Tuliowahi kuchapiwa tukutane hapa.. ulichukua maamuzi gani? Binafsi yule jamaa aliyenichapia hatokaa asahau

Tuliowahi kuchapiwa tukutane hapa.. ulichukua maamuzi gani? Binafsi yule jamaa aliyenichapia hatokaa asahau

Nimesoma hapa kwa utulivu kabisa.
Nimegumdua wanaume wanaumia zaidi wakisalitiwa.
Mimi mwanaume wangu alinisaliti na NDUGU yangu,
Nilimlipia ila bado nina kisasi ntamlipa kubwa zaidi.
Ashukuru MUNGU.baba ake ana kisukari,
Ningezaa nae kabisa na ngingemtesa mama ake mpaka aombe pooo.🤣
🤗

Ulimlipaje mkuu?
 
Tumia akili mkuu, ndoa inaheshimu maamuzi ya mtu na mtu anapoamua kutoka nje ya ndoa basi maamuzi yake yaheshimiwe ndo maana kuna talaka pia.

Amekuona wewe humfai tena, ungeheshimu maamuzi yake ungemuacha aende kuliko kumdhuru kiasi hiko mwanadamu mwenzio kwa kosa la mke wako mwenyewe.

mwanaume yeyote anayethubutu kuchukua mke wa mtu makusudi ameonesha dharau kubwa kiwango cha sgr, hivyo basi hata ukioa mwanamke mwingine atarudi tu,
tukae mbali na wake za watu
 
Mimi story yangu iko hivi.
Kuna mwanamke ni age mate wangu tulikutana tu katika mihangaiko,akawa mshikaji wangu kwanza,ni mke wa mtu wa ndoa takatifu kabisa ya kanisani,so katika kuzoena nikanote ndoa yao ina changamoto,so huyu manzi ule ukaribu wa kuwa na mimi akajikuta amedevelop feelings na mimi,nikaanza kuwa naichapa,hivi tunavyozungumza nimemtia mimba anajifungua mwezi ujao,mumewe anajua mimba ni yake..uzuri jamaa hajawahi kuhisi kama namtombea mkewe.hapo kimbembe nawaza mtoto akizaliwa akiwa anafanana na mimi itakuaje...the good thing ni kwamba tuko mikoa tofauti.
Yaani ulivyomalizia the Good thing
Hahaha
 
Wakuu mambo ni aje.

Maisha yana mambo mengi sana ya kufurahisha na kuumiza..

Najua ni wengi tumeshawahi kukumbwa na situation ya kuchapiwa japo wanasemaga ni siri ya ndani. Katika jambo hili kila mmoja ana namna yake ya kuyabeba au kuyatolea maamuzi, hatuwezi kufanana.

Binafsi kuna mke nilikuwa nae miaka ya nyuma kidogo na kipindi ndoa ikiwa bado changa niliwahi kutonywa na makachero kuwa kuna jamaa anaruka nae ila nikawa sina ushahidi wa moja kwa moja hivyo nikabeza.

Nilikuwa nampenda sana yule mwanamke kiasi cha kutokuamini kila negative energy iliyokuwa inatoka kwa watu ili wasije kuharibu kile nilichokitengeneza, hakika nilikuwa kipofu.

Siku zikazidi kwenda, sikuwahi kumuuliza mke, na wala sikufanikiwa kuona dalili yoyote kwake kuonyesha kama ana kitu cha tofauti. Alikuwa msiri sana.

Ilifikia hatua kuna rafiki yangu mmoja alinitumia picha whatsapp ya huyo mtu ambae anasemekana ndio anaenichapia

Narudi


Sikutilia saana maanani, nikaendelea tu pasipo kujali. Nilikuja kupata safari kidogo kama siku tatu. Niliporudi ndio nikaanza kubaini utofauti. Siku hiyo nilikuwa nina hamu sana nae lakini cha ajabu akawa mgumu na vijisababu vingi ili tu tusifanye hivyo. Na siku hiyo alikuwa ni kama mtu mwenye wasiwasi na kujistukia stukia isivyo kawaida.

