Tuliowahi kujifunza kifaransa tukutane hapa

Tuliowahi kujifunza kifaransa tukutane hapa

Duce kuna kozi wanatoaga kwa watu wote...ngoja nifatilie nione kama wanaendelea nayo.
pour toi
 
Nilijifunza chuo kwsbb ilikuwa lazima kusoma, nilikijua hd nikaweza kukiongea na kuandika.
Ila kwa sasa maneno mengi nimesahau
 
Back
Top Bottom