Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 6,816
- 8,809
Duuhh 2019
2016 nimemaliza chuo nikapata sehemu ya kujishikiza, 2017 nikapewa mkataba wa mwaka mmoja moja.
Wakati naingia mambo yalienda vema sn, ila mkuu wa kitengo alikua anapenda sifa KUPITA KIASI (Kila mtu kwake ni Hopeless) hili lilinifanya nipishane nae
2019 January yeye ndio akawa mkuu wa ofisi, aisee hapo niliipata,
1. Alisema nisipewe kazi yoyote
2. Alisema mimi sijui kazi kabisa( hii ilitokana kuna mradi tulipata, nikapewa mimi niufanyie kazi, sasa wakati umefika kwenye utekelezaji yeye ndio boss ko akaninyangaya akasema nimefanya kimakosa akauchukua yeye)
3.Akawa anasema mimi ni Hopeless
4. Anakuita mbele ya watu anakutukana sanaa daahh aisee nimedhalilika sana
Nikaanza kutafuta kazi kimya kimya, Nikapata tena kwenye taasisi ya watu tuliokua tunawahudumia "ilikuaje"
Walimuuliza mkuu wangu wa kitengo wa kipindi hiki ss "mbona xxx siku hizi hatumuoni" akajibu "dah sijui wana bifu gani na mkuu, maana hataki hata kumuona"
Jamaa wakanitafuta wakanipa mkataba wa kazi nikatulia, sasa nikaandika barua ya kusitisha mkataba huku namsubiri mkuu ajichanganye..
Akaingia kwenye 18, siku hiyo akaja reception kabisa kwa watu wanaokuja kumuona akaanza sifa zake
Akamuita HR na wenzie akasema kuna watu mkataba ukiisha wasionhezewe akaniita akaanza kunisema akasema sikuongezei mkataba, nikamwambia sihitaji
Nikaingia ofisini nikachukua barua, Nikamwambia wewe ni mbwa kama wengine unastahili kutupiwa chakula, NIKAMTUPIA BARUA YA KUSITISHA MKATABA NIKAMWAMBIA OKOTO UPELEKE MASIJALA. HAKUAMINI.
Hii ni Taasisi ya Serikali, mtu anaifanya yake