Smart Contract
JF-Expert Member
- Sep 24, 2014
- 1,473
- 3,542
Mwanamke akinicheat hiyo ndo tiketi ya kurudi kwa mamaake na simpi hata nauliš
Kuna msemo wa wazungu ambao ukiutafsiri kwa lugha yetu unasomeka "Cheza michezo ya kipumbavu, shinda zawadi za kipumbavu."Unaweza kua sahihi ila sasa ni ipi mantiki ya wewe kutoa maagizo mwanaume mwenzio alawitiwe?
Kama tatizo ni mkeo asietulia?
Aisee kama hajua ni mke wa mtu?Kuna msemo wa wazungu ambao ukiutafsiri kwa lugha yetu unasomeka "Cheza michezo ya kipumbavu, shinda zawadi za kipumbavu."
Reminder : Kutembea na mke au mume wa mtu ni kucheza mchezo wa kipumbavu.
Alikuchiti tena?Kwakweli inauma, niliachana na mshkaji nikampa makofi demu alafu from that moment nikakata mawasiliano. Alituma watu wengi marafiki na dada zake ila siku nilipoitwa na mama yake mzazi na kumuombea msamaha moyo wangu ukalainika na kumsamehe. Chakushangaza sasa siko nae though tuna mtoto na mawasiliano ni kwaajili ya mtoto tu.
Anarudi tu kwani sh. ngapi?Mwanamke akinicheat hiyo ndo tiketi ya kurudi kwa mamaake na simpi hata nauliš
Wewe mpole sana.Poleš¢ hata sisi m ki cheat hua inauma hivyo hivyo ila kwa kua hatuwezi kuchukua hatua za haraka kama mlivyo nyie
Baadhi ya wanawake wakishindwa kuvumilia usaliti wa wazi wazi huamua kujiondoa
Wengine hubaki kwa mipango makhususi na kabambe ya muda mfupi au muda mrefu
Nimesema hivi kwa sababu wanaume mnajisahau sana
Wewe cheat lakini nikikufumania nahesabu kama dharau
Asante kakaWewe mpole sana.
Kwa jinsia zote mbili chanzo mara nyingi huwa ni tamaa au kukosa akili au vyote kwa pamoja. Kwa wanaume zaidi huwa ni tamaa tu. Na kwa baadhi huwa haimaanishi hamtaki mkewe/ mpenzi wake wa kudumu. Mwanamke, mara nyingi, aki cheat ni hana akili, kadhamiria, au dhamira imekufa kutokana na long term repeated abuse. Kwa kifupi ni rahisi kwa mwanaume kuonja nje kuliko mwanamke.Hii ni story nzuri sana ya fumanizi, ila ulikosea mkeo pia ulitakiwa kumkata hata kisimi, usingemuacha hivihivi.
Unajua mi naona mtu akiwa anakusaliti, tatizo si usaliti tu bali huwa anakuona mjinga/boya.
Mwenyezi Mungu aniepushie na haya mambo nisikae nikajua. š
sijawahi ona mtu mjinga kama wewe nahisi hata huyo demu kakuona akili hazitoshi, kam unpnga kuzurumtu aliyemchukua demu wako utakuwa na ugonjwa wa akili wewe, itabidi ukioaa wakutombeee mkeeooo hadi wa mzarisheHuwezi kunielewa sababu wengi kati ya hao uliokula ulitanguliza nyege baadala ya hisia, huyu mimi niliwekeza kila kitu kwake kihisia, kimwili, kiuchumi mpaka kiroho, sio mtu niliyefahamiana naye jana hapana tulishakuwa na mipango ya muda mrefu
Fungua kanisa upige hela ndoa haikufai!!!!!Tumia akili mkuu, ndoa inaheshimu maamuzi ya mtu na mtu anapoamua kutoka nje ya ndoa basi maamuzi yake yaheshimiwe ndo maana kuna talaka pia.
Amekuona wewe humfai tena, ungeheshimu maamuzi yake ungemuacha aende kuliko kumdhuru kiasi hiko mwanadamu mwenzio kwa kosa la mke wako mwenyewe.
Acha ushamba..huyo hakua mkeo.Kuna huyo mmoja kanilia manzi angu ilikuwa mwaka huu niivute ndani, alivyona dharau kaibwaga baada ya miezi tu na ujauzito juu. Nimeenda mpaka kwa mwanasaikolojia kisa mapenzi, hakika atalipa na atajua kuna wengine hatugusiki labda aje kiroho tu
Siku anaingia kwenye 18 hataamini na atajuta kujua mi ni nani na kama angejua basi asingethubutu hata kumuongelesha neno huyo manzi
Hakuna shetani, bali tabia na matendo yetuKumbe!
Kweli shetani ni mjanja sana.
Ngoja niendelee kusoma,
Maana nimesoma comments chache tu.
ni kweli uzi wa kipumbavu haiwezekan una akili timamu akaja kujisifu huu upungaUnaandika as if wewe ndio unaedecide amani yangu. Wewe kama una moyo wa kirembo usidhani kila mtu yupo kama wewe. Mie nakusiginia na bado naishi as if nothing happened