Tuliowahi kujifunza kifaransa tukutane hapa

Duce kuna kozi wanatoaga kwa watu wote...ngoja nifatilie nione kama wanaendelea nayo.
pour toi
 
Natamani kuijua hii lugha ila imekuwa ngumu sana kujifunza mwenyewe.
 
Nilijifunza chuo kwsbb ilikuwa lazima kusoma, nilikijua hd nikaweza kukiongea na kuandika.
Ila kwa sasa maneno mengi nimesahau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…