kusema kwamba kila mmoja kidume alishachapiwa au sio mwanawaneHuu uzi utafika mbali.
Haaa Ulimtimua Haraka Sana Kama Jiwe Alivyomtengua Ernest ManguMimi sikusubiria aliwe nilikuta sms ndo wanachati na jamaa yani wanatongozana sikuiyo iyo nilimfukuza akaenda kwao tangu mwaka 2018 hadi leo ni single mama aliyekubuhu na hajaolewa anagawa utamu tu uko mimi nilioa mda sana
aiseee wee kweli noma mwanawane unapiga shot on target goli hakuna kukoseaHaki umenikumbusha mbali. Mimi nilikuwa ndio nachumbia nitoroke na mtu. Si jamaa akapindua meza kwa kulamba demu na mimi nikajua ukweli wote na wakaanza kuleta maringo mbele yangu nikasema nyie hamnijui vizuri. Game lazma mtaikubali.
Nikapotezea ni kama sijui chochote baada ya mwezi nikaoa mdogo wake na jamaa nkakaa nae miezi miwili mimba tayari ati wakaja kudai mahari binti akiwa mimba na kikwetu haikubaliki hata kidogo. Wakarudi kwao empty handed namimi nikakaa na mtoto wao ili mimba iwekubwa hadi siku ya kwenda kujifungua nkampanga akaenda kwao after wiki akajifungu comrade mmoja photocopy yangu.
Mda huo ameenda kwao nafanya mchakato wa kumbeba mdogo wake na aliyekuwa demu wangu naye nikafanikisha nikamueka ndani kama mke wa pili nkatafuna nae mimba hiyo hadi akajifungua nae kavulana photocopy yangu mwishowe niliwaambia sina mda na nyie wakaenda kila mtu kwao watoto wapo home kwangu nimeoa kwingne maisha yanasonga watoto ni wakubwa hadi nikikutana na jamaa tunabaki tu kucheka na hawakuoana. Wamo hum
Kama Nakuona Vile 💘💕💓💞💖♥️Hicho kitendo ni zaidi ya ubabe
Ulikodi wahuni kwenda kumaliza kazi kisasi ni hakiNishawahi!
aiseee sii mchezo hapo mwisho umesemaje vile...ulitaka upote na lecturer mwenye au kichwa changu majiKuna lecturer mmoja mzumbe faculty ya sheria alinilia demu wangu early 2010s. Mungu ni mwema nikapata connection ya familia yake, nami nikala mkewe, mama amani, nikala dada yake, nikala baby mama wake j na mama yake mzazi na nikaweka mazingira ajue na nikamfikishia ujumbe anaefuata ni yeye. Alitumiq busara akaja dar tukayamaliza kiume
Sinaga huo muda mchafu, nina mambo mengi ya kufikiri na kufanya pia!Ulikodi wahuni kwenda kumaliza kazi kisasi ni haki
Usije kua na hasira za kubaki kimya uku unanyatiaSinaga huo muda mchafu, nina mambo mengi ya kufikiri na kufanya pia!
Sina hicho kifua, nakwambia nikichoka nafanya mambo mengine..Usije kua na hasira za kubaki kimya uku unanyatia
Wewe Kuweza ?🙆♂️👋👋Tusifike huko wakuu, haya mbona yanazungumzika tuu🙆🏽♀️
Aisee!🤔Wewe Kuweza ?🙆♂️👋👋
Mbona alikua mwepesi tu afu mtu wa pombe nyingi...japo nilimtisha tuaiseee sii mchezo hapo mwisho umesemaje vile...ulitaka upote na lecturer mwenye au kichwa changu maji
Mkuu ukichovya unahisi nini?. Hebu fafanua. Maana mtoa mada akujua kitu mpaka ameona liveNiliwaambia watu humu kwamba demu akitombesha nje kama unaishi naye ushamzoea,ukichovya utaona tu tofauti wala hata huchunguzi.
NB:Ukiona mkeo a akupa excuses kibao ukihitaji mzigo hasa km umerudi ghafla toka safari,anza kufuatilia.
kwa hiyo mwanawane mke wa lecture ulimpiga style gani hahahhaaMbona alikua mwepesi tu afu mtu wa pombe nyingi...japo nilimtisha tu