Kijukuu cha ngoyayi
JF-Expert Member
- Oct 27, 2018
- 3,358
- 6,667
Km unajua ulishawahi kula mali ya mtu siku wahuni wakidema headquarter kwa mama la mama we vunga tu km hakuna kitu
Endelea kula wake za watuNyuzi za kutunga hizi Hazina uhalisia
Acha wajiamini kutembea na wake za wenzao. Majibu watayapataUkichapiwa hakikieha unachujua hatua yoyote ngumu, tofauti na hapo utaisha Kila kitu
❤️💘💓💕💞😍Mimi mke wa mtu na wanafunzi niko mbali sana
Mkuu endelea kuishi humo.. utaepukana na mengi yasiyo ya lazimaMimi mke wa mtu na wanafunzi niko mbali sana
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥👋👋👋✌️Mkuu endelea kuishi humo.. utaepukana na mengi yasiyo ya lazima
HahahhKm unajua ulishawahi kula mali ya mtu siku wahuni wakidema headquarter kwa mama la mama we vunga tu km hakuna kitu
Na kajifungua tayariYaani ulivyomalizia the Good thing
Hahaha
Pole sana ,Imekuwaje ukamfumania?mimi imenikuta hii leo uamuzi nilofanya nimemtimua wife nmebaki na mtoto wangu
kuhusu jamaa nina hints zake kadhaa na kuna muhuni nimempa some details za kumuhusu ila najiuliza nimroge,nimfanyie umafia au nipotezee maisha yaendelee
Jamaa alikuwa na Kosa gani Hadi kuchukiwa na mkewe hvo?Niliumia sana baada ya kupokea simu ya mwanaume mwenzangu akiniambia niachane na mke wake.
Nikakiri Kua anisamehe sikujua kama mke wa mtu. Akaniambia anampenda sana na ana mtoto naye mmoja.
Aki nikajiapiza nishaachana na huyu dada shetani.
Alikua mfanyakazi mpya ofisini. Ajabu ni Kila nikimuona roho inapaa kwa uzuri wake na nikikumbuka manjonjo yake.
Nikawa najikaza na kumkwepa. Ila mwanamke akiamua lake, yeye ndio akawa ananitafuta wikiend na najikuta nashindwa kuvumilia.
Jamaa yake akaona njia sahihi ni Kua karibu na Mimi. Akanipigia akaomba tukutane. Nikaona mtego huu.
Jibu nililompa ni a deal na mke wake kwani kama ni tabia yake atatafuta mwanaume mwingine ams.x .
Baada ya miez kadhaa jamaa alikata moto.
'uliyekua unamwogopa ashakufa' Binti aliniambia. Hakuumizwa kabisa na kifo cha mumewe.
Kuna siku alikua magetoni ametokea kwenye msiba kavaa manguo meusi.
Nikamuuliza marehemu amekutendea Nini mpaka ulikua unamchukia hivi??
Majibu yake yalinisikitisha hata Mimi.
Jamaa tuishi na wake zetu kwa upendo. Mara nyingi maumivu tunayowasababishia ndio hutengeneza tabia mbaya mioyoni mwao. Na ukute hawana wa kumwelezea.
Wanaishi na chuki dhidi yetu ni vile tu wafanyaje.
Madini Sana mkuuMtu akikusaliti:
Pia ni muhimu kutambua kwamba si wanawake wote wasio waaminifu, kama ambavyo si wanaume wote wasio waaminifu. Mahusiano mazuri hujengwa na watu wawili wenye uaminifu, mawasiliano, heshima na uwajibikaji. Kuingia kwenye mahusiano ukiamini moja kwa moja kuwa lazima usalitiwe kunaweza kukufanya uishi kwa hofu na mashaka kila wakati.
- Kubali ukweli kwa utulivu, hata kama ni mgumu.
- Epuka kufanya maamuzi ukiwa na hasira kali.
- Usitumie vurugu kwa anayehusika au mtu mwingine yeyote.
- Chukua muda wa kutuliza akili na kutafakari.
- Ongea na watu wenye busara wanaoweza kukushauri vizuri.
- Jikumbushe kuwa thamani yako kama mwanaume haitegemei uaminifu wa mtu mwingine.
- Kama mahusiano hayawezi kuendelea, ondoka kwa heshima na uanze ukurasa mpya wa maisha.
Uamuzi ulio fanya mtoa maada ni uamuzi wa kipuuzi sana, hasa ukizingatia unamfanyia mwanaume mwenzio kisa mwanamke, ungekua umesoma somo moja tu la kuto kumwamini mwanamke kwenye mapenzi wala huo ujinga usinge fanya.Do not trust womens, never never.
Ushauri wangu kwa vijana ni huu:
Muhuni alierect baada ya kumvutia hisia mke wa jamaa anaefumaniaHivi huyo baradhuli akiwemo humu, anaweza akacomment chochote?
Ila ushujaa mliouonesha katika fumanizi hilo pamoja na huyo rafiki yako ni kule kudindisha huku mkiwa na huzuni, panic pamoja na hasira!
Sijaelewa jambo hilo linawezekanaje!