Lopsided_Truth
JF-Expert Member
- Jun 12, 2026
- 250
- 939
- Thread starter
- #421
Una inch tatu?Niligundua kuwa mimi ni "kibamia " ikabidi nikae kimya. Kuna usemi kuwa "kitu usichokipata ndani ya nyumba yako, kitafute nje" labda nimpe talaka ili awe huru zaidi. Au niende kwa wachina??