Zero Conscious
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 254
- 519
Mkuu mbona unataka kunichonganisha?[emoji23][emoji23][emoji23] Yna2 umeskia iyo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu mbona unataka kunichonganisha?[emoji23][emoji23][emoji23] Yna2 umeskia iyo?
Alijua kabisa huna hela bora ukauze pcKuna manzi alinambiaga niuze PC yangu nimnunulie simu[emoji3525][emoji3525]Nliishia kucheka tu nkamwambia nipe PC yangu me niondoke
Aise pole sana dunia ikopoa, ila kuna watu sio poa kabisaNili msomesha mwanamke bachelor degree alipo maliza chuo, aisee kilicho nikuta ni nusu ya umauti... Wanawake sio watu wa kuwaamini kabisa...achilia hapo nilimjengea mama yake na kumtibia kansa lakini bado hakua na huruma na mimi hata kidogo...
Hii ni kweliSiku zote mtu anakopenda hapendwi. Yaani ni ngumu kukuta mwanaume anampenda mwanamke kwa dhati hadi anampa pc yake afu huyo mwanamke akampenda mwanaume huyo.
Vile vile sisi wanawake, mwanaume tunaempenda kutoka moyoni tunamnunuliaga nguo za gharama, viatu etc mbaya zaidi unakuta huyo mwanaume hata umpe kitu garama kiasi gani hakupendi kutoka moyoni.
In short yupo ku buy time anytime anasepa.
Tuache utani zawadi ya mpenzi unaempenda huwa ni tamu kuliko utamu wenyewe.
We endelea tuBado naandika alafu nafuta ...naandika alafu nafuta [emoji23]
Pole mkuu kwa kunyimwa duduHahaha nilikuwa na saa kali balaa.dem akaomba aione mara akaivaa!!akaanza stori nyingi hapo mi akili haipo nawaza donda langu tu hapo!!alikula wine kuku na takataka zote zaidi ya elf70.dkk za majeruhi nikamvua saa yng akamaindi akanininyima dudu.nikaona fuleshi tuu apite zake hivi