Tuliowahi kuhonga vya thamani na bado tukapigwa tukio tukutane hapa

Tuliowahi kuhonga vya thamani na bado tukapigwa tukio tukutane hapa

Melki Wamatukio

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2022
Posts
6,156
Reaction score
10,974
Masikini PC yangu HP MODEL ya laki saba na nusu, nikaitumia ndani ya wiki mbili tu! Upendo ukataradadi nikamhonga ili kudumisha penzi, wiki moja baadae tena ilikuwa x mass nikamfuma na kauzu mmoja jirani yangu wanaingia kwake kuchakatana!

Looo! Nilikuwa nimepanga kumchakata kwa mara ya kwanza Boxing day! Kwa bahati mbaya tulionana uso kwa uso!

Sawa Judith,
Malipo yote ni hapa hapa duniani!
[emoji26][emoji26][emoji26]
 
Siku zote mtu anakopenda hapendwi. Yaani ni ngumu kukuta mwanaume anampenda mwanamke kwa dhati hadi anampa pc yake afu huyo mwanamke akampenda mwanaume huyo.

Vile vile sisi wanawake, mwanaume tunaempenda kutoka moyoni tunamnunuliaga nguo za gharama, viatu etc mbaya zaidi unakuta huyo mwanaume hata umpe kitu garama kiasi gani hakupendi kutoka moyoni.

In short yupo ku buy time anytime anasepa.

Tuache utani zawadi ya mpenzi unaempenda huwa ni tamu kuliko utamu wenyewe.
 
PC hukudai tena.?
Sikumdai! Kwanza nilipokuwa nikikutana nae njiani, hakunisemesha kabisa na alikuwa hana hata time na mimi!

Alitengeneza kisirani kiasi kwamba kama ningekanyaga pale kwake, angenipigia kelele za mwizi!!

Nikawa nawaona yeye na yule mjinga wanapita njiani pamoja huku wameshikana mikono, wanaegemeana!

Dah! [emoji24][emoji24]
 
Hahah mkuu mbona huku dai chako.? Sheria inaruhusu mtu kudai mali yake tena sio kwa kificho.
 
Maskini PC yangu HP MODEL ya laki saba na nusu, nikaitumia ndani ya wiki mbili tu! Upendo ukataradadi nikamhonga ili kudumisha penzi, wiki moja baadae tena ilikuwa x mass nikamfuma na kauzu mmoja jirani yangu wanaingia kwake kuchakatana!

Looo! Nilikuwa nimepanga kumchakata kwa mara ya kwanza Boxing day! Kwa bahati mbaya tulionana uso kwa uso!

Sawa Judith,
Malipo yote ni hapa hapa duniani!
[emoji26][emoji26][emoji26]
Yule jamaa kauzu ndio Mimi, Judith aliniambia alikuacha sababu hukuwa unasimamia ukucha kama ambavyo Mimi namkuna. Kale kaPC Kako alinipa ndio huwa nakatumia kuingilia humu jeiefu
 
Back
Top Bottom