Nililazimisha hadi alipoamua kukubali japo hakuonyesha kuridhia kabisa. Cha ajabu wakati wa mchezo nikagundua kuna utofauti kwenye uke wake, ni kama alitumika siku hiyo. Kwa kuwa siyo mtu wa kuongea sana, sikumuuliza chochote ila akili ikawa imeanza kuamini na kurejelea yale watu waliniambia ikabidi nianze kufuatilia kwa kina.

Niliweza kumfahamu kwa kuonyeshwa kabisa yule mtesi wangu. Ilihitaji moyo mgumu sana maana sikuwahi kumuuliza hata wife wala kumfata yule jamaa. Nilikaa na maumivu yangu.

Siku moja kuna vijana wawili huwa nawapa michongo ya kazi mmoja alinifuata akaniuliza kuhusu hiyo situation ya mke kutoka nje na mtu mwingine na kutaka kujua endapo nafahamu au la, ila nilijibu kuwa ninasikia pia ila nipo katika kufuatilia. Ni vijana wahuni tu wapambanaji.

Nilianza kuweka attention kwenye simu ya wife ili kujua nini kinaendelea. Sikufanikiwa kabisa kupata chochote. Alifanya kwa kujihami sana. Hakukuwa na meseji wala simu za kutilia mashaka. Phonebook pia ilikuwa na majina ambayo asilimia kubwa hayakunipa mashaka hadi pale nilipogundua kumbe alikuwa anamiliki laini nyingine kwa siri sana.

Niliikuta kabati la nguo ikiwa imefichwa kwenye kakona. Hapo ndio ukawa mwanzo wa kugundua mambo yake mengi sana. Niliweza kupata jumbe ambazo zilitumwa akiwa hapatikani, zote zikiashiria ni kweli kuna ujinga amekuwa akifanya.

Nikatumia namba hiyo kujaribu kuingia Facebook, ikaonyesha ina account, ila jina si la wife. Nikaenda kipengele cha forget password nikatumiwa msimbo nikawa nimelog in. Sikukuta cha maana wala hata picha hazikuwepo ila nikaingia kipengele cha ujumbe nikakutana na mabalaa. Chatting nyingi sana na account ambayo inaonyesha picha ya yule mtu nilieambiwa ndio anatoka nae. Mambo kibao, ikiwa pamoja na mipicha ya utupu wakiwa wametumiana na kusifiana.

Nilihisi kuishiwa nguvu. Simu ya wife niliwahi kupita huko pote hadi Insta na fb zake ila kulikuwa na account zake za kawaida. Nadhani hii alikuwa akiitumia mara chache kufanyia uchafu kama huu. Nilipomaliza nilirudisha ile line pale ila bado sikusema kitu kwake

Siku ya siku, Mungu si Othman wife aliexpose weakness kwenye simu yake nikagundua ana appointment na jamaa. Kifua kilikuwa kimejaa sana kwa hasira huku nikiwa najaribu kuigiza kama hakuna kitu. Kama ningekuwa mtu wa kuamua haraka basi ningeshamuua kabisa kwa shahidi zile nilizobaini hadi kufikia pale.

Baada ya kujua anapotaka kuelekea niliwatafuta mmoja kati ya wale jamaa wawili wahuni nikaorganize tufanye kufumania siku hiyo ya tukio. Yule jamaa huwa amejenga kajumba nje ya mji kidogo na ndipo huwa wanafanyia mambo yao (nilibaini kupitia chatting zao) na kuona kwao ndio eneo salama na niliwahi kufanya uchunguzi kwa siri hadi kujua huko alipoamua kuji-isolate na hako kajumba kake.

Nilikuwa nimeshajiapiza, kama leo naenda jela wacha niende au kama nitakufa wacha nikufe tu au kupoteza kila kitu ila nitoe fundisho.

Mke alimaliza mambo yake akiwa kaandaa kila kitu hadi chakula na kuondoka pasipo kujua tayari nimekuwa nafuatilia kwa siri. Alipoondoka kama nusu saa nikaondoka pia kuelekea kule kwa yule mchepuko wake nikiwa na yule jamaa mhuni. Nilipanga nitaenda moja kwa moja na kugonga mlango tu. Kama hawatokuwa humo basi watakuwa wamebadili location na mchongo unakuwa umebuma.

