Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 16,028
- 23,380
Wewe ndiye umenielewesha sawa sawa na point hii inaleta maana.Muhuni alierect baada ya kumvutia hisia mke wa jamaa anaefumania
Mkuu, umenikumbusha jambo 😂Ila ushujaa mliouonesha katika fumanizi hilo pamoja na huyo rafiki yako ni kule kudindisha huku mkiwa na huzuni, panic pamoja na hasira!
Sijaelewa jambo hilo linawezekanaje!
Yah bro, mara nyingi wanawake zetu huko nje wanasema hawana waume hvy mshikaji unaamua kupita nae, sasa unakuja kuwafumania unaanza kumuumiza Jamaa wakati kosa n mwanamke wako alisema hana mwanaumeNakumbuka nilikuwa nafahamu kila kitu,mpaka yule jamaa, mwajiriwa manisipaa kinondoni.
Ila sikufanya jambo lolote kwa yoyote ila nlihakikisha wanajua kwamba najua kisha nkakaa kimya.
Nafikiri, tukifumania anayekuwa na makosa ni mwenzj wangu/ wako. Binafsi nafikiri ni sahihi zaidi kumalizana na huyo mwenza wako maana mchepuko wake ni wazi haukumlazimisha. Alimua kwa utashi wake. Makosa yanakuwa ni upande wake.
Sasa kosa la demu, ww unalihamishia kwa mshikajiKuna huyo mmoja kanilia manzi angu ilikuwa mwaka huu niivute ndani, alivyona dharau kaibwaga baada ya miezi tu na ujauzito juu. Nimeenda mpaka kwa mwanasaikolojia kisa mapenzi, hakika atalipa na atajua kuna wengine hatugusiki labda aje kiroho tu
Siku anaingia kwenye 18 hataamini na atajuta kujua mi ni nani na kama angejua basi asingethubutu hata kumuongelesha neno huyo manzi
Naam, ninajua kudindisha ni furaha, sasa jamaa guage ilisoma huku akiwa na makasiriko pamoja na maumivu moyoni!Mkuu, umenikumbusha jambo 😂
Niliwahi kufukuzwa kazi, nakumbuka that time kwa zaidi ya miezi sikukumbuka kama nna uboo kutokana na maumivu na mawazo ya kufukuzwa kazi.
Ila sio kwamba kila mwanamke anaefanyiwa hivyo anatendewa vibaya kwenye ndoa...halafu una uhakika gani kuwa huyo mwanamke hajakudanganya ili usimuone muhuni? Mimi sitoi mifano kwa watu bali najitolea mwenyewe kwenye ndoa yangu fikiria mkewangu anachepuka namuuliza kama Kuna jambo halipo sawa niambie ila sio kwenda nje jibu alilokinipa ni kwamba ni shetani tu,,,haya mambo yanaumiza mno nikatuma shangazi zake wamuulize labda wao atawaambia ukweli ila hata wao aliwajibu kuwa hakuna tatizo lolote lile,,,,aisee sitooa mwanamke asie bikraNiliumia sana baada ya kupokea simu ya mwanaume mwenzangu akiniambia niachane na mke wake.
Nikakiri Kua anisamehe sikujua kama mke wa mtu. Akaniambia anampenda sana na ana mtoto naye mmoja.
Aki nikajiapiza nishaachana na huyu dada shetani.
Alikua mfanyakazi mpya ofisini. Ajabu ni Kila nikimuona roho inapaa kwa uzuri wake na nikikumbuka manjonjo yake.
Nikawa najikaza na kumkwepa. Ila mwanamke akiamua lake, yeye ndio akawa ananitafuta wikiend na najikuta nashindwa kuvumilia.
Jamaa yake akaona njia sahihi ni Kua karibu na Mimi. Akanipigia akaomba tukutane. Nikaona mtego huu.
Jibu nililompa ni a deal na mke wake kwani kama ni tabia yake atatafuta mwanaume mwingine ams.x .
Baada ya miez kadhaa jamaa alikata moto.
'uliyekua unamwogopa ashakufa' Binti aliniambia. Hakuumizwa kabisa na kifo cha mumewe.
Kuna siku alikua magetoni ametokea kwenye msiba kavaa manguo meusi.
Nikamuuliza marehemu amekutendea Nini mpaka ulikua unamchukia hivi??
Majibu yake yalinisikitisha hata Mimi.
Jamaa tuishi na wake zetu kwa upendo. Mara nyingi maumivu tunayowasababishia ndio hutengeneza tabia mbaya mioyoni mwao. Na ukute hawana wa kumwelezea.
Wanaishi na chuki dhidi yetu ni vile tu wafanyaje.
Tatizo ni sisi wanaume tunaoa malaya, afu demu akifanya huo umalaya nje huko tunaumia na kuanza kuwaona wanaume wenzetu wabaya wakati ni sisi wenyewe tumeoa malayaKwenye hizi comments nimegundua kwamba wanaume wengi wanakula wake za wenzao.
Na wanaume wengi pia wanaunga mkono adhabu ya mleta mada,
kwa maana hiyo mashoga ni wengi sana mtaani zaidi ya inavyosemwa kwasababu once in never out.
Itoshe kusema kwamba ukipenda kula kimasihara, jiandae kuliwa kimasihara pia.
Kwahiyo wanaume wanafirana kwasababu ya malaya! Hapa kweli ni masikitikoTatizo ni sisi wanaume tunaoa malaya, afu demu akifanya huo umalaya nje huko tunaumia na kuanza kuwaona wanaume wenzetu wabaya wakati ni sisi wenyewe tumeoa malaya
Mbona umebase sana kwenye kufirana wakati mm comment yangu haijasema hvy?Kwahiyo wanaume wanafirana kwasababu ya malaya! Hapa kweli ni masikitiko
Na unapendekeza kwamba tuoe bikra ili kupunguza kesi za wanawake kuchepuka hence kupunguza ufirwaji wa wanaume, hence mashoga kupungua!,
Kama ni hivyo naunga mkono hoja; oa bikra!
Nimalize kwa kusema kwamba unaweka uanaume wako rehani kama usipooa bikra, na uwezekano wa wewe kudidimizwa ni mkubwa.
#oa bikra
#linda matako yako
#epuka malaya
analinda kundu lakeMbona umebase sana kwenye kufirana wakati mm comment yangu haijasema hvy?
Mm Nmesema kuona wanaume wengine wabaya, wakati kosa lipo kwa huyo malaya uliyemuoa, hayo mambo ya kufirana n yako mwnyw
Kama una uwezo wa kupotezea fanya hivyo. Mimi huwa siwezi ndio maana nimefanya hivyomimi imenikuta hii leo uamuzi nilofanya nimemtimua wife nmebaki na mtoto wangu
kuhusu jamaa nina hints zake kadhaa na kuna muhuni nimempa some details za kumuhusu ila najiuliza nimroge,nimfanyie umafia au nipotezee maisha yaendelee