuona nilitambua kuwa ni yeyebkwasababu wanafanana na mwanae na hapo safari yangu ya kisasi ikaanzia hapo
 
Acha tabia ya kuvutia alosto chief,ndo kumaanisha nn? Malizia tafadhali kabla sijakurrpoti Kwa balozi wa nyumba 10
 
Kuna watu ukiwafanyia ubaya watakulipa tuu ubaya hawarudi nyuma

Mitaa nliyoyoka , nimeshuhudia watu wawili kufa kwa mateso baada ya kugundulika wameingilia ndoa za watu

Wa kwanza

Jamaa alikua na saloon ya kunyoa + kukodisha movies
Huyu jamaa alikua maarufu mtaani, sasa kuna mke wa mtu akawa na mazoea ya kwenda saloon kwa jamaa kuchukua movies, yale mazoea yakazidi jamaa akawa anakula mke wa mtu, akaonywa ila jamaa akawa na kiburi sana
Alianza kuumwa ugonjwa wa ajabu akienda hospital hakuna kitu, aliteseka sana mpaka akafa

Wa pili

Ni binti mdogo inasemekana naye alikua anatembea na mume wa mtu, naye alionywa ila akawa anapuuza, naye aliugua ugonjwa wa ajabu akafariki
 
Nilikuwa na uwezo wa kukufanya chechote kwasababu nina wahuni wengi mno mjini ila niliwaza nikaona haina maana yeyote ile....ila mwanamke ndio akaondoka akaenda kwao baadae wazazi wangu wakalazimisha niende kwao tukamalize kwasababu wazazi wangu walikuwa wanampenda sana....sasa kwenye kikao akaanza kunipakazia uwongo ila chakushukuru mabaya yote nilikuwa narekodi pale alipokiomba msamaha na hata siku niliyowafuma niliwapiga picha wapo uchi kwahiyo nikawaonyesha kwenye kikao na nikashinda..ila akapaza sauti sikutaki tena nikamwambia sawa ila nimekuoa tumekaa miaka 6 ya ndoa Mwenyezi Mungu awe shahidi sikuwahi kuchepuka hata siku moja wala kukufanya ubaya wowote ule Mungu atanipigania nikaondoka....akakaa miezi miwili tangu aniache akafunga ndoa akakaa kwenye ndoa siku 6 mumewe akafariki alianza kupiga kelele kuwa kichwa kinauma palepale akafa hiyo ni 2022....mwaka 2024 yule mchungaji akamuoa nae akakaa nae miezi miwili kwenye ndoa nae akafa kwa ajali ya pikipiki..sasa yupoyupo tu kachoka
Kijana hujamroga kweli? Utafanya wanawaume wamuogope kumuoa, wakidhani watakufa.
 
Kuna lecturer mmoja mzumbe faculty ya sheria alinilia demu wangu early 2010s. Mungu ni mwema nikapata connection ya familia yake, nami nikala mkewe, mama amani, nikala dada yake, nikala baby mama wake j na mama yake mzazi na nikaweka mazingira ajue na nikamfikishia ujumbe anaefuata ni yeye. Alitumiq busara akaja dar tukayamaliza kiume
Una nyota ya kuwa jambazi
 
Back
Top Bottom