Tuliowahi kuchukua mikopo tukafanya ndivyo sivyo

Nimejikuta nacheka tu yaani tumefanana mpaka kiasi cha pesa (cha kupokea baada ya makato) kasoro matumizi ya huo mkopo tu na pia mimi ndo kwanza makato yanaanza nna miaka saba mbele (bora wewe umemaliza)...

Mimi ilikuwa nipate kauwanja home centre lakini sijui hela imetumikaje mpaka leo siamini; tena huo mkopo uliniletea majanga mpaka nikafungua uzi hapa nakumbuka!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samahani mkuu kwa kucheka utafikiri mazuri, [emoji23][emoji23] hapo kwenye kutaja jina la benki pameniacha hoi [emoji23][emoji23]
Kuna mshikaji ni mtu wangu wa karbu mwez uliopita kavuta mkopo benk flan hv,,,sasa now hana kila kitu,,juzi kati tupo nae mzgon night,,kaamshwa toka usingizin kakurupuka anataja jina la ile benki,,dah mkopo bila malengo ni shida tupu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hahaha duh hiii kali kuliko


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hahaha kwamba bado anazungusha toka 2014


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yan Shekh hela ya mkopo unanunulia boda boda ya kutembelea?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah, huu uzi unafundisha sana.

Kiufupi sana nisije tambulika kwa mafisi.

Enzi hizo nilikopa 500k nianzishe biashara, yaani ilipukutika bila kujua imeenda wapi. Ikawa ndo hela ya kula na kulipa pango. Nilichoweka bond kikapigwa mnada kwa hasara wahusika bado wakataka niongezee. Wee nkawa mkali coz ni kinyume na makubaliano.

Mkopo ni utumwa. Save pesa, au kopa kwa sababu maalumu.
 
Mm sijawahi kukopa na sitokuja kukopa unajua sababu gani mm ni loan officer wa miaka miwili nadai mpaka mdaiwa akiniona anahisi amemuona Israel mtoa roho yani mda wa ku recovery madeni nadai mpaka najihis kujiogopa yani Kama unatakaa kupungua mwili kwa stress njoo nikukopeshe alafu usilipe unizungushe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo baba yako natamani kumjua[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulianza vizuri sana...ila huku mwishoni sidhani kama ulifikiri kwa usahihi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
This is so touching [emoji24]
Anyways as long as it didn't kill you
I believe your More stronger and Wise now.
Keep on fighting.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
we jamaa umepotea mno!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…