smart mind69
JF-Expert Member
- Aug 9, 2017
- 227
- 377
Aiisee naiogopa sana mikopo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana mkuu....hata me Amazon wakalamba kaa $100, na wao pia wameyeyuka hivi hivi[emoji24]Hii D9 hii ilitaka kunipiga dole la kijambio...
Jamaa yangu alinishawishi sana nitafute 4.8 Millioni nijiunge package ya Gold+ ya D9.
Kwa mahesabu ni kuwa kila week nalipwa 170 USD, hivo kwa mwezi napata 630 USD (baada ya makato) ambayo ni zaidi ya 1.3 Millioni.
Hivo nilikua na uhakika ule mtaji wa 4.8 Millioni ningerudisha ndani ya miezi mitatu hivi na week mbili...
Nikaenda kuomba mkopo taasisi moja hivi, mkopo wa 5 Millioni. Marejesho jumla ningetakiwa kulipa 6.5 Millioni.
Mkopo ilikua nipate cku hiyo hiyo tatizo nilikua sina Salary Slip ya mwezi mmoja hivi, ikabidi niende kuifatilia kesho waniingizie mpunga.
Kesho yake niko njiani kupeleka Slip, nikaingia Jamiiiforums, nakuta uzi watu wanasema Danilo Santana CEO wa D9 amekamatwa na Polisi wa Brazil... Account zake zimekua suspended...
Kubabake, nikageuza kwanza kurudi ghetto. Jamaa wa mkopo kanipigia simu kishenz "Boss mbona hauji, si ushapata Salary Slip.. Wahi nakusubiri uweke signature hapa tukuwekee pesa yako"
Nikamwambia nampeleka mama yangu Kairuki nakuja kesho boss...
Nikasema ngoja kwanza nisikilizie hatma ya D9 kwanza...
Mpaka leo bado natembea na ile Salary Slip kwenye bag langu la Ofisini na bado sijajua D9 itarudi lini.
Kubabake leo hii ningelikua nakatwa mshahara kwa mkopo ulioyeyuka hewani.
Asante sana mangi. Hebu nipe direction. Huyo sista si wa kumwacha hivihivi. Lazima tumfanyie mila.Karibu Xmas Mkuu uje ule kisusio na mbege matata sana kwa sasa nipo njema
Pole sana mkuu wanaume tuliumbiwa mateso funga buti tusonge mbele safari bado ndefuMimi nilikopa mwaka jana NMB Mi. 9 kwa miaka mitano. Nikachukua pikipiki mbili. Moja ya bodaboda na nyingine ya kwangu kutembelea. Mil.4 nikachukua kiwanja na shamba kwa ajili ya kilimo. Laki 5 nikalimisha shmaba na kupanda mahindi na laki tano nikafanyia mambo yangu menginene. Mshahara nikabaki 247,000
Matokeo yake;
i)Bodaboda ilidumu miezi sita ikaibiwa.
ii) mahindi sikupata hata nusu gunia,kwa sababu ya ukame.
iii)mipango yangu ilikuwa mwaka huu nioe kama mambo yangeenda vizur kinyume chake nimeshindwa,mchumba wangu alipoona hali imekuwa tete akaanza visa kumbe kashaanza mahusiano na mwanaume mwingine,nikabaki mimi kama mimi.
iv)Baada ya bodi ya mkopo kuanza kukata 15% nikaanza kuchukua 197,000/= kwa mwezi
v) kwa sasa siwezi saidia chochote kwa mama na ndugu zangu kibaya zaidi mdogo wangu kachaguliwa chuo cha afya diploma ada mil.2. 5 sijaweza kumpa hata mia.
Sina bahati kabisa
Boss hiyo taasisi ya fedha ni ipi? Embu nisaidie maana na mimi natafuta mkopo wa kama 5 millionHii D9 hii ilitaka kunipiga dole la kijambio...
Jamaa yangu alinishawishi sana nitafute 4.8 Millioni nijiunge package ya Gold+ ya D9.
Kwa mahesabu ni kuwa kila week nalipwa 170 USD, hivo kwa mwezi napata 630 USD (baada ya makato) ambayo ni zaidi ya 1.3 Millioni.
Hivo nilikua na uhakika ule mtaji wa 4.8 Millioni ningerudisha ndani ya miezi mitatu hivi na week mbili...
Nikaenda kuomba mkopo taasisi moja hivi, mkopo wa 5 Millioni. Marejesho jumla ningetakiwa kulipa 6.5 Millioni.
Mkopo ilikua nipate cku hiyo hiyo tatizo nilikua sina Salary Slip ya mwezi mmoja hivi, ikabidi niende kuifatilia kesho waniingizie mpunga.
Kesho yake niko njiani kupeleka Slip, nikaingia Jamiiiforums, nakuta uzi watu wanasema Danilo Santana CEO wa D9 amekamatwa na Polisi wa Brazil... Account zake zimekua suspended...
Kubabake, nikageuza kwanza kurudi ghetto. Jamaa wa mkopo kanipigia simu kishenz "Boss mbona hauji, si ushapata Salary Slip.. Wahi nakusubiri uweke signature hapa tukuwekee pesa yako"
Nikamwambia nampeleka mama yangu Kairuki nakuja kesho boss...
Nikasema ngoja kwanza nisikilizie hatma ya D9 kwanza...
Mpaka leo bado natembea na ile Salary Slip kwenye bag langu la Ofisini na bado sijajua D9 itarudi lini.
Kubabake leo hii ningelikua nakatwa mshahara kwa mkopo ulioyeyuka hewani.
Daah pole man! jikaze aluta continuaMimi nilikopa mwaka jana NMB Mi. 9 kwa miaka mitano. Nikachukua pikipiki mbili. Moja ya bodaboda na nyingine ya kwangu kutembelea. Mil.4 nikachukua kiwanja na shamba kwa ajili ya kilimo. Laki 5 nikalimisha shmaba na kupanda mahindi na laki tano nikafanyia mambo yangu menginene. Mshahara nikabaki 247,000
Matokeo yake;
i)Bodaboda ilidumu miezi sita ikaibiwa.
ii) mahindi sikupata hata nusu gunia,kwa sababu ya ukame.
iii)mipango yangu ilikuwa mwaka huu nioe kama mambo yangeenda vizur kinyume chake nimeshindwa,mchumba wangu alipoona hali imekuwa tete akaanza visa kumbe kashaanza mahusiano na mwanaume mwingine,nikabaki mimi kama mimi.
iv)Baada ya bodi ya mkopo kuanza kukata 15% nikaanza kuchukua 197,000/= kwa mwezi
v) kwa sasa siwezi saidia chochote kwa mama na ndugu zangu kibaya zaidi mdogo wangu kachaguliwa chuo cha afya diploma ada mil.2. 5 sijaweza kumpa hata mia.
Sina bahati kabisa
Mkuu hiyo signature unatuvuta kwa xcirro. dah, hahahahhaa.........Hahahaha daaah pole sana mdau
Kwani kuna kitu nimeandika ambacho ni uongo au maneno nimemsingizia magu?Mkuu hiyo signature unatuvuta kwa xcirro. dah, hahahahhaa.........
hahahahhaaa, mukulu yuko vizuri upande wa takwimu za barabara....Kwani kuna kitu nimeandika ambacho ni uongo au maneno nimemsingizia magu?