Peter Madukwa
JF-Expert Member
- Sep 20, 2012
- 3,139
- 2,488
Tanesco?Sitaki kukumbuka kampuni ile, natakiwa kusimamia stocktaking and at the same time natakiwa kwenda manunuzi , cable zikaibiwa ...... Huku na kule nina fundi amepata kazi ya nje ya kusupply cable ukubwa tofauti hawezi kuwasiliana na kampuni ile
Hapana ni private electrical company. Yan kampuni ile hutakiwi uwe na mishe za nje ukiwa nayo utaandamwa mok mwenyewe utaondokaTanesco?
Acha kabisa yan boss anakuandama ukifika mlango wa ofisi tu moyo unaenda mbio, kisa tu upo job na unapiga mambo yako ya nje, yan maboss wengin hawataki ufanikiwe kabisaIla Afika Bhana
yaani hakuna tunachokifanya kikaenda smooth. Kiukweli tunahitaji kubadilika sana
just imagine; unaajiriwa ila boss anakutreat kama mnyama vile.... au from nowhere anakuchukia tu ili mradi kazi ikushinde😁😁
Alafu unakuta ana maisha ya tabu mnoKuna mpuuzi alifanya niache kazi......
kwa kuwa mm ni mwenyekiti maisha yasonga
Kuna viofisi ukifika wafanyakazi wana hali mbaya sana.Acha kabisa yan boss anakuandama ukifika mlango wa ofisi tu moyo unaenda mbio, kisa tu upo job na unapiga mambo yako ya nje, yan maboss wengin hawataki ufanikiwe kabisa
wako wapi hap ofisi zao mkuu nadhani nina haja ya kufika hata kabla sijaandika chochote hapa.. nije tu kuleta ushuhuda mzimaPole sana. Ila watu wengi sana wanaonewa makazini na kufukuzwa kazi au kuresign kwa sababu tu hawajui haki zao kama wafanyakazi.
Kama hapo wewe ulichotakiwa kufanya ni usinge resign, usubiri jamaa wakufukuze kwa kosa hilo moja tu; Ungewaendesha sana iwapo baada ya wao kukufukuza ungeenda kwenye vyombo vya utetezi kama tume ya usuluhishi wa migogoro sehemu za kazi (CMA). Maana mfanyakazi hafukuzwi kazi kirahisi hivyo, lazima kuwe na ushahid kwamba alishaonywa mara kadhaa, sio kosa lake la kwanza na mambo kama hayo, ukipeleka kesi kama hiyo kwa jamaa wa CMA hao waajiri wako wangekukoma; na wangeamuriwa kukulipa fidia ya kutosha tuu.
Tena kwa taasisi za binafsi ndo huwa CMA wanawakalia zaidi kooni. Ila ndo hivyo pia waru wengi hata hawawajui hao CMA.
But anyways, god for you kwamba you have moved on na maisha yameendelea! kiroka
Ila bado nawazo mtu hua anatafuta nini kwa boss kwenda kupeleka majungu, maana waza mtu kaona hyo email nliyoprint pamoja na homework za watoto, email yenyewe ukisoma sio cable ya ofisi lakin bado mtu kamforwadia boss hyo email, yan sehem za kazi wanafki wengiSitaki kukumbuka kampuni ile, natakiwa kusimamia stocktaking and at the same time natakiwa kwenda manunuzi , cable zikaibiwa ...... Huku na kule nina fundi amepata kazi ya nje ya kusupply cable ukubwa tofauti hawezi kuwasiliana na kampuni ile kwa sababu barua zinatakiwa ziwe in english, nikamfanyia ile kazi, kumbe wenyewe wakasupply cable tofauti na ile waliyohitajika kusupply hivyo yule jamaa akapewa barua ya kurejct ile cable hivyo akanitumia mimi nimsomee kisha nimwambie inahusu nini na walipaswa kurejesha 5M ambayo walipewa before supply of that cable
Hiki kilikua kipindi cha corona sasa zile homework za watoto shule walikua wanatutumia wazazi ikawa naprint ofisini sijui nini kilitokea na ile barua boss akaipata ya rejected cable ambayo walipaswa kurwjesha ile 5 M wakachanganya na ka cable ka 2.5 kalikopotea yani hapo ndo mambo yakawa magumu mpk nikaandika barua mwenyewe ya kuacha kazi kwa kuwa wanasema sitakiwi kufanya kazi za nje zinazohusiana na umeme kabisa kwa sababu lazima waone ni mwizi
Wana ofisi mikoa yote ndani ya Tanzania kulingana na ulipo.wako w
wako wapi hap ofisi zao mkuu nadhani nina haja ya kufika hata kabla sijaandika chochote hapa.. nije tu kuleta ushuhuda mzima
Acha nafasi imenitesa hyo nikakomaa nikaanza kusumbuliwa moyo, nikaanza akuangaika hospital yalipozidi nikaandika barua mwenyewe, hata haki zangu sikufwatilia sema wakasimamia tamico nikalipwa haki zanguKuna viofisi ukifika wafanyakazi wana hali mbaya sana.
