Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 6,816
- 8,809
Duniani kuna mengi ya kujifunza haki ya mama, duuh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu umenikumbusha mbali sana.Mimi huu ni mwaka wa 6 hati yangu ina hama tu kutoka benki hii kwenda benki hii.
Mkopo huu wa mwisho nilichuwa 10,000,000 unanitesa sana, Kwani sehemu kubwa nilipeka kwenye ujenzi badala ya kwenye biashara lakini nashukuru Mungu hata hivyo nimehamia kwangu tangu Julay 2017. Ingawa sijamalizia vizuri hata hivyo nasave 250,000 ya kodi ya nyumba ya kila mwezi.
Shida sasa ni marejesho kurejesha 1m kila mwezi kwa kutumia biashara si mchezo kwani biashara zimeyumba sana.
Nimejikuta biashara moja inakufa na ya pili inawnda rijojo na hii ya tatu ninayoitegemea sana hali si nzuri sana lakini natumaini nitamaliza marejesho kwani yamebali mawili tu nikamilishe.
Ilifikia kipindi unazima simu nakumbuka siku moja nilichelewesha kama miezi 2 na nusu hivi kiafisa mikopo kikanipiga biti mbele za watu eti tutapiga mnada nyumba yako wee siku hiyo nilimuwakia kidogo nimpige makofi nilifoka pale mpaka wateja wakanisupport hata walipokuja polisi ingawa walinitoa lakini walinielewa. Siku hizi hata nikichelewa hawanipigii simu.
Kwa sisi wafanyabiashara hatuwezi kuendelea bila kokopa
Wapi huko mkuu hebu tupe mamboMkuu umenikumbusha mbali sana.
Taasis moja inaitwa EFC,loan officer nlikua namkoromea mpaka akawa ananiogopa,muda wa marejesho ukipita akawa anaogopa kuniambia.Wapi huko mkuu hebu tupe mambo
Nmecheka hiyo Lucifer atii hahaMimi nimechukua mwaka huu, lakini ni wa mwaka mmoja. Mwezi wa tatu namaliza deni. Nilichukua ninunue boda boda lakini huyu jamaa niliyempa boda boda badala ya kuleta hela analeta stories. Yaani najuta kwanini nilichukua. Kuna wakati natamani niichukue halafu nipige bei ili nikalipe deni lililosalia lakini nahofia jamaa ni Kachawi kweli na baba yake nadhani ni msaidizi wa Lucifer mwenyewe, asije akanifanya mbaya bure! Basi najikaza kiume hivyo hivyo
Mimi dogo alinitumia sms ya kuomba msamaha na juzi akinipa kadi ya kwenda kwenye harusi yake wakati sujamchangiaTaasis moja inaitwa EFC,loan officer nlikua namkoromea mpaka akawa ananiogopa,muda wa marejesho ukipita akawa anaogopa kuniambia.
Hahaaaa,mkuu kweli matukio haya kumbe tunafanana[emoji23],na jamaa wanajua kupiga sim wale sijapata kuona!!!mara walete vibarua vyao uweke saini ati umeshindwa kulipa!!!kumbe biti tuu hela wanaitaka zaidi hata ya dhamana uliyoiweka.Unakuta imefika siku inafanya marejesho huna kitu ukiangalia marejesho kama 1m ukiwa na 50,000 mgukoni unaenda kuzipiga maji zote kesho ukiamka mtu atakaye kusemesha masuala ya hela unakuwa mkali kama mbogo.
Wakati mwingine unakopa za riba unalipa benki kimbembe mwezi unaofuata benki wamadai mtaani ya riba wanadai.
Unazima simu siku mbili kwanza.
Hizo barua ninazo 2, ila nimesema siku namaliza mkopo nannua mbuzi 2 na cret za bia nazindua nyumba yangu na wadau wachache hasa walionikopesha nikafanya marejesho.Hahaaaa,mkuu kweli matukio haya kumbe tunafanana[emoji23],na jamaa wanajua kupiga sim wale sijapata kuona!!!mara walete vibarua vyao uweke saini ati umeshindwa kulipa!!!kumbe biti tuu hela wanaitaka zaidi hata ya dhamana uliyoiweka.
