Haki umenikumbusha mbali. Mimi nilikuwa ndio nachumbia nitoroke na mtu. Si jamaa akapindua meza kwa kulamba demu na mimi nikajua ukweli wote na wakaanza kuleta maringo mbele yangu nikasema nyie hamnijui vizuri. Game lazma mtaikubali.
Nikapotezea ni kama sijui chochote baada ya mwezi nikaoa mdogo wake na jamaa nkakaa nae miezi miwili mimba tayari ati wakaja kudai mahari binti akiwa mimba na kikwetu haikubaliki hata kidogo. Wakarudi kwao empty handed namimi nikakaa na mtoto wao ili mimba iwekubwa hadi siku ya kwenda kujifungua nkampanga akaenda kwao after wiki akajifungu comrade mmoja photocopy yangu.
Mda huo ameenda kwao nafanya mchakato wa kumbeba mdogo wake na aliyekuwa demu wangu naye nikafanikisha nikamueka ndani kama mke wa pili nkatafuna nae mimba hiyo hadi akajifungua nae kavulana photocopy yangu mwishowe niliwaambia sina mda na nyie wakaenda kila mtu kwao watoto wapo home kwangu nimeoa kwingne maisha yanasonga watoto ni wakubwa hadi nikikutana na jamaa tunabaki tu kucheka na hawakuoana. Wamo hum