Tuliowahi kuchapiwa tukutane hapa.. ulichukua maamuzi gani? Binafsi yule jamaa aliyenichapia hatokaa asahau

Tuliowahi kuchapiwa tukutane hapa.. ulichukua maamuzi gani? Binafsi yule jamaa aliyenichapia hatokaa asahau

hapana ni adhabu kubwa tena ya ubinafsi huwezi tenda jambo la hivyo ukitegemea uwe na maisha ya utulivu kama amekujiti kuna vitu anakoswa kwako au ni tamaa zake tu
KISASI KIZURI NI KUMUACHIA HUYO MWANAMKE
Tumetofautiana mkuu yaan huu ni ukatili na ushambulizi wa kukuathiri kisaikolojia so mm mtu akinifanyia uhuni had nimfanyie uhuni ndio napata amani.
 
Kwa jinsia zote mbili chanzo mara nyingi huwa ni tamaa au kukosa akili au vyote kwa pamoja. Kwa wanaume zaidi huwa ni tamaa tu. Na kwa baadhi huwa haimaanishi hamtaki mkewe/ mpenzi wake wa kudumu. Mwanamke, mara nyingi, aki cheat ni hana akili, kadhamiria, au dhamira imekufa kutokana na long term repeated abuse. Kwa kifupi ni rahisi kwa mwanaume kuonja nje kuliko mwanamke.
Pima madhara my friend. Hizo justification zenu ndio zimeifikisha dunia hapa ilipo.

Maumivu ya usaliti ni yale yale especially kwa wenye kiapo na commitment, tofauti ni kuwa Sisi hatuna nguvu za kuwapiga na kuwaf*** tu.
 
Mnaoa wadangaji, mnaoa malaya, mkija kugongewa lawama mnawapa wanaume wenzenu. Ukiona unagongewa maana yake kuna mambo yamepunguka kwako.

Unaona mwanaume ana body count zaidi ya 5. Kipindi cha uchumba kila dalili uliona ila unakaza moyo tu. Unampata mwanamke kwa kumshawishi na pesa zako, mwisho wa siku anarudi kwenye amani yake ya moyo na anapogongwa vizuri.

Aiseee wanaume tusipobadilika mtagongewa sana saaana.
 
Hii ni story nzuri sana ya fumanizi, ila ulikosea mkeo pia ulitakiwa kumkata hata kisimi, usingemuacha hivihivi.

Unajua mi naona mtu akiwa anakusaliti, tatizo si usaliti tu bali huwa anakuona mjinga/boya.

Mwenyezi Mungu aniepushie na haya mambo nisikae nikajua. 😭
Mimi mzee wangu mmoja aliwahi kuniambia, ukioa na mkeo akakucheat, deal na mkeo na sio mwanaume mwenzio.

Unakuta mwanaume unamkuta mwanamke bar au sehemu ya starehe, mwanamke ana dalili zote za udangaji ila kisa tu ana penzi zuri na ana mwili mzuri unaamua kuweka ndani.

Unaoa mwanamke kwa kumvuta na pesa zako, kipindi cha dating red flags kadhaa unaziona ila unapuuza, background ya mwanamke hairidhishi ila mtu unakaza moyo.

Kwenye ndoa kuna muda mapenzi yanaisha na hii inaweza ikatokea kwa mtu yoyote yule sio mwanamke wala mwanaume. Sasa mtu alikupendea kwa pesa, ila moyo wake ulikuwa kwa mwingine, alikunwa vyema sehemu nyingine, tegemea tu kugongewa ujue au usijue.

Ukiona unakosewa mimi nakubaliana na yule mzee, better udeal na mwenza wako na sio huyo uliyemfumania nae, wengine wamediriki kuachanisha penzi ili amuoe mtu au aolewe na huyo mtu.

Aisee hizi ndoa hiziiii, ngoja mimi nijipe muda zaidi.
 
Pima madhara my friend. Hizo justification zenu ndio zimeifikisha dunia hapa ilipo.

Maumivu ya usaliti ni yale yale especially kwa wenye kiapo na commitment, tofauti ni kuwa Sisi hatuna nguvu za kuwapiga na kuwaf*** tu.
Sio justification ni uhalisia best. Men and women are wired differently in terms of how they react to sexual stimuli.
 
Nilishuhudia mjeda mmoja makongo juu alikatwa kimba na wahuni kisa mke wa mtu, nikajiapiza kamwe kuwaogopa wahuni na wake zao..alafu najiuliza hivi ule mzuka majita wanakuwa wamezoea au ndio pesa maana jamaa walikuwa kama watano na wote walikuwa mnara 5 G..na wese lao nadhani ilikuwa kama kilo moja hivi ya babycare kipindi kile..
😀😀daah
 
Mimi mzee wangu mmoja aliwahi kuniambia, ukioa na mkeo akakucheat, deal na mkeo na sio mwanaume mwenzio.

Unakuta mwanaume unamkuta mwanamke bar au sehemu ya starehe, mwanamke ana dalili zote za udangaji ila kisa tu ana penzi zuri na ana mwili mzuri unaamua kuweka ndani.

Unaoa mwanamke kwa kumvuta na pesa zako, kipindi cha dating red flags kadhaa unaziona ila unapuuza, background ya mwanamke hairidhishi ila mtu unakaza moyo.

Kwenye ndoa kuna muda mapenzi yanaisha na hii inaweza ikatokea kwa mtu yoyote yule sio mwanamke wala mwanaume. Sasa mtu alikupendea kwa pesa, ila moyo wake ulikuwa kwa mwingine, alikunwa vyema sehemu nyingine, tegemea tu kugongewa ujue au usijue.

Ukiona unakosewa mimi nakubaliana na yule mzee, better udeal na mwenza wako na sio huyo uliyemfumania nae, wengine wamediriki kuachanisha penzi ili amuoe mtu au aolewe na huyo mtu.

Aisee hizi ndoa hiziiii, ngoja mimi nijipe muda zaidi.
Kauli ya huyo mzee wako sio universal. Ukiamua kuifuata ni wewe. Kila mtu adeal na situations kwa namna ambayo kwake anaona itafaa
 
Back
Top Bottom