Tuliowahi kudate na waume za watu tukutane hapa tusimuliane visa tulivyowahi kukutana navyo

Ninacho wapendeaga wanawake hua hamuwezagi kutunza SIRI; yaani kabisa ukaenda kumwambia mkewe? Kutembea na mume wa mtu kwangu wala haijanishangaza, ila nimeshangaa wewe kwenda kumwambia mkewe; hu ujasiri uliupata wapi???
 
Nikajikuta penzi linakolea hadi nikajitambulisha kwa mke wake kuwa mimi ni mke mwenzako, si akaanza ugomvi na matusi kuwa alikuwa anajua ila alitaka kupata uhakika

Kweli wanawake ni zero kwenye utunzaji siri
Haa ha ha ha hilo hata mimi limenishangaza sana,
 
Ninacho wapendeaga wanawake hua hamuwezagi kutunza SIRI; yaani kabisa ukaenda kumwambia mkewe? Kutembea na mume wa mtu kwangu wala haijanishangaza, ila nimeshangaa wewe kwenda kumwambia mkewe; hu ujasiri uliupata wapi???
Nadhan alikua anafanya kila kitu kwa huyo mume wa mtu...so alipewa lift akajikuta anapiga mpaka honi....

Wanawake wana katabia akiwa anafanya kila kitu kama mke halisi she tends to dharau mke wa ndoa.

Nadhan anajikuta Queen kumbe mwenzake kaolewa kwa ndoa na watu zaidi ya 500 kama mashahidi...

Hata kama unabugia dushe la jamaa lote na linajaa kwenye mdomo wako wewe bado ni side chick tu.
 
We mwanamke uko wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…