Tuliowahi kufukuzwa kazi tukutane tupeane experience

Jifunze kunyenyekea unapowakosea wengine, kujifanya mjuaji na umekosa ni ujinga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ndo hueleweki nimeandika experience yangu yeye akaanza kunishambulia Mara uongo, sijui hata kuandika Mara aongelee nguo Mara super star while ni experience yangu why Ani attack, na kulazimisha jambo asilolijua. Hafu Mimi mtu akiwa mstaarabu namjibu hivo hivo so hata huyo nimemjibu kwa alichoandika, hafu Uzi huu mbona Una comment nyingi yangu aone ni uongo.
Mie najibu kulingana na mtu alivokuwa loh
 
You are too judgmental dear . Punguza iyo hulka ya kuwa ivyo . Kwamfano unauliza uzi huu una comment nyingi mbona nione tu yako? Tayari umeshaanza ku judge kwanini nime reply comment yako? Ukiwa una judge kila kitu kwenye haya maisha utashindwa kuchangamana na watu vizuri kwa kuhisi kuwa uko sahihi wakati wote ila watu ndo hawakuelewi.
 
Meditation ni nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na ndiyo maana wengine huamua kuwa wao kama wao tu, hawataki socialization kwa upuuzi kama huu. Hakuna anayeaminika!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
You are likely to come!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Imekaa kibingwa sana hii.
 
Safi sana mama.e zake. Kuna watu humu duniani ni mbwa koko kabisa.
 
Sorry umesomea kozi gani?

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We jamaaa kabila gani??
 
Dawa ya mabosi wanoko , unamvizia ofisini akiwa peke yake, unamchaba vibao na magumi, unatembea zako, hyo haina ushahidi.
Kuna msela mmoja alikua anafanya kazi taasisi moja hivi ambayo ilikua inatoa huduma za afya, lakini ilikua ni taasisi ya dini.
Sasa, bosi wake alikua anamsumbua sana, yaani alikua anamnyima raha, hakuna zuri ambalo jamaa anafanya, ni kumfokea na kumsema tu. Pia, alikua anambania sana jamaa hata zile fursa za jamaa za mafunzo ya muda mfupi. Yule bosi alikua ni mtu wa kulalama tu kuwa jamaa hajui kazi jamaa kilaza bila kusema hasa ni kipi jamaa anakosea na nini afanye ku-improve na alikua anamfanyia hivyo yeye tuu.
Sasa jamaa siku moja akawa amefika peak kabisa ya yale mateso, akasema sasa hapa nimefika mwisho. Akavizia yule bosi akiwa ofisini kwake peke yake, akamfuata akiwa na chupa ya soda mkononi, akaingia ofisini akafunga mlango. Kisha akamfuata hadi pale mezani, akaipiga ile chupa ya soda kwenye kingo ya meza na kuipasua huku akimwambia kitu kama "wewe mseng.e unanifuatilia sana, sasa leo hapa niambie shida yako hasa na mimi ni nini, la sivyo nakuulia hapa hapa waje kukuta mzoga wako humu ofisini", yule bosi akawa mpole anatetemeka hatari, haamini anachokiona. Akaanza kusema hana tatizo lolote nae, asitumie hasira na blah blah zingine.
Jamaa akamwambia sasa acha kunipa stress zisizo na msingi la sivyo nitakuja kukupasua". Baada ya hapo jamaa akasepa zake, hata ofisini hakurudi, akaenda nyumbani kwake, akazima simu akalala huku akijua kazi ameshaipoteza.
Kesho yake kama kawa akaenda zake kazini, lakini alishajiandaa kisaikolojia kuwa siku hiyo anaweza kuitwa na uongozi apewe barua yake ya kufukuzwa kazi aendelee na maisha mengine. Ila wala hilo halikutokea, na yule bosi alibadilisha sana attitude yake kwa jamaa, akaacha kumfokea fokea na kumfanyia mambo ya ajabu, na wala hakushtaki popote lile tukio la jamaa kumvamia ofisini. Ila yule bosi kila siku alikua anatuuliza, "hivi yule mwenzenu fulani anavuta bangi eeehhh, kuweni nae makini sana". Tukimuuliza kwa nini unasema hivyo bosi, hasemi kitu, anazuga tuu. Kila siku pia tukawa tunamuuliza yule jamaa yetu hivi ulimfanya nini bosi mbona anasema unavuta bangi? Akawa tukimwambia hivyo, jamaa anacheka vibaya sana. Sasa kuna siku moja jamaa ndo akatuhadithia hii stori.
Mjamaa1
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] boss aliingia wenge alijua huyu jamaa hahofii chochote yawezekana akimfukiza kazi jamaa ndo atamtafuta amuue kabisa.

Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
 
Binadamu wabaya sana na ndio maana wafanyakazi wenzangu sitaki mazoea nao ya kupajua kwangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…