Tuliowahi kuhonga vya thamani na bado tukapigwa tukio tukutane hapa

Sikumdai! Kwanza nilipokuwa nikikutana nae njiani, hakunisemesha kabisa na alikuwa hana hata time na mimi!

Alitengeneza kisirani kiasi kwamba kama ningekanyaga pale kwake, angenipigia kelele za mwizi!!

Nikawa nawaona yeye na yule mjinga wanapita njiani pamoja huku wameshikana mikono, wanaegemeana!

Dah! [emoji24][emoji24]
Mshikuru Mungu! Just move On....iachie Karma itafanya kazi yake na atarudi anatambaa!
 
Siku zote mtu anakopenda hapendwi. Yaani ni ngumu kukuta mwanaume anampenda mwanamke kwa dhati hadi anampa pc yake afu huyo mwanamke akampenda mwanaume huyo.

Vile vile sisi wanawake, mwanaume tunaempenda kutoka moyoni tunamnunuliaga nguo za gharama, viatu etc mbaya zaidi unakuta huyo mwanaume hata umpe kitu garama kiasi gani hakupendi kutoka moyoni.

In short yupo ku buy time anytime anasepa.

Tuache utani zawadi ya mpenzi unaempenda huwa ni tamu kuliko utamu wenyewe.
Yaani pointi kubwa ni upendo kupendana mkuu
 
Kuna kadada nilikanunulia tcno F 1 mikawa nachakata Sana,siku moja kakanambia kanaenda saloon Mbezi,nikakaambia kaje mitaa ya home kakagoma niakafuata Mbezi.Milikasubiri hadi Saa tano nikakapora hiyo simu.Nilipoiwasha nikakuta kananiponda hadi voice note zipo kwenye simu.Nilichukia Sana,nilikarudishia simu ila nikakapiga chini.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Tit for tat
 
Nili msomesha mwanamke bachelor degree alipo maliza chuo, aisee kilicho nikuta ni nusu ya umauti... Wanawake sio watu wa kuwaamini kabisa...achilia hapo nilimjengea mama yake na kumtibia kansa lakini bado hakua na huruma na mimi hata kidogo...
 
Mkuu kuhonga kitu unachokitegemea ili ufanikishe uchakataji wa papuchi ni dangerous BET ni sawa na yanga icheze na ihefu halafu ubet kua ihefu itashinda, only honga which you can afford to loose
 
Nili msomesha mwanamke bachelor degree alipo maliza chuo, aisee kilicho nikuta ni nusu ya umauti... Wanawake sio watu wa kuwaamini kabisa...achilia hapo nilimjengea mama yake na kumtibia kansa lakini bado hakua na huruma na mimi hata kidogo...
Mchumba hasomeshwi
 
Mkuu wee nenda tu kaanzishe Uzi wako siyo comments haitoshi

Kaa chini lete kisa kamili mnk umepigwa Sana [emoji38]
 
Malizia story yako bhas kalagabahu kwahiyo ulichukua pc yako ama ?
 
Mkuu wee nenda tu kaanzishe Uzi wako siyo comments haitoshi

Kaa chini lete kisa kamili mnk umepigwa Sana [emoji38]
Na akileta kisa, bado mtamwambia ni chai! Maake mambo atayozungumza ambayo amekuwa akimfanyia mwanadada ni makubwa! Au Zero Conscious nadanganya?
 
Nili msomesha mwanamke bachelor degree alipo maliza chuo, aisee kilicho nikuta ni nusu ya umauti... Wanawake sio watu wa kuwaamini kabisa...achilia hapo nilimjengea mama yake na kumtibia kansa lakini bado hakua na huruma na mimi hata kidogo...
Tunaomba Uzi please..Khaaa we Jj
 
Back
Top Bottom