Vitombi wakigongewa huwa wanajaa upepo sana na kutaka kuua watu! Kuna broh mmoja wa kuitwa wence kitaani kwetu, miaka ya 2008, alikuwa kitombi sana. Kama kawaida ya vitombi huwa na wake wazuri sana. Jamaa alikuwa na mke shombe wa kiarabu wa kuitwa Zakia.
Si akaja kugundua kuna msomali mmoja bosi wa malori, anammegea mkewe tena kwa kujigamba kabisa! Msomali yule alikuwa firauni sio kidogo. Lakink alikutana na mafia mwenzake wakacheza mchezo wa kihuni kupimana makali. 😊
Huyu msomali mtoto wa Mombasa, Wense mtoto wa Sinza kazaliwa Gerezani.
Basi kwa umafia, Wense akakusanya wahuni toka Msamvu Morogoro, akawaleta Dar, akawapa ramani yote na mipango ya tukio lile. Misheni ni kuteka msomali kumpeleka "SAFE HOUSE" kumpiga mtungo, kumvunjia mayai kama wanavyosema watoto wa mjini. Bila kuchukua hata mkufu wake, wala fedha wala kumpiga popote pale. 😊
Yule msomali alikuwa kitasa, na anakiwa na mguu wa kuku full-time. Lakini wahuni walimdaka kizembe sana mitaa NHC-Ubungo hapo na kumpeleka "Safe house" kumpaka mafuta. Wanadai alikuwa anatumia mapikipiki makubwa yale, ameingia mgahawani, anatoka wahuni wakamdaka.
Badae walimrudisha mitaa hiyo hiyo na kumtupa hapo mgahawani. Masai ndio wanamuokota mtaroni giza imeanza kuingia. Pikipiki ilikuwa pale pale alipopaki, hakuna mtu alisanukia kama mhusika katekwa. Ishu iliisha kimya kimya namna hiyo. Hakukuwa na ripoti yeyote popote pale. 😊
Mjini kuna mengi. 😊