Tulifika pale, tukawa tunasikia maongezi ndani. Sauti ya wife na jamaa wakiongea huku wanacheka. Hasira zikapanda hadi nikawa natetemeka huku jasho linatoka. Muda huo ninalo panga. Jamaa niliekuwa nae anayo kisu. Kwakuwa kule papo scattered haikuwa ngumu kufanya nilichokuwa nafikiria. Niligonga mlango kistaarabu sana.Pakawa kimya kwa sekunde ghafla Jamaa akawa kafungua ikabidi tuzame nae ndani ili asije kukimbia..

Wife kaanza kulia pamoja na jamaa huku akiwa anatuomba tusimuue.. sikutaka mambo mengi, nilimwambia inabidi tufanye makubaliano tu. Mambo yalikuwa mawili, nimuue au akubali kuingiliwa. Nilikuwa tayari kupoteza kila kitu kwa hasira niliokuwa nayo. Sikuwa na machaguo zaodi ya hayo mawili. Nilimwambia wife akae kimya kabisa maana mambo yanaenda kimya kimya. Sikutaka watu wa mbali ashtuke hata mmoja. Akileta kelele basi wote mi nawaua.

Jamaa alilia sana kuomba msamaha, nilimchoma kisu kikazama pajani hapo akaona kweli ntamuua. Muda ulisogea akiwa ameshapigika sana akaona akubali chaguo la kumfanya abaki hai.

Hakukuwa na namna, bora wote tudhalilike tu. Yule kijana ndio alimshughulikia wife akiwa anajiliza tu huku akisema mimi mumewe ni shetani kabisa, siwezi kuruhusu mambo yale. Jamaa aliomba sana asije kutangazwa.

Baada ya kile kitendo tukaondoka tukiacha nyumba inanuka mimavi nikamwambia sasa mnaweza kuendelea.

Baada yakutoka pale nilimpa yule jamaa hela nikamwambia aende anapojua kwanza kusikilizia upepo. Mimi nikaenda home nikachukua kadi zangu nikapanda gari nikatokomea kwenda kusikilizia sehemu. Zikapita wiki mbili ila kukawa bado hakuna dalili kama jamaa aliripoti popote au wife ikabidi nirudi. Sikumkuta hata wife nadhani alikimbia. Baadae sana nikapiga simu kwao kujua kama kaenda huko nikaambiwa ndio.

Yule jamaa aliekuwa anamgonga nilikuja kumuona sehemu kajikondea, sura haina nuru. Inaonyesha kabisa anafedheheka na alichofanyiwa.

Nilifanya mpango nikahama kabisa na kutokomea mbali ili asije kuwa na hesabu za kunidhuru..


Kwako ilikuwaje
Aise pole sana mkuu japo habari imeishia vibaya kwani huyo 'umemuingiza kwenye ushetani pengine hakuwahi kujihusisha'.
Kwa upande mwingine siwezi kukulaumu kwani matukio yanayoumiza nafsi kama hili binafsi naamini litakalomjia kichwani muhusika ndilo litakalotendeka,mtendwa anaweza kukubali yaishe bila kufanya chochote kibaya kwa mshtuko tu.
Maisha yana mitihani sana haya 🙌
 
Aise pole sana mkuu japo habari imeishia vibaya kwani huyo 'umemuingiza kwenye ushetani pengine hakuwahi kujihusisha'.
Kwa upande mwingine siwezi kukulaumu kwani matukio yanayoumiza nafsi kama hili binafsi naamini litakalomjia kichwani muhusika ndilo litakalotendeka,mtendwa anaweza kukubali yaishe bila kufanya chochote kibaya kwa mshtuko tu.
Maisha yana mitihani sana haya 🙌
Mkuu mimi huwa naona kila mtu amalize mambo kwa namna anavyoona inamfaa yeye kumaliza sumu zake
 
Mtu akikusaliti:

