Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
😀😀 Sijui wanawazaga nini, mmoja aliniambia no mpe simu yangu Samsung alaf anipe tecno yakeKuna manzi alinambiaga niuze PC yangu nimnunulie simu☹️☹️Nliishia kucheka tu nkamwambia nipe PC yangu me niondoke
Nyingine ilinambia niipe simu yangu,nkamwambia ngoja nkija hapo hostel kwenu ntakupa utumie..akaanza ooh nataka niitumie kama week hv nikaona uchwara huu😀😀 Sijui wanawazaga nini, mmoja aliniambia no mpe simu yangu Samsung alaf anipe tecno yake
Sikumdai! Kwanza nilipokuwa nikikutana nae njiani, hakunisemesha kabisa na alikuwa hana hata time na mimi!PC hukudai tena.?
Hahah mkuu mbona huku dai chako.? Sheria inaruhusu mtu kudai mali yake tena sio kwa kificho.Sikumdai! Kwanza nilipokuwa nikikutana nae njiani, hakunisemesha kabisa na alikuwa hana hata time na mimi!
Alitengeneza kisirani kiasi kwamba kama ningekanyaga pale kwake, angenipigia kelele za mwizi!!
Nikawa nawaona yeye na yule mjinga wanapita njiani pamoja huku wameshikana mikono, wanaegemeana!
Dah! [emoji24][emoji24]
Yule jamaa kauzu ndio Mimi, Judith aliniambia alikuacha sababu hukuwa unasimamia ukucha kama ambavyo Mimi namkuna. Kale kaPC Kako alinipa ndio huwa nakatumia kuingilia humu jeiefuMaskini PC yangu HP MODEL ya laki saba na nusu, nikaitumia ndani ya wiki mbili tu! Upendo ukataradadi nikamhonga ili kudumisha penzi, wiki moja baadae tena ilikuwa x mass nikamfuma na kauzu mmoja jirani yangu wanaingia kwake kuchakatana!
Looo! Nilikuwa nimepanga kumchakata kwa mara ya kwanza Boxing day! Kwa bahati mbaya tulionana uso kwa uso!
Sawa Judith,
Malipo yote ni hapa hapa duniani!
[emoji26][emoji26][emoji26]