Tuliowahi kuchapiwa tukutane hapa.. ulichukua maamuzi gani? Binafsi yule jamaa aliyenichapia hatokaa asahau

Kama huyo aliyethubutu kunipigia mke yeye ndio ana akili? Mimi nakulipa kwa namna ambayo maisha yako yote lazima ujutie
Tumia akili mkuu, ndoa inaheshimu maamuzi ya mtu na mtu anapoamua kutoka nje ya ndoa basi maamuzi yake yaheshimiwe ndo maana kuna talaka pia.

Amekuona wewe humfai tena, ungeheshimu maamuzi yake ungemuacha aende kuliko kumdhuru kiasi hiko mwanadamu mwenzio kwa kosa la mke wako mwenyewe.
 
Hakusema. Kwanini asieleze hadi kufanya utumbo huku akiwa kwenye kivuli changu.

Anyway, sijawahi hata kujutia na sitegemei. Nikifanya jambo nafsi yangu ikatulia basi inatosha.
 
Nashangaa watu eti ungeacha tu..

Mimi huwa siruhusu. Ukicheza na mimi vibaya basi nakupa double
mimi hata tofauti na mapenzi nna njia nyingi za kulipiza ambazo utaona ni kawaida kwa mda huo lakin baadae utanitafta ukitaka tuyajenge na kwangu somo la msamaha nilipata 0.00%. Kuna mtu nilikuja kumpa pkpk awe ananiletea pesa akarudisha pkpk bila injini yake na rims kawa ameuza mwisho wa shku akaja kuipaki home nkapotezea akajua yameisha. Si akabahatika kununua mpya yake namkuta stendi nampa gari peleka familia nyumbani afu uje twende sehem na kweli akawapelela akaacha ufunguo home anashanga ile anatoka getini anakutana na mimi naingia ndan na pk pk yake nakuipaki namtolea ile ya zaman nikimwambia aitengeneze kwanza yaan arudishe alichokitoa ndo apate yake. Hadi leo jamaa tulibadilishana pk pk kwa style hiyo anabaki kuniita mimi n mbweha zaid ya mbweha. Ukinifanyia ujinga nakupa mda usahau. Wengne wananiita NI SUALA LA MDA. wamo humu wanaona
 
Dah mwanangu ninayo mengi ya kujifunza kwako aisee .

Alileta usela mavi na wewe ukamuonesha mjini haujaja na mabus ya MARCOPOLO upo kabla ya chips zege .
Hii nimeipenda sana
 
Kwa Kifupi Sana:-

Mwandishi anasimulia kuwa alipewa taarifa mke wake alikuwa anamsaliti lakini hakuziamini mwanzoni. Baada ya kufuatilia kwa siri, alipata ushahidi kupitia simu na akaweka mtego hadi akawakuta mke wake na mwanaume mwingine pamoja. Kwa hasira, aliwavamia na kuwatishia kwa kisu, akawalazimisha kufanya kitendo cha kudhalilishana, kisha akaondoka na baadaye akahama kabisa eneo hilo. Mwishoni anauliza wengine kama wamewahi kupitia hali kama hiyo.

Ukimfumania mkeo na m/me mwingine ,dawa ni kuwapigia simu MAJITA/MASELA wasukuma mikokotoeni na wabeba Zege kama wanne hivi ,unawalipa kila mtu elfu 30 wamfumua jamaa RINDA bila WESE.
 
Dah mwanangu ninayo mengi ya kujifunza kwako aisee .

Alileta usela mavi na wewe ukamuonesha mjini haujaja na mabus ya MARCOPOLO upo kabla ya chips zege .
Hii nimeipenda sana
bro sina mda wa kukusweka polisi mimi ila hata kama ni miaka kumi lazma nije kulipiza tu tena tubaki tukicheka ni kama hakuna kilichotokea.
 
Hii ni kwa wavivu wa kusoma. Vizuri sana mkuu
 
Wewe mdada ,pole kwa yote nilismama na wanaume ishirini na wawili hapa jamvini kuhakikisha mod wanakuachia .

Habari za huko nyumbani ? Familia watoto na michepuko wanasemaje ?
Asante kakaake, nawapenda wote wanaume ishiri na wawili mliosimama nami katika hali zote!

Wazima kabisa michepuko ndio natafuta aisee! Vipi huko kwema kabisa kaka?
 
Bosi Meneja umeandika mkeka mrefu, inaonekana bado una maumivu, lile jambo ulilolifanya linakunyima raha.

Nakushauri ufanye toba, lile jambo ulilofanya litakusumbua sana, makosa ya mke wako na huyo jamaa, hayakukupa uhalali wa wewe kufanya hilo jambo. Laana hiyo umeingiza kwenye kizazi chalo. Vunja laana
 
Asante kakaake, nawapenda waote wanaume ishiri na wawili mliosimama nami katika hali zote!

Wazima kabisa michepuko ndio natafuta aisee! Vipi huko kwema kabisa kaka?
Nafurahi kusikia hivyo ,huku kwema tule tujani sasa tumkauka soon nitahitaji unipe location nikutumie tukufikie uendelee kuburudisha kichwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…