Tuliowahi kuchukua mikopo tukafanya ndivyo sivyo

Nilichojifunza mimi,usikope ili kununua kiwanja au kujenga nyumba ambayo haizalishi bali kopa na wekeza kwenye kitu kitakachokuwa kinazalisha ili mkopo ujilipe wenyewe
Shida ipo hapo kwenye kuweza kubuni kitu ambacho kitazslisha pesa ili deni lijilipe lenyewe unaweza anzisha shughuli ikafa ukiwa hujapata hata mia. Si rahisi kupata mkopo wa kujenga na kumaliza nyumba hapohapo na kuanza kupata mpunga kutokana viwango vyetu vya mishahara. Hata hivyo yote kwa yote ni kujaribu ukipata changamoto unajifunzia mumohumo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ufe kwa mda alafu baadae ufufuke au?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila mikopo mingi ukiangalia sana mwisho wa siku unaezakuta riba ni zaidi ya ile inayosemekana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anayetaka kukonda bila mazoezi inabidi aje kwako kukopa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
pole sana hii ya bodi 15% imeongeza maumivu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]daah umetisha broo
 
Ah ah umenichekesha Sana mkuu ukajua umeibiwa nn?
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyo dem wa jamaa ndo hafai kabisa,alikuwa na kihelehele gani paka aforge signature bank na kumpa mkopo wote grace??.

Inawezekana walishilikiana,dah inauma sana hii.
 
Mikopo ni noma, hasa ile unapo anza anza kazi. Kuna jamaa yangu amebaki na ufunguo wa gari tu (alichonga copy), gari alishauza na bado anadaiwa na bank. Bahati nzuri alikua staff wa bank hiyo aliyokopa. Anajuta bora angenunua hata kiwanja....
Daah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ushahidi km aliwah kumiliki gari lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…