Ni bora mkuu unamaliza mkopo huku unaingia kwenye kibanda chako,hujajutia.Hizo barua ninazo 2, ila nimesema siku namaliza mkopo nannua mbuzi 2 na cret za bia nazindua nyumba yangu na wadau wachache hasa walionikopesha nikafanya marejesho.
Mbona hamna jema ninyi?
Akikaa kimya mnaongea
Akiongea mnasema anapenda kutokelezea kwenye fent ford
Mwataka afanye nini sasa?
Sasa kma unajua yupo ofisini, mbona unatuuliza yupo wapi..??
Mimi nilikopa mwaka jana NMB Mi. 9 kwa miaka mitano. Nikachukua pikipiki mbili. Moja ya bodaboda na nyingine ya kwangu kutembelea. Mil.4 nikachukua kiwanja na shamba kwa ajili ya kilimo. Laki 5 nikalimisha shmaba na kupanda mahindi na laki tano nikafanyia mambo yangu menginene. Mshahara nikabaki 247,000
Matokeo yake;
i)Bodaboda ilidumu miezi sita ikaibiwa.
ii) mahindi sikupata hata nusu gunia,kwa sababu ya ukame.
iii)mipango yangu ilikuwa mwaka huu nioe kama mambo yangeenda vizur kinyume chake nimeshindwa,mchumba wangu alipoona hali imekuwa tete akaanza visa kumbe kashaanza mahusiano na mwanaume mwingine,nikabaki mimi kama mimi.
iv)Baada ya bodi ya mkopo kuanza kukata 15% nikaanza kuchukua 197,000/= kwa mwezi
v) kwa sasa siwezi saidia chochote kwa mama na ndugu zangu kibaya zaidi mdogo wangu kachaguliwa chuo cha afya diploma ada mil.2. 5 sijaweza kumpa hata mia.
Sina bahati kabisa
Mkuu hivi nimesoma vbya ama hivi huo mshahara unaopokea ni 190000 au ni 1900000 ??Habar wapendwa humu Jf
Bila kupoteza muda katika pulukushan za maisha kuwa magumu kuna wakati unaona the only solutions ni kuchukua mkopo katika taasis za fedha mbalimbali ili kufungua ofisi nyingine itakayo kuingizia kipato zaidi
Ila cha kushangaza sasa unakuta tunaa ngukia pua na maisha kuwa tete zaidi ya hapo nyuma ilivyokuwa
Mfano ni mm
2013 nilikopa 5mls kwenye bank ya Nmb kwa muda wa miaka 4 ambapo nlipanga kufungua biashra zangu mjini ili sister angu ndio azisimamie huko town basi nkaongea nae akanipa michongo yake ya biashra za mahindi zinavyomlipa anatoa mahindi Dodoma anapeleka Dar.
Akaniambia mm ntakuwa napata laki 300000 kila atakapo uza Mzigo at the same time my capital remain costant mim nkachukulia kama biashara ndio hivyo basi ntatengeneza pesa ndefu fun ndani ya muda mfupi coz ndan ya mwezi anaenda kufunga Mzigo Mara 3
Nkamtumia 4.5mls kwa acc. Ile laki tano kama kawa nkaitia kibiriti na Toto's za mjini nkajua after 1 week ntaanza kupokea pesa zangu za faida
Hapo salary nlikuwa napokea 190000 net baada ya makato tote
Kumbe nae sister ndio kawa tycoon wa mjini anaztumbua pesa tu na vibwana vyake mpaka na kuja kumpigia simy vp mbona kimya hunitumii ile pesa yan amelewa haezi hata kuongea
Nkampigia Kesho yake eti akaniambia aliibiwa pesa yote na hapo alipo amebakiwa na lak3 tu na ndio anataka alipe kodi ili asifukuzwe kwenye chumba alichopanga
Nlikaaa chini bado nusu nilie ila nkajikaza kiume namshukuru mungu nlikuwa sina mke wala mtoto
Maisha yakawa magumu zaidi loan board walipo anza kunikata nkawa sasa kutoka 190000 nkawa napokea salary 135000 na madeni yalikuwa yameniabdama sana sikuona raha ya kufanya kazi coz nlishidwa kumsaidia MTU yeyote nyumban sio baba waka mama wala ndugu yeyote
Mungu sio wew wala mm mwaka huku deni likaisha na namshukuru mungu naishi maisha ya furaha na mwaka huu ntaenda nyumban kuwasalimia since 2012 sijawah kwenda kabisa .
