Tuliowahi kuhonga vya thamani na bado tukapigwa tukio tukutane hapa

Tuliowahi kuhonga vya thamani na bado tukapigwa tukio tukutane hapa

Sikumdai! Kwanza nilipokuwa nikikutana nae njiani, hakunisemesha kabisa na alikuwa hana hata time na mimi!

Alitengeneza kisirani kiasi kwamba kama ningekanyaga pale kwake, angenipigia kelele za mwizi!!

Nikawa nawaona yeye na yule mjinga wanapita njiani pamoja huku wameshikana mikono, wanaegemeana!

Dah! [emoji24][emoji24]
Ulipigwa na kitu kizito
 
Siku zote mtu anakopenda hapendwi. Yaani ni ngumu kukuta mwanaume anampenda mwanamke kwa dhati hadi anampa pc yake afu huyo mwanamke akampenda mwanaume huyo.

Vile vile sisi wanawake, mwanaume tunaempenda kutoka moyoni tunamnunuliaga nguo za gharama, viatu etc mbaya zaidi unakuta huyo mwanaume hata umpe kitu garama kiasi gani hakupendi kutoka moyoni.

In short yupo ku buy time anytime anasepa.

Tuache utani zawadi ya mpenzi unaempenda huwa ni tamu kuliko utamu wenyewe.
Tuleanage utamu tuu....kugeggeduana kwa kwenda mbele.
Inauma sana u afikiria demu vizuri u ampenda unajipinga and she dont even care about ur feelings...tena anavipolea alafu anaenda kukunanga na mashoti wake
 
Simu pekee niliyohonga ni kiswaswadu enzi zile.[emoji2]

Tangu hapo huwa niko makini sana

Siwezi kubali nihonge halafu nitoke mtupu

Unajua sometimes mapenzi ni kama biashara tu.

Zingatia faida zako kwanza.
 
Masikini PC yangu HP MODEL ya laki saba na nusu, nikaitumia ndani ya wiki mbili tu! Upendo ukataradadi nikamhonga ili kudumisha penzi, wiki moja baadae tena ilikuwa x mass nikamfuma na kauzu mmoja jirani yangu wanaingia kwake kuchakatana!

Looo! Nilikuwa nimepanga kumchakata kwa mara ya kwanza Boxing day! Kwa bahati mbaya tulionana uso kwa uso!

Sawa Judith,
Malipo yote ni hapa hapa duniani!
[emoji26][emoji26][emoji26]
Pole sana mkuu sema ndio maisha ucjal utapata nyngne

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Sikumdai! Kwanza nilipokuwa nikikutana nae njiani, hakunisemesha kabisa na alikuwa hana hata time na mimi!

Alitengeneza kisirani kiasi kwamba kama ningekanyaga pale kwake, angenipigia kelele za mwizi!!

Nikawa nawaona yeye na yule mjinga wanapita njiani pamoja huku wameshikana mikono, wanaegemeana!

Dah! [emoji24][emoji24]
Kwaiyo mjina ni wewe au jamaa yake aliye kuzid maujanja?
 
Pisi ilikuwa kali hatari bro akaonga macho matatu na ka ist demu fala sijui kiburi alitolea wapi akawa anamcheat bro kwenye nyumba bro anayolipia na bank teller mwenzake bro alipiga ambush one day na maaskari wawili akachukua gari akamwachia macho matatu gari ikapelekwa garage ikakaa wiki ikapelekwa moja kwa moja machame siku tupo kili marathon namuuliza broo mbona ile pisi inakwaangalia kwa dharau hivyo ikanipa mkasa mzima
 
Braza ni fara Sana, anahonga alafu watu wanatomba bure tu
 
Wataachana tu
Sikumdai! Kwanza nilipokuwa nikikutana nae njiani, hakunisemesha kabisa na alikuwa hana hata time na mimi!

Alitengeneza kisirani kiasi kwamba kama ningekanyaga pale kwake, angenipigia kelele za mwizi!!

Nikawa nawaona yeye na yule mjinga wanapita njiani pamoja huku wameshikana mikono, wanaegemeana!

Dah! [emoji24][emoji24]
 
Kama Pc ulimwachia basi itoshe Kusema Ulikitia aibu chama chetu na inafaa ulipe faini asee
 
mkuuuu ipo hv mimi nahonga dem heka ya ziada thats my prinsiple ata nikimuacha sihangaiki naicho nilichompa
 
Back
Top Bottom