Simtishi na huo ndio ukweli halisi.wacha kumtisha
kwahiyo wewe unamshauri aendelee na huyo mme Wa mtu au?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simtishi na huo ndio ukweli halisi.wacha kumtisha
Lakini bado wamalizana nao huko huko siyo?Nimeacha mkuu
Alitaka kuwa mke wa piliPole mwaya
Njoo kwangu Sasa, Mimi Sina my wife, njoo pm basiNikajikuta naamini ety
HV wapo[emoji848]Haya mlioliwa KIMASIHARA na WAUME za watu.
Njoo huku mnaitwa.
#YNWA
"Dick"......woooouuuw!Hivi kumbe dick ya mume wa mtu ni tamu namna hiyo mpka ukafikia hatua kujiintrojuzi kwa mke[emoji1][emoji1].safi[emoji2935][emoji2935][emoji2935]
Hii hadithi sijaipenda sana, sasa mbona hujarogwa?Mwaka fulani huko nyuma, kama matani hivi kuna mwanaume mmoja alianza kunitongoza lakini nikawa namkatalia kwa sababu mbili
1,Alikuwa na mke na familia yake
2,Alinizidi umri kwa mbali mnoo kama 25 hivi
Kwa kuwa wanaume hawachoki alinishawishi kwa zawadi mbalimbali mpaka nikajikuta namkubali na safari ya mahusiano ikaanza
Nilikuwa namfahamu mke wake kwa akili zangu ndogo nikawa nataka nianze urafiki na mke wake.
But nikaomba ushauri kwa shost yangu kuhusu hilo ila alionya ila nikajikuta yule mke mwenzangu akawa kama vile anaanza kunichangamkia nami nikamkaribisha kumbe akawa ananipeleleza bila kujua
Nikajikuta penzi linakolea hadi nikajitambulisha kwa mke wake kuwa mimi ni mke mwenzako, si akaanza ugomvi na matusi kuwa alikuwa anajua ila alitaka kupata uhakika.
Akanipeleka kwa mtendaji kunishtaki kuwa natembea na mume wake, nisipoachana atanichoma visu,
Mtendaji alikuwa mwanamama akanambia binti si ungetafuta tu wa kwako mbona vijana wengi, kwa nini unabeba dhambi nzito ya kuvuruga ndoa za watu, achana naye, utarogwa bure na utarushiwa vipande.
Kuanzia siku hiyo niliachana na mambo ya mume wa mtu, bora tumalizane huko kuliko kunambia atanioa.
Mmh! sitokaa nimsahau yule Mjeshi (Ni kijana mkakamavu mwenye Pumzi yakutosha kuhudumia Mke wake na mm) pale Kawe.Mwaka fulani huko nyuma, kama matani hivi kuna mwanaume mmoja alianza kunitongoza lakini nikawa namkatalia kwa sababu mbili
1,Alikuwa na mke na familia yake
2,Alinizidi umri kwa mbali mnoo kama 25 hivi
Kwa kuwa wanaume hawachoki alinishawishi kwa zawadi mbalimbali mpaka nikajikuta namkubali na safari ya mahusiano ikaanza
Nilikuwa namfahamu mke wake kwa akili zangu ndogo nikawa nataka nianze urafiki na mke wake.
But nikaomba ushauri kwa shost yangu kuhusu hilo ila alionya ila nikajikuta yule mke mwenzangu akawa kama vile anaanza kunichangamkia nami nikamkaribisha kumbe akawa ananipeleleza bila kujua
Nikajikuta penzi linakolea hadi nikajitambulisha kwa mke wake kuwa mimi ni mke mwenzako, si akaanza ugomvi na matusi kuwa alikuwa anajua ila alitaka kupata uhakika.
Akanipeleka kwa mtendaji kunishtaki kuwa natembea na mume wake, nisipoachana atanichoma visu,
Mtendaji alikuwa mwanamama akanambia binti si ungetafuta tu wa kwako mbona vijana wengi, kwa nini unabeba dhambi nzito ya kuvuruga ndoa za watu, achana naye, utarogwa bure na utarushiwa vipande.
Kuanzia siku hiyo niliachana na mambo ya mume wa mtu, bora tumalizane huko kuliko kunambia atanioa.
Hata sio ujasiri.Ni ujinga.ImmaturityDuh una ujasiri sana...
😂😂😂 spana za Joka et!.Mmeanza kuonesha rangi zenu baada spana za JOKA
Unasemaaaaaaa!!?Mmh! sitokaa nimsahau yule Mjeshi (Ni kijana mkakamavu mwenye Pumzi yakutosha kuhudumia Mke wake na mm) pale Kawe.
Dah! Aisee hataree sana ila huwez Amin last weeky alinidinya kwenye Crown yake tulipak somewhere huju Ac inapuliza.
Gari ni Tinted plate number................
So sad.Pole sana.thaman zenu ni cheap snaMmh! sitokaa nimsahau yule Mjeshi (Ni kijana mkakamavu mwenye Pumzi yakutosha kuhudumia Mke wake na mm) pale Kawe.
Dah! Aisee hataree sana ila huwez Amin last weeky alinidinya kwenye Crown yake tulipak somewhere huju Ac inapuliza.
Gari ni Tinted plate number................
Mmh! sitokaa nimsahau yule Mjeshi (Ni kijana mkakamavu mwenye Pumzi yakutosha kuhudumia Mke wake na mm) pale Kawe.