Tuliowahi kuchapiwa tukutane hapa.. ulichukua maamuzi gani? Binafsi yule jamaa aliyenichapia hatokaa asahau

Kuna huyo mmoja kanilia manzi angu ilikuwa mwaka huu niivute ndani, alivyona dharau kaibwaga baada ya miezi tu na ujauzito juu. Nimeenda mpaka kwa mwanasaikolojia kisa mapenzi, hakika atalipa na atajua kuna wengine hatugusiki labda aje kiroho tu

Siku anaingia kwenye 18 hataamini na atajuta kujua mi ni nani na kama angejua basi asingethubutu hata kumuongelesha neno huyo manzi
Kwanini umwone jamaa mbaya akati kakusaidia kukuonesha mkeo mtarajiwa alivyo.
 
Kuna huyo mmoja kanilia manzi angu ilikuwa mwaka huu niivute ndani, alivyona dharau kaibwaga baada ya miezi tu na ujauzito juu. Nimeenda mpaka kwa mwanasaikolojia kisa mapenzi, hakika atalipa na atajua kuna wengine hatugusiki labda aje kiroho tu

Siku anaingia kwenye 18 hataamini na atajuta kujua mi ni nani na kama angejua basi asingethubutu hata kumuongelesha neno huyo manzi
Bro Sija kuelewa yani demu huja muoa na bado UNATAKA kumdhuru mtu achana nae pita hivi, mi nomehudumia mademu kibao kutoboka pesa mingimingi na sikupiga, waliliwa na wengine na maisha bado yana songa bro, alafu ndo nakutana na vyombo sasa asikwambie mtu, wale wa zamani ssitaji hata stori nao
 
Dah pole sana jamani Hadi Kwa mwanasaikolojia.😢 Sijui kama utapenda tena
Kuna huyo mmoja kanilia manzi angu ilikuwa mwaka huu niivute ndani, alivyona dharau kaibwaga baada ya miezi tu na ujauzito juu. Nimeenda mpaka kwa mwanasaikolojia kisa mapenzi, hakika atalipa na atajua kuna wengine hatugusiki labda aje kiroho tu

Siku anaingia kwenye 18 hataamini na atajuta kujua mi ni nani na kama angejua basi asingethubutu hata kumuongelesha neno huyo manzi
 
Bro Sija kuelewa yani demu huja muoa na bado UNATAKA kumdhuru mtu achana nae pita hivi, mi nomehudumia mademu kibao kutoboka pesa mingimingi na sikupiga, waliliwa na wengine na maisha bado yana songa bro, alafu ndo nakutana na vyombo sasa asikwambie mtu, wale wa zamani ssitaji hata stori nao
Nimewaza hivyo pia
 
wewe ni mjinga na ulistahili kkutombewa demu hujamuoa unaleta ujinga, kwani wewe ulimkuta bikira
 
Bro Sija kuelewa yani demu huja muoa na bado UNATAKA kumdhuru mtu achana nae pita hivi, mi nomehudumia mademu kibao kutoboka pesa mingimingi na sikupiga, waliliwa na wengine na maisha bado yana songa bro, alafu ndo nakutana na vyombo sasa asikwambie mtu, wale wa zamani ssitaji hata stori nao
Huwezi kunielewa sababu wengi kati ya hao uliokula ulitanguliza nyege baadala ya hisia, huyu mimi niliwekeza kila kitu kwake kihisia, kimwili, kiuchumi mpaka kiroho, sio mtu niliyefahamiana naye jana hapana tulishakuwa na mipango ya muda mrefu
 
Back
Top Bottom