Tuliowahi kufukuzwa kazi tukutane tupeane experience

Wapo ma bosi waliokulia kwenye dhiki na kuna kina mama waliopata madaraka chupi wao ufukuza tu watu.
Wengi awajui haki zao Ukifukuzwa Kazi sio mwisho iwe boss au mamlaka hio sio final final ni High court.Sema wengi wakifukuzwa uamua kupotezea na kuamua kupambana na maisha mengine ambayo huwa yanawanyokea pia.
 
Nilikuwa nafanya kazi mahali ila asee kauli za yule boss ililuwa kama anaongoza vitoto via nursery school. Halafu anaogopwa hatari. Akipatikana mchapa kazi na anayetoa mapendekezo ya nini kifanyike kampuni iboreshwe anamfukuza . Kifupi hakutaka maoni wala kunyanyua kichwa.

Na alikuwa fukuza fukuza na kila siku pale wanaajiri. Basi nikapata dharura ya kifamilia nikapotea miezi 2 na sikupanga kirudi ikawa ndio ticket ya wao kunisimamisha.

Japo supervisor alikuwa mchongeaji hatariii (najua we mdada umechongea wengi na umeharibu maisha ya wengi ila kumbuka KARMA is a bitch 40 yako itakuja tu).
 
Binadamu wabaya sana na ndio maana wafanyakazi wenzangu sitaki mazoea nao ya kupajua kwangu
Wakipajua kwako halafu wakakuta una vitu vya galama kuwa zidi wao, roho zita wauma watasema we mwiz.
 
Binadamu wabaya sana na ndio maana wafanyakazi wenzangu sitaki mazoea nao ya kupajua kwangu
Wakipajua kwako halafu wakakuta una vitu vya galama kuwa zidi wao, roho zita wauma watasema we mwiz.
 
Pole jamaa,duuuu!!!nimefurahi jinsi ulivyomhudumia mama yako,nakuombea baraka tele
 
Kuna msela mmoja alikua anafanya kazi taasisi moja hivi ambayo ilikua inatoa huduma za afya, lakini ilikua ni taasisi ya dini.
S vibaya sana. Sasa kuna siku moja jamaa ndo akatuhadithia hii stori.
Mjamaa1
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sema Mungu bwana ni wetu sote. Riziki anatoa pasipo upendeleo
Kabisa mkuu. Huyo chalii alikuwa potential sana kwenye kampuni kwenye eneo la mauzo. Alichukuliwa na mshindani wetu, mbona ilikuwa kisanga. Alimega market share kubwa sana ofisi ikabaki kulalamika tu na kumuona mbaya na hana shukurani.
 
Kweli kabisa Mkuu
 
Sitaki kukumbuka kampuni ile, natakiwa kusimamia stocktaking and at the same time natakiwa kwenda manunuzi , cable zikaibiwa ...... Huku na kule nina fundi amepata kazi ya nje ya kusupply cable ukubwa tofauti hawezi kuwasiliana na kampuni ile
Bonge la Bahati mbaya japo linafurahisha pia...Pole Mkuu...Mambo mengine unaweza katalia ofsini aisee
 
Bonge la Bahati mbaya japo linafurahisha pia...Pole Mkuu...Mambo mengine unaweza katalia ofsini aisee

Bonge la Bahati mbaya japo linafurahisha pia...Pole Mkuu...Mambo mengine unaweza katalia ofsini aisee
Ile ilikua nguma sababu mimi nimebanwa cable iko wapi sijui na huo ndo ukwel nilikua sijui sasa ile email ndo sijaelewa nani kamforwadie chairman mwenyewe, mimi ananigeuzia laptop yake ananiuliza unaijua hii email ndo ile ya rejected cable sasa daaa nikachoka nikamjibu ndio naijua , anauliza kwa nn unajihusisha na shughuli zingin zinazofana na za ofisi na huyo fundi una uhusiano gana na yeye yan acha kabisa
 
Shida yote ya nini?
Walete tu kwako wakikuuliza uliwezaje kujenga waambie nina mashamba ya urithi ekari 600. Na nyumba hii ninazo nyingine 5. Watakuheshimu
Wawezwa kurogwa kabisa ndugu yangu alijenga nyumba eeeh watu kujua Sasa alipigwa vita hata kushushwa kwenye nafasi zote, ila licha ya kumpiga majungu na kumshusha ameendelea tu ku shine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…