Tuliowahi kufanya fujo na kuharibu mali za shule, tutubu hapa

MPHINGU

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
518
Reaction score
613
Wakuu leo nimeona nivute UZI huu hapa kwa miniajili ya kutubu baadhi yetu tuliowahi kufanya makosa ya kuharibu mali za shule ikiwa ni kuharibu vitanda, milango, viti madawati, nk kwenye shule tulizo soma.
binafsi Mimi natubu hapa kwa loss la kuvunja bombs la maji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safi kwa uzi huu na mimi leo natubu hapa, Niliharibu Fire Extinguisher, niliuza majembe na ndoo za shule, nilimwibia mwalimu kalamu, nilivunja madawati ya shule, Nilipiga wanafunzi wenzangu, niliwapa mimba wanafunzi watatu na kuwaharibia masomo yao.

Nilichota sukari stoo na kupeleka nyumbani, Niliiba tai za wenzangu, Nilikula chakula chao.

[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]

Usinisahau kwenye Baraza Jipya.
 
Dah! Acha na mimi nitubuke tu hapa hapa. Nilishaiba mainswitch ya bweni letu na kuunganisha umeme ukaendelea kuwaka kama kawaida.
Nilishatombesha sana funguo za ma trank ya wenzangu mabwenini na kuiba sukari, bluebandna vijerojero vyao sana.
Nilishaiba sana maharage na uji bwaloni/jikoni kupitia dirishani.
Nilishaorganize mgomo mkubwa tukapasua shule nzima. Mwisho wa picha nilifukuzwa, ilanashukuru maana ningemalizia pale ningefeli tuuuu

Hate me at your own risk
 
Mimi natubu hapa kwa yafuatayo
1.kuiba acid and base laboratory
2. Kuiba mahindi ya shule na unga na kuuza
3. Kuiba raba ,buti na viatu vipya na kwenda kuviuza
4. Kupiga form one hadi kulazwaa hospital wiki tatu nilikuwa namkata mkia
5.kuiba Vitabu vya shule na chaki kwenda kuuza kwa waalimu wa tuition
6. Kugonganisha mademu yani nilikuwa na demu kuanzia form one mpaka six kipindi hicho nipo form six
7. Kunywaa ulanzi, komoni, chimpumu, viroba, na pombe Nyingine sizikumbuki ila sikukamatwaa
8. Kuwadanganya wazazi wangu kuwa ada ni 1.5mill wakati ada ilikuwaa 860,000/- miaka hiyo ya nyuma

Takuja kumalizia mengine ngoja nikakojowe
 
Mimi natubu kwa haya1. Kuweka kondom katika suggestion box kisa namchukia headmaster 2. Kuandika matusi katika karatasi za kupigia kura kuchagua viongozi wa shule 3. Kufanya ufisadi wa kuiba ndoo iliojaa wali na kutokomea nayo porini
 
Mwenzenu alieharibu dirisha ameonyesha mfano mzuri wa kuigwa kwa kulipa gharama za matengenezo au nanyie mnasubiri mpaka muwe viongozi wa umma?
 
Sijui umewaza nini Enkai(Mungu kwa kiarusha) nisamehe kwa kuvunja vioo vya bafu na vyoo vilivowagharimu waliokuja kusupua supplement exams zao, natubu leo ee Mungu unayeishi unisamehe

hata bibi alikuwa binti.
 
Naungana na wewe sana maana MUNGU BABA anawapenda wenye moyo wa kutubu na wasio jihesabia haki ,ambao kila siku wanawaonyeshea vidole badala wenzao bila wao kjichanguza na kutubu. Isaya 57;15.Pia Nina mtukuza sana MUNGU BABA aliyemo ndani ya Raisi wangu Hon MAGUFURI kwa toba aliyofanya ktk shule yake kule BUKOBA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dah hii Kali sana mkuu bado hukutimuliwa shule
 
!
!
nitubu yafuatayo
1. Sijawahi kununua kitu kinaitwa peni tangu nikiwa darasa la nne, ni ama nilikuwa naomba kwa wenzangu siku za mwanzoni ambapo baadae nilikuwa naiba tu.
2. Primary nimeiba sana mahindi ya shule
3. Sekondari niliwahi kuvunja Goli la Basketball
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…