Tuliowahi kuchapiwa tukutane hapa.. ulichukua maamuzi gani? Binafsi yule jamaa aliyenichapia hatokaa asahau

Siwezi kufanya hiko kitu mzee, nimeongea hivyo katika akili ya kawaida huwez kutamani kumla mwanaume mwenzako japo mashoga yanaliwa kinyama mtaani huko. Sidhani kama wanaofanya hivyo Huwa wapo katika akili ya kawaida bila influence ya kitu chochote kichwani

Gambe inaonyesha their true colors. Hiyo ndo tabia yao. Mtu yeyote anayemuingilia mwanaume in any case, either kafumania, kalewa or whatever the case is huyo mtu ni shoga na alikua shoga hata Kabla. Tatizo wabongo wanadhani shoga ni mlawitiwa tu, hata mlawiti ni shoga equally.
 
Rudi kasoma post kuu halafu rudi kasome utetezi wako baada ya jamaa kukujibu. Utajua ulichokieleza hakina maana
haya supervicer nisome ili iweje, unafurahia kusondomola mme mwenzako au. Jamaa kiuhalisia alikurupuka ka ulivyokurupuka ww. Mfano huyo mgoni angewageuka akawajeruhi na baunsa wake faida kwa nani?
Kuna njia nyingi za kumuua panya na sio ukurupuke kumgonga akiwa juu ya vioo. Jama kakurupuka kufanya tukio ndio lakin huon mwishon lilimgharimu coz aliutoroka mtaa jumla after hata yeye kuaibika.
 
Jela Huwa wanafanyeje?
Siwezi kufanya hiko kitu mzee, nimeongea hivyo katika akili ya kawaida huwez kutamani kumla mwanaume mwenzako japo mashoga yanaliwa kinyama mtaani huko. Sidhani kama wanaofanya hivyo Huwa wapo katika akili ya kawaida bila influence ya kitu chochote kichwani
 
Mbagala imekuharibu mkuu.
Kuwahi kuishi mbagala si shida, haya mambo unaweza usione si sawa na ukasema huwezi chukua uamuzi kama huo. Ila ukumbuke sisi wanaume huoa mwanamke ambaye upendo upo hasa, huwezi kumuweka ndani mtu ambaye huna malengo naye.

Ikitokea sasa mtu kamla zile hasira na maumivu ndiyo huzaa maumivu mabaya sana. Ndugu sali na omba sana isikutokee unaweza sahau haya uliyoandika hapa
 
haya supervicer nisome ili iweje, unafurahia kusondomola mme mwenzako au. Jamaa kiuhalisia alikurupuka ka ulivyokurupuka ww. Mfano huyo mgoni angewageuka akawajeruhi na baunsa wake faida kwa nani?
Kuna njia nyingi za kumuua panya na sio ukurupuke kumgonga akiwa juu ya vioo. Jama kakurupuka kufanya tukio ndio lakin huon mwishon lilimgharimu coz aliutoroka mtaa jumla after hata yeye kuaibika.
Unajua ngoma ukiiona kwa nje unapata mengi sana ya kuongea, ila ukiingia ndani hata zile busara ulizotoa unaweza usizikumbuke ukawa zaidi yake. Hasira ni kitu kingine sana.

Sishabikii tukio kwa sana ila siwezi kosoa maana sijui ingenifika mimi ningefanyaje.
 
soma coment yangu ya kwanza kabisa kwenye huu uzi uone nilichokifanya mimi. Ukitaka upate suluhu ya swala usikurupuke, kwanza tuuliza akili na ujiulize kuwa kwani bila huyu siwezi kuishi? Baada ya hapo unaweza kufanya jambo ambalo hata wewe halitakugharimu. Kumbuka vita ni mawili ndugu yangu, ushinde na ushindwe. ukaenda revenge mambo yakageuka utafanyaje. Kuna watu inafka hadi wanabadilishana wake zao kisa usaliti bro na kufanya hivyo sio ujinga ni kuepukana na vita isiyo na maana bro. Mim jamaa alomchukua dem wangu hakunizidi nguvu ni mtu ningeamua kumpiga angechapika kama mtoto lakn niliepuka ulimbukeni nkaamua kulipiza kijanja. Mm nilitaka akioa nimchukulie mke ila msamaha ukapita
 
Nilichukua bag la mgongoni ni ka mblock for two years straight. Watoto 4, kakaa nao hapo, nawasomesha basi, Hakuna jingine mwanamme aliyekamilika anafanya zaidi ya kuondoka, na kumuacha na wanawe, Kumfukuza ni Mambo ya zamani.
Good, very Good!!!

Excellent!!
 
soma coment yangu ya kwanza kabisa kwenye huu uzi uone nilichokifanya mimi. Ukitaka upate suluhu ya swala usikurupuke, kwanza tuuliza akili na ujiulize kuwa kwani bila huyu siwezi kuishi? Baada ya hapo unaweza kufanya jambo ambalo hata wewe halitakugharimu. Kumbuka vita ni mawili ndugu yangu, ushinde na ushindwe. ukaenda revenge mambo yakageuka utafanyaje. Kuna watu inafka hadi wanabadilishana wake zao kisa usaliti bro na kufanya hivyo sio ujinga ni kuepukana na vita isiyo na maana bro. Mim jamaa alomchukua dem wangu hakunizidi nguvu ni mtu ningeamua kumpiga angechapika kama mtoto lakn niliepuka ulimbukeni nkaamua kulipiza kijanja. Mm nilitaka akioa nimchukulie mke ila msamaha ukapita
Ushswahi fumania mke?
 
Ushswahi fumania mke?
kuna kisa nimekiandika humu humu kwene coment nilifumania dem ambaye nilitaka kumuoa na jamaa flani mimi nilichojiuliza ni kwamba kwani dem ni mmoja tu na nikaamua kucheza nao bila kupigana na hadi wa leo wanabaki ni kucheka tu.
 
Kuwahi kuishi mbagala si shida, haya mambo unaweza usione si sawa na ukasema huwezi chukua uamuzi kama huo. Ila ukumbuke sisi wanaume huoa mwanamke ambaye upendo upo hasa, huwezi kumuweka ndani mtu ambaye huna malengo naye.

Ikitokea sasa mtu kamla zile hasira na maumivu ndiyo huzaa maumivu mabaya sana. Ndugu sali na omba sana isikutokee unaweza sahau haya uliyoandika hapa
Sawa mkuu nimekuelewa.
 
kuna kisa nimekiandika humu humu kwene coment nilifumania dem ambaye nilitaka kumuoa na jamaa flani mimi nilichojiuliza ni kwamba kwani dem ni mmoja tu na nikaamua kucheza nao bila kupigana na hadi wa leo wanabaki ni kucheka tu.
Kumbe umefumania demu si mke, hivi humu umeona watu wakieleza kumfanyia unyama mtu kisa demu au mke?

Wanaume wanazinguana kisa mke ila si kisa demu. Ukiona mtu anazingua mwenzake kisa demu jua bado ni mvulana
 
Back
Top Bottom