Tuache masihara tuwe serious
Nikiwa kama mwanamke,siku mungu akinijaaria ndoa nikampata mume wangu vitu mhimu nitakavyo zingatia kimoja wspo ni iki [emoji116]
Kumfatilia mume:
Hakuna kitu hatari kama kumchunga mwanaume,kukaa unamfatilia fatilia, ukifanya hvo basi kuna mambo mawili unayakaribisha
1: unatafuts kufa ns preha
2: kuaribu ndoa
Kwa mwanaume ambaya yeye ana huruka ya kuabadili sketi ata iweje uwezi mbadilisha ata umpe nini uo ndo ukweli
Turudi kwenye point...
Swala la mwanamke kutembea na mume wa mtu iyo utegemea na stlye aliyo ingiliwa nayo kuna mawili
1: alidanganywa
2: aliambiwa ukweli
Ikiwa alidanganywa mwanamke hyo hana makosa hvo kwa wewe mwanamke ambaye umeolewa hutakiwi kuweka vita na hyo mwanamke wa kupamban naye ni mume wako,
Ukikuta mwanamke ni mshenzi ukimfata kwa ugomvi hapo ndo utaaribu kbsaa kwa maan mpk mumeo kaenda kwake asilimia kubwa uamini mke wake atakuwa na mapungufu,hvo ukimfata yeye na kumtukan ndo unampa montisha kbsaa wa kukuchukulia hyo mumeo pengine ata usimpate kabisaa
Yaan kitendo cha wewe kwenda kumfata mwanamke wa mume wako hiyo uonesha yeye ni mshindi, kwa sababau mpka imefikia hatua wewe umejua na umejua pengine kupitia mumeo kwamba ana mwanamke mwingine nje ya ndoa cha kufanya hapo ni kujikagua wap unateleza ukajirekebisha na sio kwenda kumfata awala kumtukana
na ikiwa aliambiawa ukweli kuwa jamaa ana mke na akaamua kupuuza napo kuna mawili
1: umri wake unaruhusu kuolewa na kasha kosa mume wa kumuoa, hvo hajali kwa lolote anacho kitaka yeye hapo ni afanye afanyavyo ili hyo mwanaume amuelewe au ajute kumpoteza kutokana na vitu anavyo vipata kwake na kujikuta anaoa mke wa pili ..
2: akuzidi kete na kuamua kukunyanganya ndoa kbsaaaaaa uambuliwe kufukuzwa
Siku zote wanaume wanasema ni kama watoto kwa sisi wanawake wengi tumepoteza maan halisi ya "mke" na hyo utokea baada ya kuishi kizungu sana kwenye ndoa
Hvo ujikuta kuishi kwa mazoea na kusahau majukumu yetu kama mke kwa mume ni yap,
Wanawake wengi usingizia ubusy pengine ni mfanyakazi so anytime yuko busy na kazi ata muda wa kuwa nyumban na kuudumia ndoa yake yeye ni kazi kama sio kazi basi busy na mtandao
Wapendwa ya mungu mpe mungu ya kaisali mpe kaisali, kuna wanawake mpk leo wana miaka 35 ata kutamkiwa tu kwamba nataka kukuoa kwao ni ndoto
Kwa nini sasa asitembee na mumeo kwa maan kama ni mtu anashida na kuolewa sana uwezekano wa kumchukua mumel ni mkubwa sana,
Kwa sababu mara nyingi usoma ni vitu gan ambavyo mwanaume anakuwa na uaba navyo yaan ikitokea kitu mwanaume akakionesha tu hakipati kwako ndg yangu hesabu hyo sio wako tena
Kwa wewe uliye olewa na mumeo anakuchit wala usilalamike umejiroga mwenyewe, kama unajiona uko sawa kwa kila kitu na bado mumeo anakucheat basi hyo ni huruka yake uwezi kumubadilisha,cha msingi ni kumuombea tu muweke mbele za mungu atabadilika ila kumbuka kelele zako na kumfatilia kwako nikama unafungulia koki ya maji utajuta
Kwenu nyinyi wanaume:
Kwan nini kama unajua una mke na anakutimizia kila kitu kwa nin ukamcheat mkeo ?
Taadhali uanza na nyie ikiwa mnapata kila kitu kwa wake zenu basi kaaen kwa ndoa zenu ila kama kuna vitu mnamiss ni vema kumwambia mwenzio ajilekebishe kuliko kumsaliti hyo ni mbaya
Kwenye maisha yangu huwa staki wala kutamani ata siku moja nimfumanie mume wangu ana mwanamke kitandani siwezi kumfanyia fujo wala kupigana na yule mwanamke zaidi nitamshukuru kwa kunikumbusha majukumu yangu
Na ikiwa nimetikia kwa kila kitu mume wangu analizika na mimi nikifumania na mwanamke pia siwezi fanya fujo..zaidi nitamuombea kila iitwapo leo..
#kama sio muelewa uwezi elewa [emoji135][emoji120]