Kwa wale mliochukua mikopo jaman kuweni makini na Yale mtakayoenda kufanya msije mkachanyikiwa mkatamani kujinyonga kama mm.
Wish u marry X-mas
And
Happy new year 2018
Ukisoma contxt nzima ya alichokiandika bila shaka huo utata usingeupata maana story ipo wazi kuwa alikuwa anapokea mshahara wa Laki Moja na Tisini Elfu...baada ya makato yooote,na mbaya zaidi walipomvamia HESLB,akawa anaambulia tu Laki Moja na Thelathini na Tano Elfu.Mkuu hivi nimesoma vbya ama hivi huo mshahara unaopokea ni 190000 au ni 1900000 ??
Mkuu hemu nifungue macho kidg ni watu gani hawa wanaopokea mshahara kima hiki ?Ukisoma contxt nzima ya alichokiandika bila shaka huo utata usingeupata maana story ipo wazi kuwa alikuwa anapokea mshahara wa Laki Moja na Tisini Elfu...baada ya makato yooote,na mbaya zaidi walipomvamia HESLB,akawa anaambulia tu Laki Moja na Thelathini na Tano Elfu.
Sasa hata nisiponunua mimi itapigwa mnada atachukua mwingine na yeye ana mpango nikiinunua mimi aende kumalizia nyumba yake ambayo haijaisha alikuwa anajengaMimi katika vitu sitaweza kufanya ni kununua nyumba ya mtu aliyeshindwa kulipa deni inanipaka simanzi sana.
Napata hisia si nyumba yangu nakosa uhuru nayo hasa ukizingatia ilipigwa mnada au aliuza bila kupenda.
Kuna jamaa yangu alinunua nyumba iiyopigwa mnada na bank alikaa mwaka mmoja tu baada ya hapo aliondoka na kujenga nyumba nyingine na ile anauza mpaka leo hajapata mtu.
Yule jamaa baada ya kupigwa mnada nyumba yake amekuwa chizi kabisa na familia imesambaratika huwa anapita hapo kwenye nyumba karibu kila siku na kuchorachora chini mambo yasioelewa pia kutamka maneno yasioleweka jamaama akaona isiwe tabu amejenga nyumba nyingine ila ndiyo hiyo nyingine hauziki kila mtu anajua historia yake.
So mkuu kuwa makini jiridhishe kama kweli jamaa anauza kiroho safi na haitamletea msongo wa kimawazo huku mbeleni pia vipi familia yake wanajua hilo?
huko mbele ya safari urafiki wenu utadimu? Jamaa atakuwa huru kukutrmbelea kwenye nyumba yako ili hali labda yeye amepanga?
Nakushauri usichekelee tu faidi ya kwako binafsi, mbona hiyo hela unaweza kupata eneo zuri tu ukaanza ujenzi kwa nguvu zako.
Kama hivyo sawaSasa hata nisiponunua mimi itapigwa mnada atachukua mwingine na yeye ana mpango nikiinunua mimi aende kumalizia nyumba yake ambayo haijaisha alikuwa anajenga
Tupe ili tujifunzeMama yangu alifukuzwa kazi miaka fulani alipopewa mafao akafungua duka akashindwa kumanage biashara akachukua mkopo wa twenty million akaweka dhamana nyumba na baadhi ya viwanja Asee sitakuja nisahau uo msoto wa kushindwa kulipa deni
Bado una bodaboda moja mkuu