Mke anauma asee sio kama demu unatoa mpaka mahari Lopsided_Truth
Inatakiwa upunguze hasiraNimesoma hapa kwa utulivu kabisa.
Nimegumdua wanaume wanaumia zaidi wakisalitiwa.
Mimi mwanaume wangu alinisaliti na NDUGU yangu,
Nilimlipia ila bado nina kisasi ntamlipa kubwa zaidi.
Ashukuru MUNGU.baba ake ana kisukari,
Ningezaa nae kabisa na ngingemtesa mama ake mpaka aombe pooo.🤣
Bado sijamalizana nae Vizuri.Inatakiwa upunguze hasira
Huyu kaisha.na ukimwi juu.anao.Kwani mwenye kisukari hawezi kutomba ama vipi
Akiwa chizi utapata shida wewe! Mimi nilimfumania wangu miaka 12 iliyopita, nikamsamehe> kama anajutia msameheBado sijamalizana nae Vizuri.
Au nipate mganga mzuri.awe chizi yeye na malaya mwenzake
kwahiyo hata serikali nayo kumbe inakosea aisee kumpa mimba mwanafunzi au kumuoa kama yule alieshikwa na mtatiro kwasababu ni kwamba hao mabinti hukubali wenyewe...kwasababu wanaoshikwa kwenye kesi ya mimba au ndoa na wanafunzi ni wanaume tu
Hawa si wanaleta undeziMke anauma asee sio kama demu unatoa mpaka mahari Lopsided_Truth
Nafahamu upande wa pili wa hii story, Huwa wanatiwa unyonge na hakuna niliyemuona amefight back.Sina ushahidi wa kitafiti ila kwa shuhuda tu za kuambiwa kitaa ni kwamba wanaume wengi wanaochapiwa wanaishia kuwapiga na kuwaacha wake zao. Hamna kitu wanawafanya hao waliowachapia zaidi ya kuwatukana au kujaribu kupigana nao wakikutana nao. Ni wachache wanaenda hiyo hatua ya "kufira". Maana, obviously ni ngumu kuitekeleza. Na hakuna mwanaume kamili yupo tayari "kufirwa" without a fight. Most men will fight back or try to revenge after the fact.
Yes "kama litampata". Sikatai jamii yeyote ile utawapata wanyonge hata wawili. Ila jiulize, hata kwa kutumia logic ya kawaida tu, kama unaweza walipa vijana wawili pesa ndogo wakusaidie kumbaka mwanaume mwenzio, kitu gani kinamshinda huyo mwanaume mwenzio na yeye kuwalipa pesa ndogo vijana wa kijiweni wawili kukubaka kulipa kisasi? Sipingi story ya mleta mada. Ila hata kimantiki tu unaweza kuona jinsi ambavyo matukio kama haya likely yanawatokea wanaume wachache sana. Na kwa mwanaume aliyekamilika ukimfanyia kitendo kama hicho, jiandae for retaliation au na wewe uhame mji potea.Nafahamu upande wa pili wa hii story, Huwa wanatiwa unyonge na hakuna niliyemuona amefight back.
Na lengo ni kuwatia unyonge tu. Ain’t that deep, So yoyote anayetembea na mke wa mtu aendelee na ajiandae na hilo “kama” litampata.
Mostly mwanaume akishafirwa anakimbia mji, hakuna wa kubaki kulipa kisasiYes "kama litampata". Sikatai jamii yeyote ile utawapata wanyonge hata wawili. Ila jiulize, hata kwa kutumia logic ya kawaida tu, kama unaweza walipa vijana wawili pesa ndogo wakusaidie kumbaka mwanaume mwenzio, kitu gani kinamshinda huyo mwanaume mwenzio na yeye kuwalipa pesa ndogo vijana wa kijiweni wawili kukubaka kulipa kisasi? Sipingi story ya mleta mada. Ila hata kimantiki tu unaweza kuona jinsi ambavyo matukio kama haya likely yanawatokea wanaume wachache sana. Na kwa mwanaume aliyekamilika ukimfanyia kitendo kama hicho, jiandae for retaliation au na wewe uhame mji potea.
Kisasi amlipe nani wakati yeye ndio kalipwa kisasi..Mostly mwanaume akishafirwa anakimbia mji, hakuna wa kubaki kulipa kisasi
🤣🤣🤣🤣🤣 Aisee..Nilioaa mtembeza chakula oyaaa nilikua nagongewaa mpaka nikajikuta najicheka🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣 Aisee..Nilioaa mtembeza chakula oyaaa nilikua nagongewaa mpaka nikajikuta najicheka🤣🤣🤣
Hawa wanaleta mawazo dhaifu sababu hawajajikuta kwenye hizo situations ndio maana wanachukulia mambo ni rahisi.Wakuu,
Nimepitia comment zote ila natoa ushauri japo si lazima kuufata kwakua kila mtu ana maamuzi yake.
Mke wa mtu asilete hata mazoea sio kwakuambiwa nimeshuhudia doctor mmoja temeke aki LAWITIWA kisa mke wa mtu wewe ongea sijui ni ushamba kugombana na mwanaume mwenzio huo utoto Usilete mtaani kila mtu anatambua namna anavyopata fedha kwa shida na kun fanya mkewe apendeze.
Mwisho: HESHIMU MKE WA MTU.
kaka ni kweli unaweza jikuta umeisha.Hawa wanaleta mawazo dhaifu sababu hawajajikuta kwenye hizo situations ndio maana wanachukulia mambo ni rahisi.
Wao waendelee tu kutembea na wake za watu wakitegemea reaction nyepesi kama wanazoziwaza
Aah faken🤣🤣Nilioaa mtembeza chakula oyaaa nilikua nagongewaa mpaka nikajikuta najicheka🤣🤣🤣
Akiamua kuigawa ataigawa tu, hata ikibidi maiko ndio aifuate nyumbani kwako.Ukitaka usichapiwe dhibiti muda wa mwanamke na matumizi ya simu. Utamzalisha mpaka aombe po, ukijifanya nice guy kumletea binti wa kazi hapo ndo utampa uhuru wa kumfuata Maiko amgonge