peter_intelligent
JF-Expert Member
- Aug 1, 2018
- 604
- 519
kabisa kabisa tena ilikuwa mliman city,kwa kweli hata nilishasahau nashangaa tu siku hiyo napigiwa simu.Hahahaaa serious? 2013 had 2019 mbona wana utani hawa watu.
Bas wacha niwasubrie siku wakinikumbuka watanirudshia hela yangu
Inakera mno, na inaboakabisa kabisa tena ilikuwa mliman city,kwa kweli hata nilishasahau nashangaa tu siku hiyo napigiwa simu.
nikaona daaahh haya mambo ya tigo ni magumu na sio siri inakera sana hiyo tabia ya kutatuliwa jambo dogo linachukua mda mreeefu kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Masaa 336 ππ, mkuu umenichekesha. Yaan ukacalculate kabisa masaaMara ya kwanza niliambiwa nisubiri saa 24 zilivyoisha nikaambiwa nisubiri masaa 72 leo ninapoongea yamepita masaa 336
Hawa ni zaidi ya we we siiiii
Kabisa na bado naendelea kuhesabuMasaa 336 ππ, mkuu umenichekesha. Yaan ukacalculate kabisa masaa
Imeniongezea maumivu kwa uzi wako nilianza kusahau elf 5 yanguHuu ndio mchezo wao Mimi naugulia kwa zaidi ya wiki 2 sasa
Dawa ni kufika makao makuu tu hakuna nyingineTarehe hiyo hiyo mimi nimenunua luku 10 000 sijapata token wala hela haijarudi nimekua nikipiga simu kila siku mpaka customer care wakanitukana na uzuri nimewarikodi so kama kuna njia yeyote ya kupata haki yangu nijulishe nasubiri wanirudishie tu hela yangu ili nikafute usajili
Hivi kweli wana ofisi hawa?Dawa ni kufika makao makuu tu hakuna nyingine
Matajiri wote baba yao ni 1. Sasa ukijichuuza uwakache tigo uende voda ndio utakua umeruka mkojoMimi wiki iliyopita niliomba kutumiwa miamala ya miezi mitatu kwa njia ya email! Gharama za huduma hii ni shs 1000 ambazo zilikatwa kutoka kwenye account ya tigo pesa lakini miamala hadi leo hii sijatumiwa
Sent using Jamii Forums mobile app