Tuliowahi kuchukua mikopo tukafanya ndivyo sivyo

Nilikopa milion tano 2016 nikaamua kuweka mpunga stock gunia 90 ambazo nilizinunua kwa tsh 45000@ nikaja kuuza baada ya miez 6 ambapo niliuza kwa tsh 80000@ hivyo nikatengeneza faida ya 35000@gunia na jumla ya faida yote ni 3150000...
Baada ya hapo nilinunua kiwanja,nikaweka fenicha za maana na nikanunua pkpk ya biashara....ninafurahia maisha na mwez wa nne 2019 namaliza mkopo.
Ushauri wangu,pangeni mipango ya kueleweka kabla ya kuchukua mkopo,maumivu ya mkopo uliofeli ni zaidi ya kupitiwa popo bawa[emoji38][emoji38] nna mifano halisi ya baadhi ya staff mates ambao stress zimepelekea mpaka wawe walevi


Sent using Jamii Forums mobile app
 
vipi mkuu huo uzi ulishauweka?
 
dah from 250 mil to 0mil asee kwl maisha ktu kingne
 
mh pole asee
 
Hugo jamaa alisahau kama na yeye alikuwa anamdanganya mshua wake?
Dili zingine sio za kucheza na ndugu/wazazi.
 
aseee...
 
Duh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina hakika aliyeomba ushauri hakuomba mkopo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…