Lopsided_Truth
JF-Expert Member
- Jun 12, 2026
- 250
- 939
- Thread starter
- #21
Nakuelewa mkuu.. hii kitu inauma, watu ambao haijawakuta wanaweza kudhani masikharaKwakweli inauma, niliachana na mshkaji nikampa makofi demu alafu from that moment nikakata mawasiliano. Alituma watu wengi marafiki na dada zake ila siku nilipoitwa na mama yake mzazi na kumuombea msamaha moyo wangu ukalainika na kumsamehe. Chakushangaza sasa siko nae though tuna mtoto na mawasiliano ni kwaajili ya mtoto tu.