Wenye afadhali ukiachana na boss utakuta ni Accountants na watu wa Procurement.
Kama ni dar wapo pale dit kama sikoseiwako w
wako wapi hap ofisi zao mkuu nadhani nina haja ya kufika hata kabla sijaandika chochote hapa.. nije tu kuleta ushuhuda mzima
Mkuu hao CMA na mahakamani saivi wamejaa Sana rushwa maana Kuna kesi yetu kwenye kampuni yetu ya Kiribo Ltd Sasa imemaliza mwaka na hatujalipwa chochote na tulifungua shauri ndani ya Muda ipo hivi yaani tuliachishwa kazi watu karibia hamsini hatukupewa stahiki zetu zozote na pia malipo yetu ya NSSF kule alikuwa hapeleki na kila tukishinda kesi za kukamatiwa vitu vyake viuzwe na barua anabandikiwa na dalali anaenda anakata rufaa na kurudia sababu zilezile na kesi inapelekwa Tena mbele imemaliza mwaka saivi na bado hakuna majibu yoyote zaidi ya kuzungushwa....!!!Pole sana. Ila watu wengi sana wanaonewa makazini na kufukuzwa kazi au kuresign kwa sababu tu hawajui haki zao kama wafanyakazi.
Kama hapo wewe ulichotakiwa kufanya ni usinge resign, usubiri jamaa wakufukuze kwa kosa hilo moja tu; Ungewaendesha sana iwapo baada ya wao kukufukuza ungeenda kwenye vyombo vya utetezi kama tume ya usuluhishi wa migogoro sehemu za kazi (CMA). Maana mfanyakazi hafukuzwi kazi kirahisi hivyo, lazima kuwe na ushahid kwamba alishaonywa mara kadhaa, sio kosa lake la kwanza na mambo kama hayo, ukipeleka kesi kama hiyo kwa jamaa wa CMA hao waajiri wako wangekukoma; na wangeamuriwa kukulipa fidia ya kutosha tuu.
Tena kwa taasisi za binafsi ndo huwa CMA wanawakalia zaidi kooni. Ila ndo hivyo pia waru wengi hata hawawajui hao CMA.
But anyways, god for you kwamba you have moved on na maisha yameendelea! kiroka
Dooohhhh....!! Poleni sana mkuu, inasikitisha kusikia hivyo. Basi mimi tuseme sijui nilipata bahati kwa kweli walinisaidia sana, au pia inawezekana ni rahisi zaidi kesi za mtu mmoja mmoja kuliko kesi za makundi risk ya rushwa inakua kubwa zaidi maana kampuni wanakua na kitu kikubwa zaidi cha kupoteza iwapo wakishindwa.Mkuu hao CMA na mahakamani saivi wamejaa Sana rushwa maana Kuna kesi yetu kwenye kampuni yetu ya Kiribo Ltd Sasa imemaliza mwaka na hatujalipwa chochote na tulifungua shauri ndani ya Muda ipo hivi yaani tuliachishwa kazi watu karibia hamsini hatukupewa stahiki zetu zozote na pia malipo yetu ya NSSF kule alikuwa hapeleki na kila tukishinda kesi za kukamatiwa vitu vyake viuzwe na barua anabandikiwa na dalali anaenda anakata rufaa na kurudia sababu zilezile na kesi inapelekwa Tena mbele imemaliza mwaka saivi na bado hakuna majibu yoyote zaidi ya kuzungushwa....!!!
Takukuru pia wanasaidia kwan baada ya kuacha kazi kampuni ilipunguza watu na ikawa hawakkueka nssf zaid ya 5 yrs na zilizowekwa ni mwezi au miezi miwiliMkuu hao CMA na mahakamani saivi wamejaa Sana rushwa maana Kuna kesi yetu kwenye kampuni yetu ya Kiribo Ltd Sasa imemaliza mwaka na hatujalipwa chochote na tulifungua shauri ndani ya Muda ipo hivi yaani tuliachishwa kazi watu karibia hamsini hatukupewa stahiki zetu zozote na pia malipo yetu ya NSSF kule alikuwa hapeleki na kila tukishinda kesi za kukamatiwa vitu vyake viuzwe na barua anabandikiwa na dalali anaenda anakata rufaa na kurudia sababu zilezile na kesi inapelekwa Tena mbele imemaliza mwaka saivi na bado hakuna majibu yoyote zaidi ya kuzungushwa....!!