  • Kubali ukweli kwa utulivu, hata kama ni mgumu.
  • Epuka kufanya maamuzi ukiwa na hasira kali.
  • Usitumie vurugu kwa anayehusika au mtu mwingine yeyote.
  • Chukua muda wa kutuliza akili na kutafakari.
  • Ongea na watu wenye busara wanaoweza kukushauri vizuri.
  • Jikumbushe kuwa thamani yako kama mwanaume haitegemei uaminifu wa mtu mwingine.
  • Kama mahusiano hayawezi kuendelea, ondoka kwa heshima na uanze ukurasa mpya wa maisha.
Pia ni muhimu kutambua kwamba si wanawake wote wasio waaminifu, kama ambavyo si wanaume wote wasio waaminifu. Mahusiano mazuri hujengwa na watu wawili wenye uaminifu, mawasiliano, heshima na uwajibikaji. Kuingia kwenye mahusiano ukiamini moja kwa moja kuwa lazima usalitiwe kunaweza kukufanya uishi kwa hofu na mashaka kila wakati.

Uamuzi ulio fanya mtoa maada ni uamuzi wa kipuuzi sana, hasa ukizingatia unamfanyia mwanaume mwenzio kisa mwanamke, ungekua umesoma somo moja tu la kuto kumwamini mwanamke kwenye mapenzi wala huo ujinga usinge fanya.Do not trust womens, never never.

Ushauri wangu kwa vijana ni huu:
Umeeleza vizuri juu ya kutulia na kutafakari kabla ya kuchukua maamuzi, hujaona mtoa mada hadi alipuuza alipoambiwa kabla?
Hii inaonyesha alimuamini mkewe,jamaa kampa adhabu kali sana lakini vipi angemtoa uhai kabisa?
Kingine mtu anayekufahamu(eneo mloishi) akikuchapia inakua ni dharau pia kaamua kukukomoa na hii inaongeza hasira kwa mwenye mke,mtu wa mbali means wife kamkubali/wamependana.
 
Kuna lecturer mmoja mzumbe faculty ya sheria alinilia demu wangu early 2010s. Mungu ni mwema nikapata connection ya familia yake, nami nikala mkewe, mama amani, nikala dada yake, nikala baby mama wake j na mama yake mzazi na nikaweka mazingira ajue na nikamfikishia ujumbe anaefuata ni yeye. Alitumiq busara akaja dar tukayamaliza kiume
Aise noma sana,ila mama yake sio alikua ajuza?
Au uliuma meno tu😂
 
Mimi nimemsamehe lakin kila kitu kimebadilika kwangu siko tena kma wa zaman nipo nipo tu namwangalia tu aikitoka siuliz akirudi siuliz

Akila siuliz akilala njaa siuliz akiumwa siuliz yan kila kitu nimebadilika anabaki anielewi

Na nilimsamehe kwa kuwa mimi mwenyewe ni mshenzi so safi tu
Nimesoma kwa kukuonea huruma kabla sijafika kwenye finishingi 😂
 
Tumia akili mkuu, ndoa inaheshimu maamuzi ya mtu na mtu anapoamua kutoka nje ya ndoa basi maamuzi yake yaheshimiwe ndo maana kuna talaka pia.

Amekuona wewe humfai tena, ungeheshimu maamuzi yake ungemuacha aende kuliko kumdhuru kiasi hiko mwanadamu mwenzio kwa kosa la mke wako mwenyewe.
Ndugu unakosea kwani unazungumzia matokeo,mkewe ndio ilipaswa aage ili ahamie kwa mchepuko.
Hii ndio ilikua njia salama .
 
hata deni kuna rafiki nilimkopesha 800k akajifanya wa shida sana kila siku hana mwaka ukaisha story tunapga kama kawaida. Siku moja napta napewa 1mil na rafki yake ati nimpitishie, jamaa alikutana na laki mbili tena nilimuita njoo tushushe konyag kweli akaja nikamwambia rafiki yako ananidai milion moja ila amenambia na wewe unamdai nikamwambia ntakulipa mimi so pesa zako ninazo mimi na hapo hapo natoa 200k nampa jamaa alicheka hadi iyo laki 2 tuliilaza cku hiyo hiyo.
Bro mda mwingne adui yako usimtenge au ukamchukia hapana kuwa nae karibu ili upate nafasi ya kuokoa vyako
Kaka wewe ni mtu wa visiwa vya ukerewe?
Maana nao ndio mambo yao,ukimtenda ubaya hata kama hamna mazoea alijisogeza huku anakuhesabia hatua!
 
Back
Top Bottom