Tuliowahi kuchapiwa tukutane hapa.. ulichukua maamuzi gani? Binafsi yule jamaa aliyenichapia hatokaa asahau

Tuliowahi kuchapiwa tukutane hapa.. ulichukua maamuzi gani? Binafsi yule jamaa aliyenichapia hatokaa asahau

Mtu akikusaliti:

  • Kubali ukweli kwa utulivu, hata kama ni mgumu.
  • Epuka kufanya maamuzi ukiwa na hasira kali.
  • Usitumie vurugu kwa anayehusika au mtu mwingine yeyote.
  • Chukua muda wa kutuliza akili na kutafakari.
  • Ongea na watu wenye busara wanaoweza kukushauri vizuri.
  • Jikumbushe kuwa thamani yako kama mwanaume haitegemei uaminifu wa mtu mwingine.
  • Kama mahusiano hayawezi kuendelea, ondoka kwa heshima na uanze ukurasa mpya wa maisha.
Pia ni muhimu kutambua kwamba si wanawake wote wasio waaminifu, kama ambavyo si wanaume wote wasio waaminifu. Mahusiano mazuri hujengwa na watu wawili wenye uaminifu, mawasiliano, heshima na uwajibikaji. Kuingia kwenye mahusiano ukiamini moja kwa moja kuwa lazima usalitiwe kunaweza kukufanya uishi kwa hofu na mashaka kila wakati.

Uamuzi ulio fanya mtoa maada ni uamuzi wa kipuuzi sana, hasa ukizingatia unamfanyia mwanaume mwenzio kisa mwanamke, ungekua umesoma somo moja tu la kuto kumwamini mwanamke kwenye mapenzi wala huo ujinga usinge fanya.Do not trust womens, never never.

Ushauri wangu kwa vijana ni huu:
Thank you wise man 🙏🏿🧎🏿‍♂️
 
nilijuwa mke wangu anamtu niliamua kucheza kamchezo nikamwambia mke wangu ninasafari ya ghafla ya kama siku tatu.mm sikuenda sehemu nikaingia uvungun mwa kitanda.mke wangu bila kujua nipo uvungun akapiga simu akamwambia kuwa sipo na leo nikujivinjari. baada ya mda mfup njemba akaingia wakafanya ya kwao.saa zile wanataka kuanza gemu nilitokea huko uvungun kama jini. wote walikuwa watupu mke wangu naye alishtuka mpaka akazimia bila kupoteza mda.njemba sikumgusa nilimwambia tu atoke na huyo mwanamke waende wote. na talaka nikampa mpaka leo nikimkumbuka natoka wazimu mpumbavu sana.
Hii sio KAOLE kweli
 
Ila kiukweli wake za watu ni miyeyusho.

Yaani msela anaipiga kila siku alafu na wewe unachovya humo humo

Kibaya zaidi, watu wanahangaika sana. Mwanandoa mmoja, kwa uchache, anakua na michepuko zaidi ya 5

Mimi sinaga issue na wake za watu, ata nikibaki naye kisiwani peke yetu kwa miaka miwili, simgusi
Hii safi sana inapaswa tuheshimu wake za watu kinyume na hapo yaweza kukukuta yaliyomkuta mwamba hapo juu
 
Dah mkuu una visasi vikali sana jamani! Unalipiza as if dunia nzima wewe ndio yanakutokea? Kwani huyo mwanamke ndio ticket yaww kwenda ahera au? Duhh mtu akizingua si unaoiga chini mara moja tu!
Maneno yatakuwa mengi, jamaa kagongewa yupo kama fala..

Mimi huwa nalipa mara kumi ya ubaya.

Bidada ashukuru sana. Nilikuwa tayari kupoteza vyote. Ningefanya tukio ambalo taifa lingeshusha bendera nusu mlingoti
 
Back
Top Bottom