Tuliowahi kufanya kazi za mauzo kwenye mashirika au binafsi tukutane hapa

Tuliowahi kufanya kazi za mauzo kwenye mashirika au binafsi tukutane hapa

Kimwakaleli

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2018
Posts
7,755
Reaction score
11,737
Habari wana JF,

Nilikuwa Afisa mauzo (Salesman) kwenye kampuni flani jina sitalitaja, nikiuza bidhaa aina ya Tumbaku. Kupata hela pungufu au bidhaa pungufu lilikuwa jambo la kawaida yaani short kwa ujumla, na hela pungufu umepata ndogo ni elfu hamsini na kuendelea ni short kweli kweli usipokuwa makini.

Mteja mwingine anakuaminisha hela yake iko safi na sawa huna haja ya kurudia kuhesabu. Ukifika bank hapo ndo unagundua una shoti ya kufa mtu na ukirudi kwa mnunuzi anakukataa vibaya mno!

Hebu nipe na wewe uzoefu wako. Nitaendelea kutoka ushuhuda.
 
Back
Top Bottom