Tuliowahi kujamba ushuzi mkali wa kunuka kwenye halaiki ya wa tukutane hapa

[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Mkuu umetudhalilisha sana wanyakyusa kwa ulafi Wa namna hiyo.
 
Hivi hawa wanao aribu kiswahili ni akina nani? KUJAMBA na sii KUNYAMBA
 
Hahah,ni vigum sana kukuta mdada anaongea kuhusu kunyamba,si unaona hakuna hata m1 ,ni marufuku kwao nahis,..
Ila mi x wangu m1 huyo alikuaga hatar,tukiwa room lakin tena anaachia mbele yangu..na ni mkali huwez amin,boonge la dem
[emoji3][emoji3][emoji3]unanyanyua na mguu juuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…